Ni kweli kuwa watu wote walioko kwenye ndoa au waliooana wanapendana?

Kwenye mapenzi mna-claim kutumia moyo, ili mkiumizwa mlalamike "oooh! how did I end up with this guy" In the first place mnatakiwa kutumia Brain the una-mix na Moyo kidogo! sio moyo jumla jumla!

Sometimes unakuwaga Kipanga kweli! leo huna hengiova.Bht mrembo,tutake tusitake huu ndio ukweli.Tunapaswa kutumia moyo na akili la sivyo hawa wavaa suruale watatufanya mazoba kila siku.
 
@Iribini mbona unataka kuni-misuse mwenzio bado mpya hivi??

@Bigirita moyo ni kwa mapendo na kichwa mahesabu

@Carmel nitafanya 'bash' pale 'New Maisha Club Usiku wa leo' lol!!!!

WOS uko wapi kuna watu wame=hijack sred yako hapa........mi simo
Hongera kwa kupata licence ya kusema uwongo kwa bei yoyote ile!!
Ile likizo itakuwa imeisha sasa,! wapi Bala.

Xpin acha kum-misiyuzi this newly, unused...read to use professional mtetezi
 
Sometimes unakuwaga Kipanga kweli! leo huna hengiova.Bht mrembo,tutake tusitake huu ndio ukweli.Tunapaswa kutumia moyo na akili la sivyo hawa wavaa suruale watatufanya mazoba kila siku.
Umeonaeee!!
waache tu waendelee kutumia moyo kwenye mapenzi, na brain kwenye arthmetics waone maumivu kama yataisha!

kama kuna mdada anatafuta mchumba, leo akikutana na mimi leo, yani full marriage material!!
Halafu kale katufe kakukagua invizibo sijui kabania!!!
 
Hongera kwa kupata licence ya kusema uwongo kwa bei yoyote ile!!
Ile likizo itakuwa imeisha sasa,! wapi Bala.

Xpin acha kum-misiyuzi this newly, unused...read to use professional mtetezi

at the corner........B umechelewa sana jamani

BTW: leo sijui nimeamkaje maana bado naota hapa....infact nipo lushoto nimejiunga kusomea certificate ya utumishi wa mahakama so i was only dreaming the day am going to be sworn in as the so called msema uongo ..oops msema kweli tu before the pilato...........

I was only dreaing jamani................stop congratulating me for just dreaming ebo!!! people...
 

mapenzi yenyewe si mahesabu??? mi natumia moyo kwenye mapendo tu sio mapenzi
 

Hahahahahahahaaaaa.Haya B,Bahati nzuri mdogo wangu ana mchumba tayari...........
Lakini wasi wnagu unaweza kuwa ndio haya tunayojadili leo.....Utamchenjia mdada wa watu badae akaanza juta.
 
carmel mada haizingatiwi tena kwenye thread hii .............lakini mwanzo ilikuwa ni kujieleza ni kwa sababu zipi uliingia kwenye ndoa?

MI LEO SINA MOOD KABISA YA KUCHANGIA, BUT IM FOLLOWING, SEMA TU IMEBIDI NIJITOKEZE KUMPONGEZA BHT, baada ya kuona nae ni mmoja wapo wa watu walofanya mista awe bize siku mbili tatu hizi.
 
Kama ni hivyo I will need some witten apology statement. Before I change my mind!!
 

Usihofu.They congratulate you in advance,
Hujui kuwa reality zote huwa zinaanza na Dreams...........
Kazi kwako to make the dream come true.
 
@carmel jamani bado kidogo tu ila hata hivo asante kwa uvumilivu kwa MR.

@ Iribini wewe hiotagi?? si ndo mwanzo wa kufanikiwa kwa jitihada ili utimize ndoto??
@ charity bora wewe mwelewa

People baadae .... mwl kaingia darasani sasa
 
MI LEO SINA MOOD KABISA YA KUCHANGIA, BUT IM FOLLOWING, SEMA TU IMEBIDI NIJITOKEZE KUMPONGEZA BHT, baada ya kuona nae ni mmoja wapo wa watu walofanya mista awe bize siku mbili tatu hizi.


