Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Wakati mwingine Ma RAPID TEST sio ya ku ya amini 100% trust meAloo yani umemtoa mtu telegram huko, mkaenda lodge kuchapana.
Mkachukua tuvipimo twenu mkajipima mkajikuta mko -ve, basi wale mnachapana kavu...
Watu mnajiamini sana aisee.
Yes SdCha awali Ni SD BIOLINE?
A person with HIV can livepole sana ila nikwambie tu hata kama kipimo hakitaonyesha basi mdudu bado unae mwilini mzee hata ufanyeje ww jifariji usubiri siku yako ya kufa..... ova
hukutumwa ushobokee k chafu usizozijua
Hawezi kukuchangia damu, kuna vipimo viwili, kimoja lazima kionyeshe.Hapa hoja yangu ni kwamba kama kipimo hakioneshi maana yake ipo siku huyu mtu anaweza kukuchangia damu.
Kama kipimo hakionyeshi inaitwa UNDETECTABLE.
Mtu akiwa katika hali hiyo hawezi kuambukiza.
we paka andika kiswahili acha shobo na lugha za waleta ukimwi,.What if you die before him?
Looks like HIV is a death warranty to you, isn't it?
Beware death, for nobody shall be spared.
Everybody for himself, God for us all.
jifariji na kiingereza chako jiulize kama ana ukimwi anaishi asienao anaishi kwa raha kiasi gani... tusijidanganye kwa hii misaada ya us wakikata mrija ndio mtaelewa kufa kilo mbili......A person with HIV can live
Hawezi kukuchangia damu, kuna vipimo viwili, kimoja lazima kionyeshe.
Kasema yeye siyo mwathirika, lakini anapenda pekupeku na huinunua kwa gharama kubwa.Mkuu hata kama wadudu hawaonekani wewe usiache kumeza dawa..!🤸
Mimi siyaamini na sijawahi kuyatumia, why upige kavu aiseeWakati mwingine Ma RAPID TEST sio ya ku ya amini 100% trust me
Pole mkuuNimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.
Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana.
Sasa kuna mtu mmoja ameniambia kwamba watumiaji wazuri wa ARV inafikia stage ambayo kipimo hakioneshi ni MUATHIRIKA sasa nimejiuliza maswali sanà kwamba kama ndivyo maana yake watu wataambukizwa Kwa kuamini kipimo.
Kama hali hiyo ni ya kweli bhasi tutakuwa na wagonjwa wengi siku zijazo Kwa maana mtu ukimpima Leo unapomla kavu unakuwa huna wasiwasi hivyo michubuko hutojali na utatumia ujuzi wako kumuonesha kuwa unayajua mapenzi kumbe mwenzio dawa zimemkubali.
Naomba kama kuna mtu anao ufahamu kubusu hili atujuze maana naisi tutaisha Kwa kuamini kipimo, hapa nazingumzia siku umempima ndio siku umemla sio mahusiano ya muda hapana, Kwa lagha nyingine ni eat and run.
Asanteni.
Naunga mkono hoja. Haya mambo ya eg mwanaume kubadilisha wanawake mara kwa mara huku ukitegemea hivi vipimo ni hatari sana. Wengi wanafanya kosa la kukaa na vipimo nyumbani na kumpima kila anayetaka kulala naye.Wakati mwingine Ma RAPID TEST sio ya ku ya amini 100% trust me
Babe, you know I scramble for your digits. I can proudly dial to reach and cherish you, leaving your evenings remarkable.haya I miss you more nipigie basi😎
Kwahiyo Dr katika utaalam wako watu wanaomeza dawa Kwa usahihi ukimpima kipimo kinaonyesha mistari mitatu.au miwili.
Hivi vipimo vya nyumbani kwa watu wanaobadilisha badilisha wenza mara kwa mara navyo siyo salama kwa asilimia zote.Pole mkuu
ipo hivi!
Hiv test inapima vinasaba vya hiv kwenye damu. Hivi vinasaba vikiwemo kwenye damu, haviondoki. Hivyo ikiwa aliyepima na akakutwa na vinasaba, hata atumie ARV, vinasaba vitasoma bila kelele.
Sa itakuwaje kutumia ARV?
Anayetumia ARV anapata matokeo makubwa mawili.
1. Anapunguza ujazo wa VVU (viral load) kwenye damu.
2. Anaimarisha umadhubuti wa kinga-mwili dhidi ya VVU (CD4 cells count) zinaongezeka mwilini.
Hii inamaanisha nini?
Kufubaza ongezeko la VVU mwilini pamoja na kuimarisha CD4 cells kunamuepusha mgonjwa dhidi ya magonjwa nyemelezi. Hii inaimarisha quality of life kwa mtu anayeishi na VVU.
Maana ya masomo haya ni nini?
1. Once HIV Positive, ALWAYS HiV positive. Usidanganyike!
2. Utaratibu wa kupima kabla ya kufurahia faragha ya kuingiliana, ndio ujanja huo. Endelea nao.
Kwaiyo icho kitu kinachoitwa kitaalamu unditect hakiwezi kutokea kabisa Kwa mtumiaji mzuri wa arv.Pole mkuu
ipo hivi!
Hiv test inapima vinasaba vya hiv kwenye damu. Hivi vinasaba vikiwemo kwenye damu, haviondoki. Hivyo ikiwa aliyepima na akakutwa na vinasaba, hata atumie ARV, vinasaba vitasoma bila kelele.
Sa itakuwaje kutumia ARV?
Anayetumia ARV anapata matokeo makubwa mawili.
1. Anapunguza ujazo wa VVU (viral load) kwenye damu.
2. Anaimarisha umadhubuti wa kinga-mwili dhidi ya VVU (CD4 cells count) zinaongezeka mwilini.
Hii inamaanisha nini?
Kufubaza ongezeko la VVU mwilini pamoja na kuimarisha CD4 cells kunamuepusha mgonjwa dhidi ya magonjwa nyemelezi. Hii inaimarisha quality of life kwa mtu anayeishi na VVU.
Maana ya masomo haya ni nini?
1. Once HIV Positive, ALWAYS HiV positive. Usidanganyike!
2. Utaratibu wa kupima kabla ya kufurahia faragha ya kuingiliana, ndio ujanja huo. Endelea nao.
Nimeelewa kuwa mmoja ana virus na mwingine Hana virus.
C'mon nigger.we paka andika kiswahili acha shobo na lugha za waleta ukimwi,.
Umezungumza kama mwenyekiti wa chama cha wasio subiri siku ya kifo.(CHAWASUKI)pole sana ila nikwambie tu hata kama kipimo hakitaonyesha basi mdudu bado unae mwilini mzee hata ufanyeje ww jifariji usubiri siku yako ya kufa..... ova
hukutumwa ushobokee k chafu usizozijua