Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Ndio tena nakwambia🤷Ya kweli haya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tena nakwambia🤷Ya kweli haya?
Si anachunguzwa... ?Utajua vip kama ashawai kua na mahusiano mengi huko nyuma?
Naunga mkono hoja na uzi uishie hapaImagine umekutana na Mandingo halafu ukaenda kuolewa na Timu Kiba, hivi unadhani utaweza kutulia na timu Kiba kweli??
Imagine ulishazoea kucheza miguu yote, halafu ukaenda kuolewa na Mchezaji anayepiga mguu mmoja, unadhani hautamisi kukutana na Mchezaji anayepiga miguu yote???
Jibu ni hapana, asilimia 97.89 hawatulii
Na vipi akiwa ni muhuni chinichini wakazi wa eneo lake wasijue,Si anachunguzwa... ?
Mchunguze mtu hata kwa kuuliza wakazi wa eneo alipo,watakwambia,baada ya hapo utaamua,uoe ukubaliane na hali au umsevu kwaajili ya matumizi kama wenzako walivyomsevu kwaajili ya matumizi.
Halafu kuoa mwanamke wa hivyo,unakua haujawatendea haki wanaume aliotembea nao,maana wakitaka kumtumia itabidi waongeze umakini,huo ni usumbufu.
Ni vema ukamtumia tu kama wenzako,cha muhimu ushajua yukoje.
Hawezi kutulia ndio, mfano mzuri ni Kosugi aliolewa akiwa sio bikra tena alikua singo maza hakutulia kila bodaboda alipewa, wauza duka na walinzi ndio usiseme kiufupi demu kama huyu Kosugi ambae sio bikra hafai kuolewa na hana hadhi ya kuwa mke wa mtuBwana Yesu apewe sifa.
Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.
Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.
Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu hili?😁😁
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?😜
Kwasababu ametoa jibu sahahi la swali lako Zaid ya wote.Kwa nin uishie hapa?
Tabia yako sio nzuri!
Usiwachukulie wanaume poa🤣🤣mara nyingi tunafunika kombe tu maisha yasonge. Ni kama kuchunguza kama mdada anapiga miguu yote, tunaona sema tunakaa kimya kuruhusu maisha yaende🤣🤣Nimeamini wanaume kupumbazwa ni rahisi Sana😁😁😁😁
😂😂😂😂😂Sawa na vipi kuhusu mwanamke alotulia (bikra )siku akipata chenye humpatii huko ndani, unahisi ataendelea kua na heshima.
Sawa love, ni tag nijeTabia yako sio nzuri!
Halafu uje kule nikuulize kitu kuhusu yule mtu unayempenda
Yani kwenye nanii mnachezeshwa sana tena na wadada ambao ni sheeeedaaaUsiwachukulie wanaume poa🤣🤣mara nyingi tunafunika kombe tu maisha yasonge. Ni kama kuchunguza kama mdada anapiga miguu yote, tunaona sema tunakaa kimya kuruhusu maisha yaende🤣🤣