Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Status
Not open for further replies.
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
Kwanza ishu ya Fiesta iko wazi sasa hivi Diamond ni Balozi wa Vodacom na Tamasha la Fiesta kwa Mwaka 2016 lilikuwa liko chini ya udhamini wa Tigo Tanzania kwa hiyo ilikuwa ni ngumu kwa Diamond kuperform kwenye Jukwaa la Fiesta kwa hiyo yeye kuwa Nigeria ni kwa ajili ya kukamilisha ratiba zake za Show maana list ya show atakazozifanya kwa mwaka huu ziko wazi kwa hiyo hata ile show aliyofanya nje ya Nchi wakati Fiesta inaendelea ilikuwa kwenye Ratiba.

Pili: Kuhusu tuzo za MTV EMA.
Nikurudishe nyuma kidogo Mwaka juzi Sauti Sol kutoka Kenya walichukua Tuzo hiyo ya Kundi Bora, Mwaka Jana Diamond akachukua Tuzo mbili za MTV EMA kama Best African Act na Worldwide ile ambayo ilijumuisha na India. Mwaka huu wa 2016 kwa Mujibu wa Diamond mwenyewe kupitia Kipindi cha The Playlist cha Times Fm kilichoko chini ya Ommary Tambwe Diamond alitoa sababu hii. Nanukuu " Mwaka huu Mimi sijawa nominated lakini Ally kawa Nominated hivyo watu tumpigie kura na tuzo ije kwetu na sababu ya Mimi kutokuwa nominated hawa MTV hawawezi kumuweka mtu ambae alichukua tuzo last time eti awanie wanakuwa na mashaka kuwa anaweza kuchukua tena so ikawa kama kuna upendeleo fulani.

Mwisho Diamond hamuogopi Alikiba wala Ally hamuogopi Diamond ila ushindani uliopo ni wa muziki kama Kazi ila katika Maisha ya kawaida wako kawaida ila kila mtu ana ratiba zake kwa hiyo ndio maana hata kugongana kwenye ratiba ni ngumu. So mwisho wa siku tuwapende wasanii wetu na kuthamini kila kitu wanachokifanya maana kwa muziki wa Tanzania Alikiba na Diamond kwa sasa hivi wametutangaza sana.
One love. Tanzania Moja. Afrika Moja.
 
Swali lako ni zuri wacha nikupe majibu kwa uelewa wangu na ufuatiliaji wangu wa mambo. Kwanza ishu ya Fiesta iko wazi sasa hivi Diamond ni Balozi wa Vodacom na Tamasha la Fiesta kwa Mwaka 2016 lilikuwa liko chini ya udhamini wa Tigo Tanzania kwa hiyo ilikuwa ni ngumu kwa Diamond kuperform kwenye Jukwaa la Fiesta kwa hiyo yeye kuwa Nigeria ni kwa ajili ya kukamilisha ratiba zake za Show maana list ya show atakazozifanya kwa mwaka huu ziko wazi kwa hiyo hata ile show aliyofanya nje ya Nchi wakati Fiesta inaendelea ilikuwa kwenye Ratiba.

Pili: Kuhusu tuzo za MTV EMA.
Nikurudishe nyuma kidogo Mwaka juzi Sauti Sol kutoka Kenya walichukua Tuzo hiyo ya Kundi Bora, Mwaka Jana Diamond akachukua Tuzo mbili za MTV EMA kama Best African Act na Worldwide ile ambayo ilijumuisha na India. Mwaka huu wa 2016 kwa Mujibu wa Diamond mwenyewe kupitia Kipindi cha The Playlist cha Times Fm kilichoko chini ya Ommary Tambwe Diamond alitoa sababu hii. Nanukuu " Mwaka huu Mimi sijawa nominated lakini Ally kawa Nominated hivyo watu tumpigie kura na tuzo ije kwetu na sababu ya Mimi kutokuwa nominated hawa MTV hawawezi kumuweka mtu ambae alichukua tuzo last time eti awanie wanakuwa na mashaka kuwa anaweza kuchukua tena so ikawa kama kuna upendeleo fulani.

Mwisho Diamond hamuogopi Alikiba wala Ally hamuogopi Diamond ila ushindani uliopo ni wa muziki kama Kazi ila katika Maisha ya kawaida wako kawaida ila kila mtu ana ratiba zake kwa hiyo ndio maana hata kugongana kwenye ratiba ni ngumu. So mwisho wa siku tuwapende wasanii wetu na kuthamini kila kitu wanachokifanya maana kwa muziki wa Tanzania Alikiba na Diamond kwa sasa hivi wametutangaza sana.
One love. Tanzania Moja. Afrika Moja.
Thumb up.....ww ndo umeeleweka wengne walikuwa wanapuyanga tu
 
Iv izo nyimbo bado zipo zinaishi au umezijaza kwny memory kadi yako unapiga getto coz uku kitaani tushazisahau
Mfano mzuri shoo ya fiest kama uliona ndo utajua nymb znapendwa au hazipendwi
 
Kwanza ishu ya Fiesta iko wazi sasa hivi Diamond ni Balozi wa Vodacom na Tamasha la Fiesta kwa Mwaka 2016 lilikuwa liko chini ya udhamini wa Tigo Tanzania kwa hiyo ilikuwa ni ngumu kwa Diamond kuperform kwenye Jukwaa la Fiesta kwa hiyo yeye kuwa Nigeria ni kwa ajili ya kukamilisha ratiba zake za Show maana list ya show atakazozifanya kwa mwaka huu ziko wazi kwa hiyo hata ile show aliyofanya nje ya Nchi wakati Fiesta inaendelea ilikuwa kwenye Ratiba.

