Ni kweli kuwa Serikali haina fedha ya kuwajengea stendi ya mabasi ndugu zetu nshomile?

Mikoa mingi haina stend,Tabora, Songwe,hata mji wa, Tunduma,
Stend za, Msamvu Moro, au Ya, Dodoma, ni strategic ilibidi zijengwe, kwa, manufaa mapana ya nchi.
Kwa, Bukoba, kuna watu wana maslahi binafsi na kale ka stend kabovu,ukiiamisha biashara zao zitakufa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…