NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Utajua vip kama ashawai kua na mahusiano mengi huko nyuma?
Si anachunguzwa... ?
Mchunguze mtu hata kwa kuuliza wakazi wa eneo alipo,watakwambia,baada ya hapo utaamua,uoe ukubaliane na hali au umsevu kwaajili ya matumizi kama wenzako walivyomsevu kwaajili ya matumizi.
Halafu kuoa mwanamke wa hivyo,unakua haujawatendea haki wanaume aliotembea nao,maana wakitaka kumtumia itabidi waongeze umakini,huo ni usumbufu.
Ni vema ukamtumia tu kama wenzako,cha muhimu ushajua yukoje.
 
Naunga mkono hoja na uzi uishie hapa
 
Na vipi akiwa ni muhuni chinichini wakazi wa eneo lake wasijue,
Utajua vp kua katumikia sana
 
Hawezi kutulia ndio, mfano mzuri ni Kosugi aliolewa akiwa sio bikra tena alikua singo maza hakutulia kila bodaboda alipewa, wauza duka na walinzi ndio usiseme kiufupi demu kama huyu Kosugi ambae sio bikra hafai kuolewa na hana hadhi ya kuwa mke wa mtu
Cc : ephen_
 
Tabia yako sio nzuri!
Halafu uje kule nikuulize kitu kuhusu yule mtu unayempenda
 
Nimeamini wanaume kupumbazwa ni rahisi Sana😁😁😁😁
Usiwachukulie wanaume poa🤣🤣mara nyingi tunafunika kombe tu maisha yasonge. Ni kama kuchunguza kama mdada anapiga miguu yote, tunaona sema tunakaa kimya kuruhusu maisha yaende🤣🤣
 
😂😂😂😂😂Sawa na vipi kuhusu mwanamke alotulia (bikra )siku akipata chenye humpatii huko ndani, unahisi ataendelea kua na heshima.
 
Usiwachukulie wanaume poa🤣🤣mara nyingi tunafunika kombe tu maisha yasonge. Ni kama kuchunguza kama mdada anapiga miguu yote, tunaona sema tunakaa kimya kuruhusu maisha yaende🤣🤣
Yani kwenye nanii mnachezeshwa sana tena na wadada ambao ni sheeeedaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…