Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

katika pitapita zangu nimekutana na hii habari,kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi. utakufa! je ni kweli na kama kweli vipo msaada wa kuvitaja
Kule kwetu mila zetu zilikuwa zinakataza wakina mama kula mayai, figo, maini, nundu ya ng'ombe, filigisi n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…