Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikoa mingi haina stend,Tabora, Songwe,hata mji wa, Tunduma,Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na tetemeko la ardhi, wahisani walitoa michango mingi sana kwa ajili ya maafa lakini ndugu hawakulamba hata mia.
Msimu wa mvua unakaribia je wataendelea kuogelea kwenye madimbwi ya pale stendi Bukoba mjini mpaka lini?
View attachment 2739662
View attachment 2739664