Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo nalo jambo. Walioshuhudia tukio, pamoja na baba wa mtu alieuwawa, wanasema DED. Polisi wanasema askari wa wanyama pori!Tumeshaambiwa DED hahusiki aliyerusha risasi ni askari wa wanyama pori.
Yote haya yameletwa na CCM.
Ukiangalia hizo posts nyingine juu yake, utaona kwamba maneno yako ni 100% true. Anamfokea hadi waziri wake! Du, I wish I kudu be ze prezident's kauzin.Ni jadi yao kuua sasa maana wana kiburi cha Mjomba...
Mkuu RPC wa Singida ndie alimtaja DED. Aliyesema ni askari wa wanyama pori ni msemaji wa jeshi la polisi.Hili lina mashahidi wengi na RPC sio mahakama. Mahakama itahitaji ushahidi beyond reasonable doubts ndio itoe hukumu. Mimi nilisikia kaka wa marehemu kwenye taarifa ya habari akielezea DED alivyokuwa ameshika bunduki na kumfyatulia mdogo wake risasi kichwani, ubongo ukasambaa chini.
Sijui kama ataambiwa na yeye hamjui DED ni yupi kati ya wale walioingia ndani ya kanisa. DED atalindwa asiwe mfyatuaji kwa sababu atakuwa na makosa mengi kulinganisha na askari anayeruhusiwa kutembea na silaha ya aina ile.
Haaa! Mkuu, wakati ule huyu Mkuu wa Mkoa Malima akiwa waziri akaibiwa SMG chumbani, kwani mawaziri walikuwa wanaruhusiwa kutembea na assault rifle?Unasema zengwe!? Haya hebu tuambie ni silaha gani ilitumika kwenye hayo mauaji. Ma DED siku hizi wanatembea na silaha viunoni!!??? Aliyepiga risasi ni askari wanyamapori kwa amri ya DED. Thats it
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la kuteua watu wasio na busara au uwezo wa uongozi au ndugu zako ndio hili. Soon or later kutakuwa na backfire, kaboom!Jf hakuna haja ya kuondoa uzi huu ili ujadiliwe na ukweli ujulikane , kutoka kuwa meneja wa hotel hadi kuwa DED siyo mchezo , acheni utata uondolewe
We #@@@ mbn unatetea ujingaUnasema zengwe!? Haya hebu tuambie ni silaha gani ilitumika kwenye hayo mauaji. Ma DED siku hizi wanatembea na silaha viunoni!!??? Aliyepiga risasi ni askari wanyamapori kwa amri ya DED. Thats it
Sent using Jamii Forums mobile app
We #@@@ mbn unatetea ujinga
Mtu kauliwa wote hao DED,maskari pori wagambo ndy wamekusikia
Unachowashwa nn au kwa sababu DED wenu katuhumiwa.....
Ungekuwa karibu yngu ungechezea nakoz
Kiaz weee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
ukipunguza milaaa akili itakujaIngekuwa Safi ndg jamaa yko ndy angefumuliwa hivo ungetia akili kdg
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
RPC wa Singida alisema "Suala hili ukiliangalia halikuwa na utashi wa busara hata kidogo. Hata matumizi yenyewe ya silaha , hata waliopiga mie nasema kwamba, sijui, huo ni ugaidi...". Hao ndio wateule wa raisi wetu; magaidi na watu wasio na utashi wa busara hata kidogo.Hivi unapata wapi ujasiri wa kwenda na silaha za moto kwenye nyumba ya ibada?.. tena unafyatua!! , hata kama wewe ni muislam hii si sawa, tena kiongozi sio jambazi!!
Tuwe na huruma hata ya nguoni kwenye maisha na roho zatu, huu sio uongozi ni utawala tena ubabe kabisa.
Lakini ndugu zangu mkumbukee tu kuwa, wale polisi waliofyatua risasi na kumuua AQUILINA wapo huru uraiani wanaendelea na kazi.. hapa unapata picha kuwa (sheria sio msumeno) utawala wa nchi hii wa sheria hauwahusu walio kwenye mnyororo wa wakuu wa nchi hii.
Ombolezeni msiba wenu naamini haya pia yatapita kama yale ila HAMTAKUJA KUMSAU KAMWE MPENDWA WENU.
Hii ndio nchi yetu kisiwa cha Amani.
Hayo ndio matangopori ya polisi!tayari kuna zengwe lishaanza kutengenezwa kumlinda DED. polisi wametoa taarifa eti aliyeua ni ofisaa wa wanyamapori.
so, inawezekana kweli upwa unahusika kwenye hili zengwe.
Zinapitwa na wakati mtuhumiwa akifa vp ww!!punguza munkari
Kesi ya jinai haiozi,haipitwi na wakati mkuu,kama ni kweli amehusika hata alindwe vipi,kesho litafufuliwa na atakaa anapostahili.
Ni muhimu kutambua,ni rais pekee ndio mwenye kinga ya kutoshtakiwa. Hiyo kinga ni yake peke yake.
kwanini Yesu abebe dhambi zakomajungu tu.kwani alitumwa.
biblia inasema' mwana hatabeba uovu wa baba na baba hatabeba uovu wa mwana.
Sasa RPC na RCO si ndio wanapeleleza na kupeleka jalada kwa DPP kwa kushitaki....muwege mnaelewa taratibu za kazi za watu kabla ya manenoHili lina mashahidi wengi na RPC sio mahakama. Mahakama itahitaji ushahidi beyond reasonable doubts ndio itoe hukumu. Mimi nilisikia kaka wa marehemu kwenye taarifa ya habari akielezea DED alivyokuwa ameshika bunduki na kumfyatulia mdogo wake risasi kichwani, ubongo ukasambaa chini.
Sijui kama ataambiwa na yeye hamjui DED ni yupi kati ya wale walioingia ndani ya kanisa. DED atalindwa asiwe mfyatuaji kwa sababu atakuwa na makosa mengi kulinganisha na askari anayeruhusiwa kutembea na silaha ya aina ile.