NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Lovelovie

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
12,582
Reaction score
26,053
Bwana Yesu apewe sifa.

Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.

Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.

Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu hili?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜
 
Back
Top Bottom