NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Bwana Yesu apewe sifa.

Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.

Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.

Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜
Nimekaa hapa nasubiri masingo waje kutoa hoja.
 
Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu hili?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜
Mimi kinachoniumiza ni vile mabraza walio-oa wanawaambia michepuko yao ""Tuendeleze mahusiano halafu ukipa mwanaume wa kukuoa tuachane""

Yaani wanachomaanisha hawa wapuuzi, Braza aliyeoa asugue mbunye ya mchepuko, aimwagie mananiliuuuu halafu mchepuko ukimpata dronedrake ndio uachwe ukaolewe na braza Drone.

Kwamba braza wangu Drone aoa mbunye used and over spent..!!

Anyway; niko mbeya nanenane nimepata lodge karibu na gheto la teacher To yeye
Karibu sanaaa mrembo, baadae tukutane Bar ya Uswahilini ya Rombo Bar (Kabwe, along side njia ya Isanga karibu na soko la Makunguru) Tupate lites za kutosha na mchemsho..!!!

#YNWA
 
Back
Top Bottom