Ni kweli kuwa watu wote walioko kwenye ndoa au waliooana wanapendana?

Ni kweli kuwa watu wote walioko kwenye ndoa au waliooana wanapendana?

wat r u tryin to say here....
Teamo una kesi ya kujibu hapa kwa Bigirita kama mme-conspire nitajua hapa hapa

Tatizo amewa-condem wote (material za kichina na wale original). Naamini original bado zipo ingawa walio wengi wanavutwa na materials za kichina zaidi kwa kuwa zimetengenezwa kuvutia macho.
 
Dah....hizi page zinavyoongezeka kwa kasi ...!!!!!Nimekuja at my desk..wakati iko page ya 6..sasa hivi ni page ya 11
Nashukuru sana hii michango hapa...napata picha ya hali ilivyo....yaonesha hali si ya kuridhisha sana..inatutisha kdg ila hakuna budi kuoa maana siwezi kuzini,na nahitaji to love and to be loved.Binafsi,family tie naipa nafasi ya pili baada ya love.sitaki ku disturb kabisa uhusiano na familia yangu,Thanks God..they are soo understanding..I believe nitaweka yote sawa ..naomba sana Mungu.
Shukran tena,maana ilikuwa kama vile nimesahau situation ya huko home.one shud be very careful and God conscious
 
niliolewa nikiwa 28 na mwanamme ana 31. na tulisubiri kwa mwaka na nusu mpaka kuoana. hatukufanya kwa sababu mimi niliamini ni dhambi na nilipohama kwetu kuishi nje ya nchi i was 19, mama yangu aliniusia nifanye yote lakini sio kitu hicho coz kitamfanya sad sana na atajutia kuniachia kuishi mwenyewe kama siwezi kujihifadhi.

so i needed to keep my promise to God and to her .......i guess

naweza kusema kitu kimoja ambacho kilisaidia ni kuwa huyo mwanamme tunajuana tokea ni watoto lakini urafiki hasa wa kufika kupendana tuliuanzia huko huko tulikokuwa tunaishi.

but nilikuwa siendi kumtembelea mjini kwake hata iweje................yeye ndio anakuja, na akifika afikie hoteli.

bila ya shaka yeye aliwahi kuwa na uhusiano na watu wengine, but mie ndo huyo huyo one and only .........

Kula 5 Gaijin
 
....Qadhi, i wish you the best utapokuja kuoa. Hizo ulizo nazo ni expectations. Kwenye real life kuna "disappointments", ndio maana unaona topics zinakimbizana...

Hakuna formula ya kukabiliana na disappointments. Hapa utajifunza tu yaliyomo...lakini huenda wewe ukapata challenges tofauti kabisa. Unapozungumzia hutaki kabisa ku disturb kabisa uhusiano na familia yako, start considering these scenarios na jinsi utavyokabiliana nazo ndani ya ndoa..mfano;
  • mawifi wanahoji kwanini mkeo anachelewa kuzaa
  • mkeo hapendezwi unavyojali zaidi familia yako
  • mama'ko hapendezwi na hulka za mkeo
  • mkeo hapendezwi na ujio wa nduguzo, na mengi ya aina hiyo...
 
Hayo ni ya kweli Mkuu. Kama hujaingia ni kusubiri tu, kwani kibao kinaweza kugeuka had rangi ya blue inakuwa red. Ni kujiandaa kumpenda mwenzio na kukubali matokeo kunakoweza kutoa mstakabali wa ndoa. Vinginevyo wish list inabaki ukimbini wakati washikaji wanatesa na bia + misosi!
 
Hapo kwenye nyeusi tiii BAK!
Wapo wengi walioziona tabia hizi - kama siyo zote basi baadhi na kudhani watarekebishana mbele kwa mbele!
Utakuta labda mfano tu: Mwanaume mhuniii kupitiliza lakini bashasha zake usipime, au mwanamke mvivuuuu hajui hata kupika uji lakini mwanaume kafa hasikiii kisa urembo wa bibie au lugha lainiii ..mahabat! Mwaume mleviii komba kasingiziwa lakini faranga ziko za kutupatupa...nadhani ni swala la kupima na kuona mtu anataka nini mwisho wa siku...... nahaya hupelekea ndoa chungu mwanzo mwisho.

