Hahahaha! dada yangu bana...... Ulimpa nini huyu mtu mpaka akakuganda hivyo. Si lazima usemee hapa, twende kwenye PM.
nyamayao pole lakini hongera at the same time..........huh mwenzetu ushawahi kuwa na stalker wako binafsi! wenzio wanaitafuta bahati kama hiyo! lol
ndugu yangu ndoa sio nyepesi kihivyo, kila mtu anakutana na msalaba wake...................kama alivyosema dark city tuzidishe kuomba tu kwa mungu atuepushie vitu vyengine, yaliyopita hayana umuhimu sana katika ndoa, kuelekea mbele ndio kasheshe
Kama kwenye ndoa kuna Pendo na Penzi la kweli, kasheshe litatokea wapi? Talking to experience, mimi na ndugu zangu wanajua kuwa baba na mama yangu ni wapenzi wa kweli (mpaka nawaonea wivu). Sijawahi kushuhudia wakikosana, kugombana au kutukanana hadharani. Mama anamheshimu sana baba na baba anampenda upeo mama. Ndoa yao sasa inagonga miaka 40 sasa. Au labda mniambie kama bado kuna nafasi ya ndoa hii kupata kasheshe huko mbele ya safari. Mimi naamini ndoa iliyozaliwa kwa watu kupendana, haitaleta kasheshe sasa na hata baadaye.nyamayao pole lakini hongera at the same time..........huh mwenzetu ushawahi kuwa na stalker wako binafsi! wenzio wanaitafuta bahati kama hiyo! lol
ndugu yangu ndoa sio nyepesi kihivyo, kila mtu anakutana na msalaba wake...................kama alivyosema dark city tuzidishe kuomba tu kwa mungu atuepushie vitu vyengine, yaliyopita hayana umuhimu sana katika ndoa, kuelekea mbele ndio kasheshe
Ila na wewe sometimes huwa unakumbukia mambo flani... sema tu ukwelimtu anapopoteza kitu ndio anapoona umuhimu wake, sasa huyu ikawa too late lakini akawa kama anataka kujitoa ufahamu vile.
Pole jamani:
Waswahili wanasema "Awali ni Awali"!
sasa ni vijimambo kama hivyo nakuambia wewe umeviepuka, imagine hapo mr alinibadilikia ki namna gani, yaani ilikuwa kazi kweli kurudisha hali kama zamani, ilikuwa ishu haswa, na mbaya zaidi wivu umemtawala bac akical kidogo umechelewa kupokea na mpo labda job au mpo sehemu tofauti ni unaanza kuambia oohh ahhh mnarudi nyuma badala ya kwenda mbele...khaa....nakupongeza sana Gaijin.
Mkuu Mbu binadamu tunapokuwa kwenye mapenzi mara nyingi huwa ni raha tupu. Binadamu tunazijua kasoro zretu ambazo wapenzi wanaweza kuzikubali na nyingine ambazo hawatakuwa tayari kuzikubali hivyo kipindi hicho cha mapenzi moto moto ni nadra sana kuzijua kasoro za umpendaye. Sasa unapoamua kuolewa naye au kumuoa basi ndiyo sasa anaanza kuonyesha makucha yake na kama nilivyosema kuna kasoro nyingine zinavumilika kabisa maana hakuna binadamu ambaye yuko perfect. Kwangu binafsi sipendi uongo, uchafu, wizi, uhuni, ulevi, dharau, kutokubali makosa na kusema samahani , kutojua kupika, uvivu wa kupita kiasi. Hizi kwa kweli si rahisi kuvumilika kabisa ukiuingia mkenge kama huu ni bora kujinasua haraka sana kabla ya kukumbana na matatizo utakayoyajutia kwa miaka mingi baadaye.
Kumbe ina faida nyingi hivyo! itabidi sasa tuanze kupiga kampeni wasichana wasubiri mpaka ndoa ndio wafanye tendo.................unaonaje?
