Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

emoji23.png
[emoji2

Hivi flagyl nacho chakula/kinywaji eeh?

Uongo....asali limau ni dawa ya mshedede wima masaa 3
Mmh
 
Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.

Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
Hamna ukweli wowote
 
Hata kama nina njaa nikichukua punje tano za njugu mawe na dagaa watano wale kauzu wa ziwa Victoria!

Baada ya dakika kumi hivi nitaanza kucheua kana kwamba nimevimbiwa kabisa (kuvimbiwa ya kushiba sana) na baadae pia nitajamba vitu vinanuka mpaka unajiogopa!! Sijajua kama kuna madhara kiafya!!

Kuna wakati wa ujana mdogo (std seven up to form 2) nilikuwa napenda sana kufanya hivyo na sikumbuki nilijifunzia wapi!
 
Back
Top Bottom