Ndo hapo J unachosema ni kweli kabisa, binadamu tunatofautiana katika kufanya maamuzi. Utamuona ndugu au rafiki anauingia mkenge pamoja na watu walio karibu yake baada ya kumtahadharisha lakini hasikii wala haoni maana ndiyo "kishaoza" na kama unavyojua kuna ile methali isemayo "Ukipenda, chongo utaita kengeza" basi mwingine atajipa matumaini kwamba nitambadilisha huyu we ngonja nimuoe/niolewe naye tu (na wote tunajua kumbadilisha mtu mzima kitabia si kazi rahisi hata kidogo) au wengine kwa sababu na wao wanataka kuingia katika lile daftari la "kaoa au kaolewa" basi hufumba kabisa macho na akili pia ili wasisikie la jini wala la shetani halafu baada ya muda ndiyo mtu anabaki na majuto mjukuu kukubalia makosa aliyoyafanya ya kuoa/kuolewa na mtu ambaye wengi walio karibu naye walimtahadharisha mapema kabisa.
 
niliolewa nikiwa 28 na mwanamme ana 31. na tulisubiri kwa mwaka na nusu mpaka kuoana. hatukufanya kwa sababu mimi niliamini ni dhambi na nilipohama kwetu kuishi nje ya nchi i was 19, mama yangu aliniusia nifanye yote lakini sio kitu hicho coz kitamfanya sad sana na atajutia kuniachia kuishi mwenyewe kama siwezi kujihifadhi.

so i needed to keep my promise to God and to her .......i guess

naweza kusema kitu kimoja ambacho kilisaidia ni kuwa huyo mwanamme tunajuana tokea ni watoto lakini urafiki hasa wa kufika kupendana tuliuanzia huko huko tulikokuwa tunaishi.

but nilikuwa siendi kumtembelea mjini kwake hata iweje................yeye ndio anakuja, na akifika afikie hoteli.

bila ya shaka yeye aliwahi kuwa na uhusiano na watu wengine, but mie ndo huyo huyo one and only .........

Hongera sana G...katika dunia ya leo uhuru uliokuwa nao katika umri huo mdogo kwa kuwa ulikuwa unaishi nje ya nchi lakini ukaendelea kuheshimu wosia wa mama na kutojirusha na mwenzio ni nadra sana kuusikia katika miaka hii.
 
Qadhi utamu wa ngoma uingie ucheze......... Nakushauri tu utakapotafuta wa kuoa jaribu ku balance baina ya mapenzi na zile alpha. Ndani ya ndoa pia lazima ujue nafasi ya mkeo ipi na ya mzazi wako ipi AU mtakorofidhana na mmoja wao.

BAK....... Si ngumu Kama mbavyofikiri. Ni kuwa tu na clear line inayotenganisha kile unachoweza kufanya na usichoweza. Ukishaweka wazi hicho....wengine wataheshimu matakwa yako.

Living a full life pia inakuondoa kwenye fikra hizo.... Go out with friends, travel, play sports, have hobbies, read a book, do something.....By the time unavrealize wassup ushafika 25. Hapo Tena uamuzi unakuwa wa bysara zaidi
 
Mkuu G, unachosema kinawezekana kwa mabinti wachache sana wengi hutetereka na kufanya kinyume na kile walichofundishwa na wazazi wao ndiyo maana watoto wa nje ya ndoa wameongezeka sana katika miaka hii na pia idadi ya abortions imekuwa kubwa mno ukilinganisha na miaka ya nyuma.
 
very true mamito, but waliopendana kiukweli hadi wakafunga hizo pingu za maisha ni wachache, na nafikiri ni bahati ila ukimshirikisha Mungu, na kuwa mwaminifu ktk amri zake kwa kumaanisha, waweza kuwa katika kundi la wenye bahati, otherwise kama ushabugi step u have to carry your burnens & sorrows.

Binafsi nadhani kuna ishu mbili hapa:
Kufunga ndoa kwa sababu watu wanapendana/walipendana na kupendana watu wakishafunga ndoa.Kwa wengi, mapenzi makubwa kwa wapenzi wao ndiyo yaliyowapelekea kutaka kuchonga mzinga kwa kufunga ndoa.Yaliyokuja kuwapata baadae ni matokeo!Hivyo basi ndani ya ndoa mapenzi yanaweza kujibadilisha , yakatoweka, yakabakia vuguvugu au kugeuka chuki ya ajabu.Na ndicho tunachokiona katika kila mada ya mahusiano hapa JF.Kuna makundi mawili (na nusu )makubwa:
1. Kundi la wenye ndia changa - hawa huenda wapo bado kwenye fungate.Wako kwenye kusadikika wakidhani mapenzi waliyo nayo yatabakia hivyo hivyo milele na milele Amina! Wasisahau kuna 7 year itch yaja.Subirini.
2. Kuna kundi la waliokwisha kujizititi na kuelewana na hivyo kujua namna ya kupambana na mazingira ya ndoa zao.Hawa ni wengi.Mapenzi yao kwenye ndoa ni kama homa za vipindi.Mara yamepanda temperature iko juu sana sasa hivi. Baada ya masaa machache imeshuka nk.Hawa tunapaswa kuwatia moyo na kuwaambia kuwa komae hivyo hivyo hadi kieleweke.
3. Kuna kundi la wale ambao mambo ni mabaya sana.Kujuta ni kama sala ya asubuhi. Hawa ni mawili.Ama kubwaga manyang'a au kusubiri mtoane roho. Hawa mara nyingi wanachukiana kuliko mfano.
Uko kundi gani mwenzetu?
 
