NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Imagine umekutana na Mandingo halafu ukaenda kuolewa na Timu Kiba, hivi unadhani utaweza kutulia na timu Kiba kweli??

Imagine ulishazoea kucheza miguu yote, halafu ukaenda kuolewa na Mchezaji anayepiga mguu mmoja, unadhani hautamisi kukutana na Mchezaji anayepiga miguu yote???

Jibu ni hapana, asilimia 97.89 hawatulii
 
Imagine umekutana na Mandingo halafu ukaenda kuolewa na Timu Kiba, hivi unadhani utaweza kutulia na tumu Kiba kweli??

Imagine ulishazoea kucheza miguu yote, halafu ukaenda kuolewa na Mchezaji anayepiga mguu mmoja, unadhani hautamisi kukutana na Mchezaji anayepiga miguu yote???

Jibu ni hapana, asilimia 97.89 hawatulii
😂😂😂😂Kizazi hiki chetu ikifika 2035 ndoa zitakua za kuhesabu Sana😂😂😂😂
 
Bwana Yesu apewe sifa.

Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.

Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.

Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜
Ni kweli kabisa huwezi kumuoa kahaba ukajipa moyo et atatulia
 
Back
Top Bottom