Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Hivyo vitu vyote vinaviini lishe vya Protin, Protin kazi yake ni kujenga mwili, mama mjamwana akila yeye na mtoto hunenepa, mtoto akinenepa mazazi yake ni shida, ilikuwa inawasaidia sana dhana hiyo wakina mama kujifungua salama enzi hizo ambapo hapakuwepo huduma ya upasuaji mahosipitalini...

msidharau kila kitu, vingine Mungu alikuwa anawaokoa waja wake kulingana na ufahamu wao ktk ujinga wao!!!

jiulize kwanini wanyama wala majani hawali majani mabichi wawapo na mimba???
Madaktari ni rahisi kuwajua humu JF
 
Screenshot_20180310-154234.png
race
Tango na Asali je hili lina ukweli?
MIMI NILISIKIA ASALI NA LIMAO UNAKUFA ILA MIMI NILISHAKULA MARA NYINGI TUU
BAADAE NIKAAMBIWA ASALI NA NDIMU NDIO UNAKUFA.
 
Kuna nyingine niliambiwa eti, eti, Tango na Asali unavuta, sasa sijui kuna ukweli hapo?
Sio kweli, napenda matango na asali, kawaida napenda sliced tango na maganda yake nachanganya na asali nakula, pia hata watoto wakiona nakula nao husogea.
 
Ila juzi nikiwa safarini, asubuhi hotelini waliandaa breakfast ya mayai ya kukaanga na viazi, na tunda lilikuwa tikiti, kwa kweli, haikuwa nzuri, Nilikuwa kikaoni lakini kila dakika ni kwenda chooni. Ilikuwa mbaya sana.
 
wakuu leo asubuh nimekula chapati tatu, mayai ya kukaanga matatu...chai ya rangi...maharage...baada ya kumaliza vyote...nikashushia na pepsi ya baridi.....kilichofuata ni kama nimepangisha chooni....hali yangu sio nzur kwa kweli...
.....ulisahau parachichi !
 
Back
Top Bottom