Ni kweli kuwa watu wote walioko kwenye ndoa au waliooana wanapendana?

hapo hujanitendea haki hahaaaaaa lol!!!
nina aleji na hiyo kitu ulotaja Charity and u definately know that...........
kuwahi raha sana bana hasa ukipatia, Nyamayao my dearest hapo ulicheza kama pele

Umeonae? kweli Nyamayao alicheza kama Messi! Kama una aleji na kichenipati basi ,Tutabypass hiyo step.angalau mambo yaende haraka yasizidi kuchelewa.Hanimuni lazima lakini........Ikwiriri!
 
AMEEEN

pole sana klorokwini ..............si ungeliondoka ukumbini na wewe! mbona unajitia majaribuni kihivyo!

Aondoke ukumbini awahi toilet kumaliza kabisa au?
 
:biggrin1::biggrin1: Mammushka kuna haki yangu moja umeninyima hapo?:jaw::jaw:

I hope si ya msingi hiyo haki...................lol!!! ni ipi?

@G mi nimevalishwa jeusi na kale ka-bib kwa hapo chini ya kidevu ili nisichafue shati nikiwa na -argue mbele ya pilato!!

WOS bora asije maana fulu ofu topiki hapa......hebu nipeni muda niperuzi hii topiki jamani labda ntapata swali niulize maana nikisema ntashirikiana uzoefu ....sina kitu hapo
 
hahahahha ....chrispin wewe mwisho! hahahha sina mbavu hapa......

lakini coming to think of it ............bora angeenda kumalizia kimya kimya kuliko kushtukiwa na mama watoto! ahahhaah
 
Kuna chizi mmoja jirani yangu anamkonyeza sana Matesha wangu. ngoja leo nikampe adhabu. Si utapata uzoefu hapo eti M?
 
Umeonae? kweli Nyamayao alicheza kama Messi! Kama una aleji na kichenipati basi ,Tutabypass hiyo step.angalau mambo yaende haraka yasizidi kuchelewa.Hanimuni lazima lakini........Ikwiriri!

Ikwiriri is inevitable mama...........siambiwi kitu hapo natumia only what my heart tells me to do and not my head/mind /braina or watever.........
 
hahahahha ....chrispin wewe mwisho! hahahha sina mbavu hapa......

lakini coming to think of it ............bora angeenda kumalizia kimya kimya kuliko kushtukiwa na mama watoto! ahahhaah
Hivi kale ka button ni mpaka tumhonge invizibo au? Nilitaka kukagonga hapa lakini.... anyway SENKSI!!!
 
Kuna chizi mmoja jirani yangu anamkonyeza sana Matesha wangu. ngoja leo nikampe adhabu. Si utapata uzoefu hapo eti M?

chap chap hebu njoo basi mi nianze kazi kmuhuri kanatafuta karatasi ya kugonga tu..........
 
chap chap hebu njoo basi mi nianze kazi kmuhuri kanatafuta karatasi ya kugonga tu..........
Hahahaha! kale kamkokoteni sitakaripea breki tena. Atakayejipendekeza mbele yangu, TUTAKUTANA KWA PILATO!
 
Ikwiriri is inevitable mama...........siambiwi kitu hapo natumia only what my heart tells me to do and not my head/mind /braina or watever.........
Kwenye mapenzi mna-claim kutumia moyo, ili mkiumizwa mlalamike "oooh! how did I end up with this guy" In the first place mnatakiwa kutumia Brain the una-mix na Moyo kidogo! sio moyo jumla jumla!
 
G afu umenisuuza na hiyo post yako...........ulikuwa so so fresh best yangu dah!! hapo sina usemi tena

aaah bana weee hata lunch sijapata nilienda kuapishwa mahakama kuu ujue leo wee acha tu..........fulu kujipangusa wikend hii lol!!!

