Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Mimi shuhuda no1 Nimeshawi kula vyote na sijahisi chochote mwilini ila Leo ndio nasikia kwenu ati mtu anakufa ina maana Mimi ni mzimu!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuwa mzimu wewe
 
hizi ndo story za kuambiana ukiweka sindano njia ya reli treni inapinduka, wanaozianzisha huwa wana akili gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu usiniambie hii ya uongo daah watu tuna sumu nyingi kweli kichwani huku
 
Najua unatamani nitoweke ktk huu ulimwengu ila ndo bado nipo nipo sana! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nenda basi kajaribu..mbona maneno mengi [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom