Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Tango na Asali je hili lina ukweli?
 
Naskia ukichanganya panado na maji huchukui round, wakuu vipi hii?
 
Hahaha badala muwaulize waliokufa, mnabishana mlio hai. Waliokufa kwa sababu hizo waje watoe ushuhuda wao pia ilikywaje wakafa ikuwa kuna watu ahawajafa kwa haya
 
wakuu leo asubuh nimekula chapati tatu, mayai ya kukaanga matatu...chai ya rangi...maharage...baada ya kumaliza vyote...nikashushia na pepsi ya baridi.....kilichofuata ni kama nimepangisha chooni....hali yangu sio nzur kwa kweli...
Ulaji gani sasa huo?
 
Mimi shuhuda no1 Nimeshawi kula vyote na sijahisi chochote mwilini ila Leo ndio nasikia kwenu ati mtu anakufa ina maana Mimi ni mzimu!?
Afadhali umenitoa woga ngoja nami nijaribu
 
Back
Top Bottom