Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

Ndg waziri wa michezo katutania na wewe unaendeleza utani ,hii nchi imegeuka nchi ya utani utani ,tuwe serious
 
Even akiwa amezaa au ajazaa akishatilewa bikra tu ya kwanza ndio basi sasa huyo hadi katotoa dah ila mleta mada sijui anatania au yuko seriously
Mzee sitanii ishu nimekutana nayo live.... na kilichonichanganya zaidi ni kuniambia et madaktari wanedhibitisha ni bikra kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…