Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

Wapwa wametamalaki Kipindi hiki cha miaka mitano, hivi niulize ni huko tu mjini ndio watoto wa dada zetu wanavimba au hii familia ya huyu bwana?

Hivi hana mtoto wa kiume angalau angewacontrol watoto wa dada kama alivyofanya Riz wakati ule??
 
Huyu mtoto wa dada alipata kesi ya mauaji Kanisani, haijapita mwaka Dotto naye kapata kuhusika katika chain ya maswali tata juu ya kifo cha Lwajabe, hii familia inatatizo gani na damu za watu
 
Hvi hyu jamaa sheria ilichukua mkondo wake kweli, na je bado yuko ofisini?
 
Back
Top Bottom