Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

Risasi ikifyatuka bahati mbaya haiwezi piga kisogoni hio ni risasi ambao mpigaji alidhamiria,LUHENDE ni majina ya kisukuma, alijua akifanyacho akiamini atabebwa,MWALIMU alipokuwa na mtazamo makabila makubwa yasipewe leseni ya udereva alijua madhara yake.Ganda la risasi na mashuhuda wa tukio ndio wenye kujua aliyefyatua risasi na si MTU yeyote asiye kuwepo eneo la tukio
Acha ujinga kwani wasukuma wanafaidika na nini kuuawa kwa watu. Kila mmoja abebe dhambi zake. Dhambi ya mtu mmoja lisibebeshwe kabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani malipo yataonekana kabla jiwe hajamaliza kutawala mmemsahau DITOPILE ?Bado kidogo tu
 
Jf hakuna haja ya kuondoa uzi huu ili ujadiliwe na ukweli ujulikane , kutoka kuwa meneja wa hotel hadi kuwa DED siyo mchezo , acheni utata uondolewe
Yani kutoka kuwa DJ mpaka Mwenyekiti wa Chama Taifa hahaha
 
Tunapoelekea in kuzuri sana,maana mawingu yameanza kuonekana
 
Luhende hata akingiwe kifua vipi anachopaswa kujua ni kuwa, Jinai haichachi, Expire wala kuooza huyu anaemkingia kifua akimaliza muda wake basi ategemee minyororo itamfata tu na kumburuza mahakamani.
 
Hivi hawa watu wanao fanya mauaji tena hadi kwenye nyumba za ibada hawana hata hofu ya muumba wao

Unawezaje ingia kanisani na kuanza kufanya vurugu tena unaenda mbali zaidi na unamwaga damu ya binadamu mwenzako kwenye ardhi ya kanisa??

Askari anawezaje kuingia na bunduki ndani ya kanisa? Kipindi hicho hata uwe na cheo kiasi gani ukitaka kuingia kwenye nyumba ya ibada lazima uvue kofia tena wengine hata vyeo vyao walikuwa wanatoa

Ila sasa mtu hadi bunduki anakuwa huru kuingia nayo!!!.Hii ni mbaya sana kuliko tunavyo dhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa RPC na RCO si ndio wanapeleleza na kupeleka jalada kwa DPP kwa kushitaki....muwege mnaelewa taratibu za kazi za watu kabla ya maneno
Kwa hiyo unadhani mahakama itatoa hukumu kwa kuwasikiliza RPC na wasaidizi pekee? Kuna upande wa mashahidi mahakamani. Hakuna siri mahakamani kila kitu kitakuwa wazi.
 

Kesi ya jinai haiozi,haipitwi na wakati mkuu,kama ni kweli amehusika hata alindwe vipi,kesho litafufuliwa na atakaa anapostahili.

Ni muhimu kutambua,ni rais pekee ndio mwenye kinga ya kutoshtakiwa. Hiyo kinga ni yake peke yake.
Akishinda kesi wahanga watatafuta haki kwengine kama walivyofanya kwa yule rafiki yake JK aliyemfyatua dereva wa daladala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babake marehemu amesema kwamba alimuona Mkurugenzi kwa macho yake akimpiga mtoto wake risasi mchana kweupe mbele ya waumini
 
Ccm mmeshindwa kulinda uhai wetu damu za watz zimewakosea nn,wasiojulikana wana nguvu kuliko dola tunashindwa kuwaamiini tena 2020,tuweke watakao Linda uhai na usalama wetu
 
UNAWAZUNGUMZIA BAVICHAA WACHUMIA TUMBO?

BASI SAWA, KUMBE HATA NAMI NI MIONGONI MWA WAZALENDO HALISI SABABU NI

MZEE WA MADILI,

NAJIPENDEKEZA KWA MASHOGA,

NAPENDA KUTUMIA VYETI FEKI KWA AJIRA YOYOTE,

NAPINGA PINGA KILA KITU,

NAJUA KILA KITU,

NATUKANA TUKANA TU MAANA HIYO NDIYO DEMOCRACY,

NAITISHA ITISHA HOVYO MAANDAMANO MAANA MIMI NDIYE MUASISI MKUU WA DEMOCRACY DUNIANI.
Halafu kuna kichaa mmoja na vichaa wengine wadogo wadogo wanajidai wao ndio wazalendo wa kweli katika nchi hii kuliko wale wazalendo halisi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom