Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

Mkuu, pole sana.

Bikra unaelewa kwanza ni nini?
Kwa lugha nyepesi Bikra ni uwepo wa HYMEN.

Je, Hymen ni nini?
Hymen ni utando mwembamba wa tishu unaozunguka na kufunika sehemu ya kufungulia ya uke.

Sasa mwanamke akishaingiliwa (iwe kwa hiari ama lazima) ule utando utajikaza na kuchanika.

Na kuchanika kule ndiyo haswa kunakopelekea kutoka damu na wahusika kuita kuvunja bikra.

Je, bikra inaweza kurudi baada ya kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu?
Jibu ni HAPANA. Ikishakatika haiwezi kuota tena kwa namna yeyote ile.
Kitabibu haiwezekani abadani.

Ukweli pekee ni kuwa, uke wa mwanamke una uwezo wa kujirudi na kupungua size isipotumika kwa muda mrefu. Ndiyo kunakopelekea kubana na pengine kuhisi kitu haijatumika.

Je, ni nini hicho ambacho kimepasuka na unachikiita damu!?
KItabibu ndiyo zipo capsules ziitwazo Vaginal suppositories. Hizi hutumika katika kubalance PH ya kwenye uke na kutibu baadhi ya maambukizi.

Lakini pia kuna ambazo hutumika kienyeji kwa malengo mbalimbali. Haswaa, kudanganya.

Je, umepata maambukizi?
Hakuna jibu la moja kwa moja. Kwa sababu usahihi pekee ni kupima na kujua kama umeambukizwa ama la. Au pengine mabadiliko kwenye viungo vyako vya uzazi.

Hujatueleza pia kuwa hiyo discharge ilikuwa na harufu gani? Uume wako uliwasha? Kuna mabadiliko yeyote?

Fika hospital kwa uchunguzi.
 
Well said
 
Umekutana na demu yuko period over, watoto elfu mbili hebu tuachane kwanza dah, ukiulizwa kuwa mwanamke bikira ni yupi? utajibu nini? Jibu ni rahisi sana kuwa ni mwanamke ambaye hajawahi kuingiliwa na kitu kigumu sehemu zake za siri over. Ikiwa amejitia au kutiwq vidole au dildo huyo si bikira tena. Iweje ambaye hajaingiliwa kwa muda fulani tu? Mhhh alikuokota kweli alafu akakupiga hela? Unasemaje haikuwa siku yake ya period? Umemfuatilia kwa muda gani mpaka kujua mpangilio wake wa period? Vipi kama alitumia dawa fulani ambazo zilivuruga mpangilio mzima? Kwa maelezo yake na yako alikuona boya akaona akupige na ukala iliyooza jifunze.
 
Dunia ya leo kuna mwanamke wa kukaa miaka mitano bila kugongwa? Alikuwa jela ama? Dogo ulipigwa KO
 

Soma huu uzi wangu mkuu tuna fanana aisee. Wote tulipigwa changa la macho. Mchana kweupeeee
 
Bikra hairudi kamwe, ila mwanamke akiacha kusex sio miaka mitano hata miezi mitatu tu misuli ya uke inabana kabisa na katika kuingiliwa tena mnaanza upya, ila sio damu labda mtu anaweza kuumia kwa kuchanwa kidogo au msuguano.

Na hata kwenye bikra ile ya kawaida si kila mwanamke anapata madamu hivyo, inakuwa kawaida tu.

Huyo wako na hizo damu akueleze vizuri, Mwambie sayansi imekataa kitu kama hiko.
 
Ananiambia ameenda botch hospital madaktari wananishangaa et ni mwanaume gani naogopa bikra??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…