Mbona hatualikani bht, sherehe wapi? hope umenunua joho kama bado nione. Congrats for real Advocate BHT!
btw mada ni nini?
 
ha ha ha ha ha!
naona kommenteta umeshakuja ready for the attack

TUPEANE POLE KWANZA.........!maanake ile ''adui muombee njaa ya jana haikufanikiwa'':biggrin1::biggrin1::biggrin1:

heheheeh wewe msaliti bana uliingia mitini ikabidi wakereketwa wa uingereza waniwekee sanction kwenye ile sredi, lakini GHANA alirejesha tabasamu hewani , jana kwa mara ya kwanza majirani niliwapatia offer ya ugali wa bure.

AMEEEN

pole sana klorokwini ..............si ungeliondoka ukumbini na wewe! mbona unajitia majaribuni kihivyo!

hehehe kuna majaribu mengine huwa wanaume tunayapendaga na tunayaenjoy , lakini bahati mbaya waifu alipogundua supu likaingia mjusi lakini tushamtoa.

Hahahaha! Naona umepona sasa?

Vipi ilikuwaje ikawa hivyo adui wa parasaiti?

hehehe ni habari ndefu mkuu , kweli kuumbwa mwanaume ni nusu ya kufeli maisha (nimesibitisha hiyo)
 
Si kweli! Nafikiri kwa sababu wengine wanatumia njia zisizo sahihi kupata mchumba na kuoa au kuolewa, mfano unaletewa mchumba, au anavutiwa na mwanamke au mwanaume kingono tu, au unaenda Bagamoyo au kwa Shekh Yahya ili akuvutie mchumba halafu mindumba ikisha expire ndani panakuwa moto tu. Ndoa nyingine siku hizi ni watu waonekane na wenyewe, hasa wadada, wameolewa eti ni kutunza heshima, nyingine ni kufuata mali; wanandoa wengine wanaoana bila kufahamiana vizuri na pia kukosa uvumilivu, na kadhalika.

Pia nafikiri kabla ya kuendelea na mada hii tuwe na maana halisi ya 'kupenda' au 'upendo'. Huko Star TV wame - define vipi? Maanake kwa kiingereza kuna maneno mengi kama 'affection', 'love', 'like', 'fondness' n.k. Na maana ya kupenda iwe imekidhi mazingira yote (all contexts and objective). Pia tufahamu ndoa nini.
 
carmel mada haizingatiwi tena kwenye thread hii .............lakini mwanzo ilikuwa ni kujieleza ni kwa sababu zipi uliingia kwenye ndoa?
 
@Iribini mbona unataka kuni-misuse mwenzio bado mpya hivi??

@Bigirita moyo ni kwa mapendo na kichwa mahesabu

@Carmel nitafanya 'bash' pale 'New Maisha Club Usiku wa leo' lol!!!!

WOS uko wapi kuna watu wame=hijack sred yako hapa........mi simo
 
Mamushka hiyo si ndio inaitwa love at the first sight? OMG wapi Noname?
 
carmel mada haizingatiwi tena kwenye thread hii .............lakini mwanzo ilikuwa ni kujieleza ni kwa sababu zipi uliingia kwenye ndoa?

aaah basi bana mi ngoja nisepe naleta flies tu hapa wajemeni sore from the deepest part of my heart, ngoja nipitie uzoefu wenu kimya kimya ila maswali ntauliza loudly!!
 
Mamushka hiyo si ndio inaitwa love at the first sight? OMG wapi Noname?

hahaaa lol...............mi simo
provoke tu watu afu tuone sasa...me didnt say nothing here
 
bht kizuri kula na mwenzio ..............and we learn from other people's mistake manake ukisubiri u learn from only ur mistakes hutajifunza vya kutosha

sasa masuala yanakaribishwa
 
NDOA samtaimu ni MAJARIBU , kama wiki 5 zilopita kuna mdada wa hafu kasti alikuja kumtembelea waifu, haki ya nani nilitokwa na jasho mpaka waifu akanishtukizia.

eee muumba ilinde ndoa ya klorokwini (tusemeni amen)

...Ameen, ha ha haaa...
maisha ya ndoa jifanye mpofu tu, la sivyo utabaki unashangazwa na "uzuri" wa mashemeji, majirani, na hata ma hausi geli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…