:mmph:
hapa nyamayao umegonga Ikulu ..sijui huwa wakoje wanadhani mtu umekuwa customer care
Ila na wewe sometimes huwa unakumbukia mambo flani... sema tu ukweli
mie niliulizwaga mwanzoni kabisa..bfnd/galfrnd, lakini nilipokuwa ndani sasa, yule mwanaume alieniacha(mana niliachwa) ikatokea tupo mji mmoja kwenye kutafuta maisha, akaanza usumbufu wa hapa na pale, mpaka mr akahic kitu fulani hivi, nikasema ngoja nijitoe kimasomaso kumwelezea kwamba mhucka alikuwa ni huyu na sasa anaanza kusumbua fulani hivi(lilikuwa kosa kubwa kusema) nilikuwa siendi mahali bila mr/mtu wa ziada, nilikuwa cna uhuru/amani kabisa, mpaka ikatokea cku moja ishu imeniletea kasheshe, mana alieniacha alikuwa anacctiza mie nilikuwa chaguo lake sema shetani alimpitia so kwa gharama yoyote ananirudisha kwenye himaya yake, sasa hapo ilikuwa nikitoka ofcn huyu hapa, cku moja natokea supermarket mie cjui kama mtu ananiwinda mara huyu hapa kaanza kunivuta akitaka apate hata dk chache tuongee kdgo, mr yupo parking anaona kila kitu...nickuelezee kilichotokeaa, ctaki kukumbuka kabisa.
chrispin mpaka sasa nna miaka miwili ya ndoa sijakutana na kasheshe lakini hivyo ndio tunavyoambiwa kuwa makasheshe kwenye ndoa yapo.
mfano umesikia kuwa mume ametoka na bar maid ..............lol (kakosea tu lakini kusamehe kwa siku moja ni ngumu)
au mwanamme ameanza tabia ya kukaa saana nje na wewe huipendi..................ukimkosoa anakasirika.
au mwanamke kaanza kushiriki marafiki sana....................wewe hupendi lakini ukimwambia hakuelewi.
vipo vitu vinatokea vya kukera japo kwa hao wazee wetu walioishi miaka 40 pamoja, lakini vilitokea zamani na wameshavisahau ndio maana hatuvijui, au walijitahidi kumaliza mambo yao ndani mwao tu. Ndoa zilizo smooth bila ya kukwaruzana ni chache mno kama zipo.
Gaijin Darling,chrispin mpaka sasa nna miaka miwili ya ndoa sijakutana na kasheshe lakini hivyo ndio tunavyoambiwa kuwa makasheshe kwenye ndoa yapo.
mfano umesikia kuwa mume ametoka na bar maid ..............lol (kakosea tu lakini kusamehe kwa siku moja ni ngumu)
au mwanamme ameanza tabia ya kukaa saana nje na wewe huipendi..................ukimkosoa anakasirika.
au mwanamke kaanza kushiriki marafiki sana....................wewe hupendi lakini ukimwambia hakuelewi.
vipo vitu vinatokea vya kukera japo kwa hao wazee wetu walioishi miaka 40 pamoja, lakini vilitokea zamani na wameshavisahau ndio maana hatuvijui, au walijitahidi kumaliza mambo yao ndani mwao tu. Ndoa zilizo smooth bila ya kukwaruzana ni chache mno kama zipo.
Gaijin Darling,
Kama kweli unampenda utamlinda.............. UPENDO HUVUMILIA YOTE!!!!
Mwenye masikio na ASIKIE,kwa wote ambao ni ma-bachelors na ma-spinsters wote,msijesema badae kuwa mlisahau HAYA yote yanaelezwa hapa.haya maneno yako yana ukweli . Muhimu kuvumilia ili kulinda pendo lenu.
mtu asiingie kwenye ndoa akafikiri itakuwa nyepesi mwanzo mwisho, ajue kama Pendo linaweza kuhimili chochote
Nyamayao .............nakupa hongera kwa kutumia nguvu na jitihada ya kulinda ndoa yako. manake naona mambo yalikuandama.
inafaa uandike kitabu...................unaweza kuokoa ndoa za wengine