Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Ishu sio kutetea ishu ni nan aliyefyatua risasi...sawa wote wamehusika lakin leo na kesho mahakaman wakikutwa na hatia hukumu zitatofautiana tu. Kuna aliyetoa amri na aliyefyatua risasi na kuna aliyekwepo pembeni anashangaa tu. Toa fact sio kupinga tu
Btw...kiazi ni mke wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini tujiulize maswali ambayo majibu yake yanajulikana? Kwani risasi ilifyatuliwa gizani? Si ilikua ni mchana na mwanga wa kutosha. Hakuna aliyeona nani aliyefyatua risasi? Hao waumini wa Itigi viazi sana, hopeless kabisa. Waandishi wa habari za uchunguzi wako wapi? au wanaogopa sababu ya vinasaba vya mtuhumiwa? Mwisho was haya mambo si mzuri.