Pili: Kuhusu tuzo za MTV EMA.
Nikurudishe nyuma kidogo Mwaka juzi Sauti Sol kutoka Kenya walichukua Tuzo hiyo ya Kundi Bora, Mwaka Jana Diamond akachukua Tuzo mbili za MTV EMA kama Best African Act na Worldwide ile ambayo ilijumuisha na India. Mwaka huu wa 2016 kwa Mujibu wa Diamond mwenyewe kupitia Kipindi cha The Playlist cha Times Fm kilichoko chini ya Ommary Tambwe Diamond alitoa sababu hii. Nanukuu " Mwaka huu Mimi sijawa nominated lakini Ally kawa Nominated hivyo watu tumpigie kura na tuzo ije kwetu na sababu ya Mimi kutokuwa nominated hawa MTV hawawezi kumuweka mtu ambae alichukua tuzo last time eti awanie wanakuwa na mashaka kuwa anaweza kuchukua tena so ikawa kama kuna upendeleo fulani.

Mwisho Diamond hamuogopi Alikiba wala Ally hamuogopi Diamond ila ushindani uliopo ni wa muziki kama Kazi ila katika Maisha ya kawaida wako kawaida ila kila mtu ana ratiba zake kwa hiyo ndio maana hata kugongana kwenye ratiba ni ngumu. So mwisho wa siku tuwapende wasanii wetu na kuthamini kila kitu wanachokifanya maana kwa muziki wa Tanzania Alikiba na Diamond kwa sasa hivi wametutangaza sana.
One love. Tanzania Moja. Afrika Moja.
Kuna kupanda na kushuka wakati mond anachukua tuzo saba zi kili mbona mwaka ulio fata akawa nominated na akambulia mbili tu mbna mtvema kwa nchi nyngne wasanii wanajirudia na kuna mwaka wanapat mwingne wanakosa hyo maneno alisema mond na sio mtv wameona sa hv king yupo juu wakampchka king so now tunajua ya diamond uwezo wake ulkua mwaka jana so ushapita now kuna fundi wa mda wote na ataendelea kuburuza mipovu inawatoka
 
Labda sijui tafsir ya kuogopa ikoje ila nadhan kila mtu alikua na ratba yake kwa muda ule na seba maganga wa clouds alisema kabisa sababu za diamond kutokuwepo.
Kuhusu tuzo za EATV nafikir diamond hafany nomination yeye mwenywe so kama hakuwekwa hawez kulazmisha
 
Mfano mzuri shoo ya fiest kama uliona ndo utajua nymb znapendwa au hazipendwi
Hahahahaaa ww kwl unajitekenya afu unacheka mwenyewe fiesta kama anapafom msibani mpk aligeuka kuwa mc badala ya kuimba
 
Kuna kupanda na kushuka wakati mond anachukua tuzo saba zi kili mbona mwaka ulio fata akawa nominated na akambulia mbili tu mbna mtvema kwa nchi nyngne wasanii wanajirudia na kuna mwaka wanapat mwingne wanakosa hyo maneno alisema mond na sio mtv wameona sa hv king yupo juu wakampchka king so now tunajua ya diamond uwezo wake ulkua mwaka jana so ushapita now kuna fundi wa mda wote na ataendelea kuburuza mipovu inawatoka
Tuzo yenyewe mpk mlilie ndo mpewe
 
Umezisikia tena izo tuzo za ktma kama bado zipo ni kutokana na huwo upuuzi walioufanya mwaka jana ndo maana ulizigarim zikakosa thaman
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
Amuogope mtu ambae hana kitu mpka dem wake wa zamani karithi,timu fisi hamna jipya fanyeni kazi mfanikiwe
 
Nyie ndo mnaotaka mashindano tuzo unajipendekeza mwenyewe ye hakutaka Kiba kaona zinamfaa kajipendekeza mnamtafuta Mondi mbona huwaulizii wasanii wengine kuna wasanii wengi tu hawamo.Na kama je alijipendekeza hakuchaguliwa unajuaje? Nadhani ni vizuri ukawauliza EATV wenyewe watakupa maelezo mazuri kwanini Mondi hayumo.
diamond hayupo kwakuwa hakuchukua fomu ya kushiriki.
 
Hiyo ndio wanaswahili wanasemama"Simba kakimbia kuti la mnazi"Diamond anaonyesha uwoga waziwazi
 
Mleta mada hueleweki unasimamia nini katika uzi wako!

Umeuliza maswali ya kishari zaidi wakati huohuo unajitambulisha kama timu Mondi! kwanini msiachane na mambo haya ya kitoto na kutoa sapoti kwa wasanii wote wa TZ wanaofanya vzuri?
 
Ww nawe nitolee stress zako wapi nimejitambulisha kuwa mm ni timu flani mm nasimamia ukweli ukipotosha nakunyosha cna upande
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom