Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ingekuwa ni kweli watu wasingekuwa wanajiua kwa visu na kamba ,wangekuwa tu wanapata huo mchanganyiko
 
Mi kuna Siku nilikula mchanganyiko flani nilikunya mavi kama ya fungo ila ngangale
 
Cha hakika na nilichokiona na kukishuhudia ni uhatari wa kula ndizi nyingi hasa zile ndogo ( kisukari) na Coca-Cola, unakufa huku unajiona, yule mtu ashukuru alitokea mtu akatoa wazo la kula karanga mbichi na dagaa pamoja na mafuta ya kula akaanza kutapika, hata hivyo alipata nafuu akaenda kuponea hospital
 
Back
Top Bottom