Labda kama kukaa huko hakuta involve tendo la ndoa!

Tatizo kubwa watu wanataka kuoa/olewa na malaika wakati wao wenyewe sio malaika. Mara nyingi tunaona matatizo ya wenza wetu na kushindwa kuona yetu. Na ndio maana ukisikiliza migogoro mingi katika ndoa, kila mmoja anamnyooshea mwenzake kidole. Na mara kadhaa kwa kukosa maarifa tunapambana na dalili za matatizo badala ya kupambana na tatizo lenyewe na mwisho wa siku tunaishia kulalamika tu "huyu mtu habadiliki!" na pengine ndoa zinavunjika.

Very powerful statement!
 
Japo swali halijaelekezwa kwangu, lakini naomba nitoe mifano kwa ufahamu wangu.

1. Uaminifu - kama wapenzi wanakutana kwa appointment tu; mtu ambaye siyo mwaminifu anaweza kuhakikisha hagoganishi magari.

2. Uchafu - kuna wavulana siku akiwa anatembelewa na mpenzi wake ndipo ataweka nyumba soap soap na kuiweka ikiwa more organized, subiri uje umvamie siku moja bila taarifa inaweza kuwa aibu. Pia wapo wasichana ambao siku akiwa na date na bf wake ndipo anajiweka soap soap na anakuwa na kufuli special za kuendea kwenye hizo date, ukimvamia nyumbani unakuta kalunda vikufuli havijafuliwa wiki nzima, na hata kitanda kinaweza kuwa hakijatandikwa kwa wiki nzima.

3. Kupika - msichana kila mkipanga date anakupa/anaomba offer ya kula nje, huwezi jua kama anaweza kupika au la. Na kwa kuwa mapenzi yako fire fire wala mwanaume hawezi kushituka kulazimisha kwamba anataka kula chakula kilichopikwa na mpenziwe. Na kama msichana ni mtoto wa geti kali, ukianza kumwambia kupika unahisi mtapoteza muda zaidi badala ya kuendelea na yale mambo mengine ya chumbani ama kukaa pamoja mkipiga stori.

4. Ulevi - nina mfano hai. Nina cousin wangu (msichana) alikuwa anakunywa pombe kama hana akili nzuri lakini mchumba wake alikuwa hajui na mpaka wakaja kufunga ndoa. After 3 yrs ndio mume anakuja kugundua kwamba mkewe anakunywa pombe.

Lakini kasoro zote hizo inategemeana sana na closeness iliyopo kati ya wahusika, je wanatembeleana mara kwa mara? Pia distance iliyopo kati ya wahusika, siyo mmoja yuko Dodoma na mwingine yuko Dar hapo ndio hasara kabisa maana ukiwa unaenda kumtembelea lazima utoe taarifa ili ku-avoid kukutana na kufuli mlangoni.

Pia wahusika wanatakiwa kuwa huru, waweze kutembeleana any time hata bila miadi. Lakini kama msichana anaishi kwa wazazi ama walezi nafasi hiyo inakuwa ngumu na matokeo yake ni maumivu.

Mchango wako nimeupenda sana.
Lakini nimebaki na maswali mengi sana.Katika jamii zile ambazo ama kufuatana na imani zao za dini au mila na desturi zao hawaruhusiwi kuwa na wapenzi wao - hawawezi kutembeleana, kutoka pamoja n.k. mpaka wafunge ndoa kihalali, watatambuana vipi tabia za wenzi wao?
 
dearest, niliingia kwenye game bila kujua maana halic ya game, niliwahi kuingia kwenye game nikidhani ninavyompenda ndio maisha yote yatakuwa tambarare kama tulivyokuwa, ckuweka kichwani mambo ya familia mbili kuungana yaani niliingia ingia tu, imenifunza mambo mengi sana, pamoja na ya jamii inayonizunguka, bac nimejifunza mambo mengi, na mistakes wanazofanya ndugu, jamaa na marafiki ahh bac nikajua huu ulimwengu sio kama nilivyoujua mwanzoni.

Hauko peke yako. Ni wengi sana mpendwa!
 
Ulifanya jambo jema sana hasa kama hukuwahi kuhusiana kimwili na mtu mwingine kabla yake. Wengine hayo yalitushinda na kwa kweli nimeshaona baadhi ya madhara yake. Nasema ni nzuri kawa sababu kimsingi unakuwa huna yardstick ya kumpima/linganisha (kwa maana ya tendo la ndoa!)....huo ndio ulikuwa mpango wa Mungu.

