Endelea kuota ujinga, umesahau afrima, afrimma, hipipo kuto huko alikiba alikuwa lakini diamond kamcharaza vibaya sana.Kaogopa kuaibika coz asingepata kitu...angeambulia garasa
Kiba hana izo show off lkn akiamua anaweza jaza uwanja wa mpira....kma unakumbuka kuna jamaa ni muigizaji kutoka congo alifanya mahojiano na bongo5 akasema kiba anakubalika sana congo kuliko hata wiz na davido upo so akiamua anawezaEndelea kuota ujinga, umesahau afrima, afrimma, hipipo kuto huko alikiba alikuwa lakini diamond kamcharaza vibaya sana.
We unazungumzia ujinga wa eatv awards?
Ulitaka diamond akakae foleni na manfongo kuchukua form?
Ukitaja Top 3 ya male artist in Africa diamond yupo ndoni.
Diamond ana show zambia na zimbabwe tu hapo , mwambie kiba akafanye show uone kama atazaja hata chumba
Congo? Nani kazungumzia congo hapa? Congo hata bongo movies wakina johari, ray kigosi, uwoya walienda wakapokelewa kama wafalme,Kiba hana izo show off lkn akiamua anaweza jaza uwanja wa mpira....kma unakumbuka kuna jamaa ni muigizaji kutoka congo alifanya mahojiano na bongo5 akasema kiba anakubalika sana congo kuliko hata wiz na davido upo so akiamua anaweza
Hivi hata unaja kwa nini Diamond hakuwepo kwenye fiesta?Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????
Mapovu yanaruhusiwa
Kwa sababu mbabe wake king kiba alikuwepo aliogopa kupotezwaHivi hata unaja kwa nini Diamond hakuwepo kwenye fiesta?
We huna akili na pia nawacwac na elimu yako nahc umeishia primary.... Yan leo uache kula hela ndefu ya afrima huko uje kuperfom fiesta ya laki 3... We kichaa kwel aliyekuzaa kala hasara mtot c ridhik wew....Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????
Mapovu yanaruhusiwa
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]We huna akili na pia nawacwac na elimu yako nahc umeishia primary.... Yan leo uache kula hela ndefu ya afrima huko uje kuperfom fiesta ya laki 3... We kichaa kwel aliyekuzaa kala hasara mtot c ridhik wew....
Povu vepeWe huna akili na pia nawacwac na elimu yako nahc umeishia primary.... Yan leo uache kula hela ndefu ya afrima huko uje kuperfom fiesta ya laki 3... We kichaa kwel aliyekuzaa kala hasara mtot c ridhik wew....
Nachoshukur umeelewa... Mbona mtaisoma number ndo tuzo zenu hzo...mcpogombania hzo mtapata wap tuzo.... Mtatokwa sana mapovu mwaka kwa mondi kudadek had boi mnageuka mabintiPovu vepe
Kiswahili ulichokitumia nimekipenda mfano tiariDiamond mwisho wake umefika ndo maana ameamua kuajir Vijana ili wamsitili. Na hizi tuzo zake za ujanja ujanja na figifu figusu Kama jamaa take wizkd na mhuni mwenzie tecno p3. Yaani diamond na professor lipumba ni sawa sawa maana wapo tiari wakuchawie ukose ingawa hushindani nao
Kumbe muanzilishi wa huu uzi team kiba, cjui kwanin watu wanapata shida kubishana na mtu kama wew, utoto unakusumbua nenda insta na fb kwa watoto wenzioAlipata izo tunzo kipindi kiba kapumzika kufanya mziki ndo akamuachia upenyo domo ku-shine sasa mwenye kiti kesharudi mtajuta na huu ndo mwanzo tu
Huo ndio ukweli ambao hawa jamaa wa kariakoo hawautaki.Bila collabo?au unconditional bae sio collabo?
Hata hivyo baada ya diamond kutengeneza njia hawa wengine ndo wamefuata hata Raymond hana collabo ana nyimbo 2, tu katoboa kimataifa, wasanii sasahivi wanaenjoy baada ya diamond kuwafungulia dunia
Mashabiki wa kiba matusi ndo jadi yao, hata fiesta walipanga kakamzomee wakamkosaBora WCB hawashiriki manake kelele zingekua nyingi hasa huko insta nimeona kuna shabiki mmoja wa Kiba huko insta anajiuliza mbona Mondi hayumo kwenye tuzo,walikuwa washajiandaa kwa mitusi Mondi kawakomesha.
Kwa sababu mbabe wake king kiba alikuwepo aliogopa kupotezwa
Msimu huu mpya wa coke studio diamond hayumo banaMashabiki wengine wanamharibu msanii wao bila wao kujua. Wakati Mondi akitaka kuuvusha mziki kidunia kuna kundi linataka apambane na wasanii wa nchi yake. Hovyo sana.
BTW Mondi yuko huku anafanya live show ndani ya coke Studio.. Sikiliza good music.
Mkuu kwani nimesema msimu hapo?Msimu huu mpya wa coke studio diamond hayumo bana