Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

Umeanza kupagawa?
 
Hii ya Leo Kali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna Raha ya kudate Mwanamke mwenye drama hivyo jiandae akija na lingine.

Ukimfuatilia kwa makini utagundua amekudanganya vitu vingi
Uko sahihi kabisa na pia amekua mwepesi kutumia pesa kuni bribes nadhani nifanye maamuzi ya kiume fasta
 
Nashukuru saana Dr. Ushauri wako nimeupokea na kuelewa.

Kuhusu harufu ukweli hapakua na harufu yeyote, na wala sijapata muwasho zaidi nilishangazwa na ile damu kua nyepesi saana
 
Ila tangu umeachwa unazingua mno, ni kama haupo sawa
Its true wala si uongo, nashindwa ku settle coz siamini mwanamke pia ishu za kikanisa zinazingua so najikuta tuu na hangaika kiasi ambacho i wish nisingekua na hisia za mapenzi nitulie kabisaa, tatizo siwezi maliza wiki bila kudinya naskia msongo wa mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…