My dear Carmel Invisible imeichukua mood yako au??:A S-rose:
 
Kama alivyosema FL1 kila mtu aliingia kwenye ndoa kwa sababu zake binafsi. .
Kama ndivyo basi ndio maana MOKOYO; FIDEL80; etc bado hawajawa na ndoa.

Ila inaonyesha ndoa zina vijimambo maana jana NYAMAYO kacomment somewhere kuwa kwenye ndoa hakulimwi dhahabu na SHISHI naye akaja na lake akasema hata changarawe hakuna labda kuna makaa ya mawe.

lakini ebu tumuulize TEAMO ambaye bado hajafikisha mwaka kwenye ndoa yake yeye anaonaje, ndoa ina lipi tamu au chungu kuliko useja?

lakini pia siyo mbaya PAKAJIMMY na CHRISPIN pamoja na NGULI wakatupa uzoefu wao kwenye miaka waliyokaa kwenye ndoa wanaweza kutueleza nini lililo tamu ambalo kuliko ubachela?

pia siyo mbaya kwa akina mama kama vile FL1, WOS na MAMA JOE wakatupa uzoefu wao.

NB: wadau wanaweza kusema nimetoka nje ya mada ila hapana kupitia majibu ya hawa wachache walioko kwenye ndoa majibu ya mada yatakuwepo kabisa. Ngoja tuone majibu yao
 
Hahahahahahahaaaaa.Haya B,Bahati nzuri mdogo wangu ana mchumba tayari...........
Lakini wasi wnagu unaweza kuwa ndio haya tunayojadili leo.....Utamchenjia mdada wa watu badae akaanza juta.
wachumba wengine wa-Kichina, sio marriage material!
Mimi kwa leo tu, ni marriage material, itakuwa juu ya anipatae kutabiri kama nitaendelea kuwa hivi kwa muda mrefu!!
 
Stuka!!!
hawa humu wote wameshaonja mvunjiko wa MOYO!!
Ambao hawapo humu, saa hizi wapo busy, wanatayarisha chakula cha jioni, wanapiga pasi nguo za watoto, au wanaelekea sokoni kutafuta fresh fish kwa mlo wa jioni wakina Baba kayayii wakirudi waburudike na samaki then chakula cha kimila cvha Usiku!!
 

Mkuu Mokoyo,

Mimi niko kwenye ndoa kwa siku takribani 770 hivi, na nilidumu kwenye uchumba kwa miaka 7. Kama leo hii mtu akiniuliza katika maisha yako what do u consider the greatest failure of ur life ningesema KUCHELEWA KUMUUO MRS NGULI. Nafurahia sana maisha ya ndoa na siri kubwa ya furaha ya ndoa yangu ni kuwa nimeiweka mikononi mwa Mungu pili 'LISTENING' is our strongest pillar. UVUMILIVU hasa kwenye hobby/prefference zetu mrs nguli yeye anapenda sana kupika na kuangalia movie za kinaijeria inabidi hata kama sitaki na kweli sizitaki wala kuziona hizo movie kwa hio navumilia mpaka hizo movie zinaisha na nyingi zina mpaka part 3, na yeye huwa anatafuta muda wa kuni sindikiza gym(/jogging) na kufanya na mimi mazoezi japo hapendi kabisa .Yaani huwa natamanigi ni force muda uende haraka niiwahi familia yangu jioni wakati wa kutoka kazini.

Kosa kubwa vijana wengi wanafanya siku hizi they merry for mercy not for love theory.....yaani 1 wao akigundua kuna hitilafu hawawezi kuoana anaona acha tu tuoane "namuonea huruma ataumia sana nikimuacha"
 
 
Birigita ..... Wenzio wako kazini ndo wanaingia hapa.... Kuanzia saa kumi na moja jioni wataenda kuwapikia samaki
 
wachumba wengine wa-Kichina, sio marriage material!
Mimi kwa leo tu, ni marriage material, itakuwa juu ya anipatae kutabiri kama nitaendelea kuwa hivi kwa muda mrefu!!

wat r u tryin to say here....
Teamo una kesi ya kujibu hapa kwa Bigirita kama mme-conspire nitajua hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…