Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na tetemeko la ardhi, wahisani walitoa michango mingi sana kwa ajili ya maafa lakini ndugu hawakulamba hata mia.
Msimu wa mvua unakaribia je wataendelea kuogelea kwenye madimbwi ya pale stendi Bukoba mjini mpaka lini?
Msimu wa mvua unakaribia je wataendelea kuogelea kwenye madimbwi ya pale stendi Bukoba mjini mpaka lini?