Kuingia kwenye ndoa wakati umeshaonjaonja mara kadhaa sehemu zaidi ya moja wakati mwingine kunaleta matatizo kwa sababu tayari unakuwa unajua 'mema na mabaya' na hivyo unashindwa kuridhishwa na mmoja!

Very true! Na kwa wale ambao hawakuonja kabla wanatakiwa kuwa na nguvu ya ziada kujizuia kushawishika kujua hayo mema na mabaya baada ya ndoa.Watu kama hawa wakija kupata nyumba ndogo ndio huishia kimojaaa... wakijisingizia ati wamelogwa kumbe.... watamalizia wenyewe!
 
WOS umezibduka! Mpaka Mada ishakwenda mrama Tena! Lol
 
Hapa tunamjadili Woman Of Substance.

Kamwaga sredi afu kasepa. Kila mtu anaota uzoefu wake. Hatujui kama tuko ofu topiki au laa.
Sijasepa wala nini... TUPO PAMOJA...ninanyemelea jimbo...nimeshaanza kampeni ( shhhhh!! msiseme!)
 
Mchango wako nimeupenda sana.
Lakini nimebaki na maswali mengi sana.Katika jamii zile ambazo ama kufuatana na imani zao za dini au mila na desturi zao hawaruhusiwi kuwa na wapenzi wao - hawawezi kutembeleana, kutoka pamoja n.k. mpaka wafunge ndoa kihalali, watatambuana vipi tabia za wenzi wao?

Ni ngumu sana kujua tabia ya mpenzi wako, maana mioyo ya binadam imejaa hila. Kuna wanandoa wengi sana wanaishi double life na bado wenzi wao hawajaweza kuwagundua au wanakuja kugundua baadhi ya tabia zao baada ya miaka kadhaa. Kwa hiyo hilo la kutembeleana ama kutoka linaweza kusaidia kiasi kukupa hint kwamba mwenzi wako yukoje, lakini hai-guarantee kwamba utajua kila kitu.
 
....Qadhi, i wish you the best utapokuja kuoa. Hizo ulizo nazo ni expectations. Kwenye real life kuna "disappointments", ndio maana unaona topics zinakimbizana...

Hakuna formula ya kukabiliana na disappointments. Hapa utajifunza tu yaliyomo...lakini huenda wewe ukapata challenges tofauti kabisa. Unapozungumzia hutaki kabisa ku disturb kabisa uhusiano na familia yako, start considering these scenarios na jinsi utavyokabiliana nazo ndani ya ndoa..mfano;
  • mawifi wanahoji kwanini mkeo anachelewa kuzaa
  • mkeo hapendezwi unavyojali zaidi familia yako
  • mama'ko hapendezwi na hulka za mkeo
  • mkeo hapendezwi na ujio wa nduguzo, na mengi ya aina hiyo...
Nimekusoma vema Mkuu
Nakusudia kupishana na wazazi katika ambayo yanayo cost family stability openly.Kuna Caucasian mmoja ali fall in love with me....baada ya kumpitisha katika mizani yangu..nikaona anafaa kumuoa...ila hawezi kuishi Bongo.Ikabidi nishikirishe familia....dah ..ilikuja BIG NO...but niliona ni reasonable idea..kwa sababu ningeendekeza mapenzi..ingekuja kuni cost baadae pale nitakapohitajika kuhama Tanzania kabisa..ikabidi ni suppress tu zile hisia za love hadi nimerudi normal sasa hivi.
Of course,najua si kila kitu utatega sikio kwao....ila kuna mambo ya msingi lazima mushauriane ili mambo yasije yakaenda mrama
 
Qadhi utamu wa ngoma uingie ucheze......... Nakushauri tu utakapotafuta wa kuoa jaribu ku balance baina ya mapenzi na zile alpha. Ndani ya ndoa pia lazima ujue nafasi ya mkeo ipi na ya mzazi wako ipi AU mtakorofidhana na mmoja wao.

Gotcha Gaijin

BAK....... Si ngumu Kama mbavyofikiri. Ni kuwa tu na clear line inayotenganisha kile unachoweza kufanya na usichoweza. Ukishaweka wazi hicho....wengine wataheshimu matakwa yako.

Living a full life pia inakuondoa kwenye fikra hizo.... Go out with friends, travel, play sports, have hobbies, read a book, do something.....By the time unavrealize wassup ushafika 25. Hapo Tena uamuzi unakuwa wa bysara zaidi

Yup...unatakiwa ufanye self evaluation..ujue who u r n wht u want in life..n which right way to take...then draw ur lines of reference.It's very possible though is very tough too....provided a human being is a social entity....not easy to avoid social influences whose 90% may go against ur standpoints.

But worth to know that..every style of life u opt has got many problems to face...so just take best guidelines
 
Woman of substance avatar yako haiko ki sabustance, iko ki-sista duu zaidi. wink
 
Back
Top Bottom