Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,409 Reaction score 13,262 Jun 5, 2019 #121 mfuga kuku said: Hv DAB ina maanisha nn? Click to expand... Daud Albert Bashite kutoka Kolomije
luvcyna JF-Expert Member Joined Feb 24, 2009 Posts 1,848 Reaction score 1,940 Oct 26, 2020 #122 Wapwa wametamalaki Kipindi hiki cha miaka mitano, hivi niulize ni huko tu mjini ndio watoto wa dada zetu wanavimba au hii familia ya huyu bwana? Hivi hana mtoto wa kiume angalau angewacontrol watoto wa dada kama alivyofanya Riz wakati ule??
Wapwa wametamalaki Kipindi hiki cha miaka mitano, hivi niulize ni huko tu mjini ndio watoto wa dada zetu wanavimba au hii familia ya huyu bwana? Hivi hana mtoto wa kiume angalau angewacontrol watoto wa dada kama alivyofanya Riz wakati ule??
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 26, 2020 #123 Makaburi yanafukuliwa kwa kasi ya 5G
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Oct 26, 2020 #124 Magufuli must go to have a rest at chato Sent using Jamii Forums mobile app
luvcyna JF-Expert Member Joined Feb 24, 2009 Posts 1,848 Reaction score 1,940 Oct 26, 2020 #125 Huyu mtoto wa dada alipata kesi ya mauaji Kanisani, haijapita mwaka Dotto naye kapata kuhusika katika chain ya maswali tata juu ya kifo cha Lwajabe, hii familia inatatizo gani na damu za watu
Huyu mtoto wa dada alipata kesi ya mauaji Kanisani, haijapita mwaka Dotto naye kapata kuhusika katika chain ya maswali tata juu ya kifo cha Lwajabe, hii familia inatatizo gani na damu za watu
loliondokwetu JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 1,376 Reaction score 1,752 Oct 26, 2020 #126 Hvi hyu jamaa sheria ilichukua mkondo wake kweli, na je bado yuko ofisini?