Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Huyo atakuwa na majibu kamiliaje atusaidie majibu ...huyo jamaa wa kashai bukoba
Waziri bashungwa naye hajitambui,aliwekwa tamisemi akabaki anashangaa,amepelekwa tena ujenzi napo abaki anashangaa shangaa
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Hakuna Muhaya anayeshaurikawahaya ni watu rigid sana, hata kumpa ushauri tu yataka moyo
ukweli mchungu au sio😂😂Mmewaponda sana japokuwa ni ukweli,
huwa mnasema waha ni wabishi..mnawasahau wahayaHakuna Muhaya anayeshaurika
Labda Ashauriwe na Mungu
Ahaa haaaah leo mjukuu wetu kasi mama kututetea. Asante sana mjukuu wetu. Ni kweli serikali imetelekeza mkoa wa Kagera. Hiyo stand ya mabasi is a tip of icebergkuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na tetemeko la ardhi, wahisani walitoa michango mingi sana kwa ajili ya maafa lakini ndugu hawakulamba hata mia...msimu wa mvua unakaribia je wataendelea kuogelea kwenye madimbwi ya pale stendi bukoba mjini mpaka liniView attachment 2739663View attachment 2739663View attachment 2739664
Nikuulize swali, hilo bonge la stand ya Kigoma pesa ya kulijenga imetokea kwenye vyanzo vya mapato vya mkoa huo bila kutoka serikali kuu?shida sio waziri...shida ni wakazi husika wa bukoba mjini ndio wenye tatizo..nenda kigoma mjini uone bonge la stendi iliojengwa pale
Ni vichomi kweliukweli mchungu au sio😂😂