Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

WAKATI NKO CHUO, ASUBUH NILIKUWA NAKULA MAYAI YA KUPIKA NDIZI MBIVU, MKATE NA MAZIWA.. KARIBU KILA SKU
 
Daaaa nimetoka kula ndizi na mayai muda si mrefu.

Hatarious
 
Zamani walikua hawana majibu ya kisayansi, so walieleza jambo kadri uelewa ulivoruhusu, kiuhalisia mama mjamzito akikula ivo vitu ananenepa sana na pia husababisha mtoto kukua mkubwa hivyo kupelekea matatizo wakati wa uzazi, kumbuka pia enzi hizo hakukua na maswala ya operation za uzazi hivyo vifo vingi vya wajawazito vilipelekea wahenga kuweka hiyo misimamo.
Great

Umejibu kitaalamu sana.
 
Kule kwetu mila zetu zilikuwa zinakataza wakina mama kula mayai, figo, maini, nundu ya ng'ombe, filigisi n.k.
Hivyo vitu vyote vinaviini lishe vya Protin, Protin kazi yake ni kujenga mwili, mama mjamwana akila yeye na mtoto hunenepa, mtoto akinenepa mazazi yake ni shida, ilikuwa inawasaidia sana dhana hiyo wakina mama kujifungua salama enzi hizo ambapo hapakuwepo huduma ya upasuaji mahosipitalini...

msidharau kila kitu, vingine Mungu alikuwa anawaokoa waja wake kulingana na ufahamu wao ktk ujinga wao!!!

jiulize kwanini wanyama wala majani hawali majani mabichi wawapo na mimba???
 
Nimeshaghairi.....
Maana naona unafurahia sana, na unajiandaa kwa msiba [emoji57]
[emoji23] [emoji23] acha hizo mwenzio nilishanunua na khanga yenye maandishi ameinzing ya kuvaa msibani
 
Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.

Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
kinachoua ni sumu tu.Vyakula hata ule ishirini hufi sanasana utavimbiwa tu na kuumwa tumbo.Kuna kuharisha na pia kutapika.Ukishiba sana kupita kawaida itabidi utapishwe kwa kuinamishwa miguu juu kichwa chini ili kupunguza chakula tumboni ulichomeza.Maana ukishiba sana kupita ujazo wa tumbo hapo ipo hatari
 
Hii sijui niijaribu? Maana kila mara natamani sana kujithibitishia pasipo shaka ila naogopa....
kisayansi majaribio hufanywa kwa wanyama si binadamu. Unaweza fanya kwa mnyama yeyote asiyecheua
 
Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.

Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
Hilo ni fumbo si kama ujuavyo
 
Back
Top Bottom