Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

Mungu pekee ndio mtoa hukumu za haki na katika hili atatenda haki vile vile.
 
Mungu pekee ndio mtoa hukumu za haki na katika hili atatenda haki vile vile.
 
Jf hakuna haja ya kuondoa uzi huu ili ujadiliwe na ukweli ujulikane , kutoka kuwa meneja wa hotel hadi kuwa DED siyo mchezo , acheni utata uondolewe
tuombe jamaa wapitiwe na usingizi lasivyo fastaa uataondolewa
 
Hili lina mashahidi wengi na RPC sio mahakama. Mahakama itahitaji ushahidi beyond reasonable doubts ndio itoe hukumu. Mimi nilisikia kaka wa marehemu kwenye taarifa ya habari akielezea DED alivyokuwa ameshika bunduki na kumfyatulia mdogo wake risasi kichwani, ubongo ukasambaa chini.
Sijui kama ataambiwa na yeye hamjui DED ni yupi kati ya wale walioingia ndani ya kanisa. DED atalindwa asiwe mfyatuaji kwa sababu atakuwa na makosa mengi kulinganisha na askari anayeruhusiwa kutembea na silaha ya aina ile.
mkuuu.picha lilianza mapema jinsi story ilivyo pigwa under cover hadi walivyoona kimenuka huku mitandaoni ndo wametoka mafichoni
 
Unasema zengwe!? Haya hebu tuambie ni silaha gani ilitumika kwenye hayo mauaji. Ma DED siku hizi wanatembea na silaha viunoni!!??? Aliyepiga risasi ni askari wanyamapori kwa amri ya DED. Thats it

Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi wanyama pori walikuwemo humo kanisani na mkurugenzi alikuwa na hamu ya kitoweo
 
Swala hili Lissu anatakiwa kulitangaza huko duniani kama kielelezo cha jiwe kutokufuata utawala wa sheria.
 
Kwa hiyo unadhani mahakama itatoa hukumu kwa kuwasikiliza RPC na wasaidizi pekee? Kuna upande wa mashahidi mahakamani. Hakuna siri mahakamani kila kitu kitakuwa wazi.
Hujui kitu....anayeandaa file la kesi na kutafuta mashahidi ni nani???jiulize ukipata majibu bonyea
 
Maswali 10

1. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi alifuata nini kanisani?

2. Je, ni kweli mkurugenzi huyo ana ugomvi na baba wa marehemu?

3. Je, mkurugenzi ndiye aliyetoa bunduki na kumfyatulia Isaka Isaka na kumuua?

4. Polisi wanasema tukio la mauaji lilitokea wakati mkurugenzi akiwa amekimbia je, ni nani aliyefanya mauaji hayo?

4. Polisi wanasema mkurugenzi huyo alikimbia na kufunga mlango, kwa nini alifunga mlango wa kanisa?

5. Baba wa marehemu anasema alishuhudia mkurugenzi akifyatua risasi, nani anazungumza ukweli, baba au polisi?

6. Je, ni kweli kuna kesi mbili mahakamani kati ya mkurugenzi na baba wa marehemu?

7. Kulikuwa na ulazima wowote wa mkurugenzi na msafara wake kwenda kudai ushuru wa mashamba kanisani?

8. Je, ni kawaida kwa mkurugenzi kupita mtaani kudai ushuru kwa wananchi?

9. Ni kwa nini Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo ameshiriki mazishi ya Isaka Isaka na kutoa ubani wa Sh1 milioni?

10. Je, ni kwa nini polisi, uongozi wa Singida haukutoa ushirikiano kwa waandishi wa habari kuzungumzia sakata hilo lilipotokea siku hiyo?

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom