Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

pole sana ila nikwambie tu hata kama kipimo hakitaonyesha basi mdudu bado unae mwilini mzee hata ufanyeje ww jifariji usubiri siku yako ya kufa..... ova

hukutumwa ushobokee k chafu usizozijua
A person with HIV can live
Hapa hoja yangu ni kwamba kama kipimo hakioneshi maana yake ipo siku huyu mtu anaweza kukuchangia damu.
Hawezi kukuchangia damu, kuna vipimo viwili, kimoja lazima kionyeshe.
Kama kipimo hakionyeshi inaitwa UNDETECTABLE.

Mtu akiwa katika hali hiyo hawezi kuambukiza.
 
A person with HIV can live
Hawezi kukuchangia damu, kuna vipimo viwili, kimoja lazima kionyeshe.
jifariji na kiingereza chako jiulize kama ana ukimwi anaishi asienao anaishi kwa raha kiasi gani... tusijidanganye kwa hii misaada ya us wakikata mrija ndio mtaelewa kufa kilo mbili......

unaishi kwa matumaini alafu unajifariji na kingereza amka shtuka ona mbele
 
Ndio ni kweli, mtu anayetumia ARV kwa usahihi kwa muda mrefu, hivi vipimo vya rapid test ambavyo ndivyo vinavyouzwa pharmacy na vinapatikana maabara vinaweza vikashindwa ku detect na hatimaye kutoa majibu ya FALSE NEGATIVE.
Kumbuka ARV husababisha wingi wa ujazo wa virusi katika damu kuwa chini sana hatimaye kutokuonekana
UNDETECTABLE.

Pia ikumbukwe kwamba hata mtu aliyepata maambukizi akiwa kwenye window period/ kipindi cha mpito vipimo vya haraka/ rapid test havionyeshi ndio maana unashauriwa kurudia baada ya miezi mitatu hadi Sita.

Hitimisho, maabara za benki za damu au hospitali kubwa wanazo ongezea watu damu wana vipimo ambavyo ni advance zaidi ambavyo vinaweza ku detect maambukizi ya virusi kwa usahihi zaidi tofauti na hivi vya rapid test vinavyotumika tulivyovizoea.
 
Mkuu hata kama wadudu hawaonekani wewe usiache kumeza dawa..!🤸
Kasema yeye siyo mwathirika, lakini anapenda pekupeku na huinunua kwa gharama kubwa.

Kabla ya kupiga, huchomoa vipimo vya mwendo kasi, baada ya dk 5 kuchora mstari mmoja mwekundu, huinua mikono yake yote juu na kusema 'bismilah' na kisha huchinja.

Kaja kusikia tofauti kwamba waathirika watumiaji wa muda mrefu wa ARV, dawa hizo hufubaza wadudu na kufanya wajifiche ndani ndani huko kukwepa vipimo.

Sasa kaanza kuhaha, maana keshachinja sana kwa mtindo wa pima, vua chupi🥺🥺🥱.
 
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.

Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana.

Sasa kuna mtu mmoja ameniambia kwamba watumiaji wazuri wa ARV inafikia stage ambayo kipimo hakioneshi ni MUATHIRIKA sasa nimejiuliza maswali sanà kwamba kama ndivyo maana yake watu wataambukizwa Kwa kuamini kipimo.

Kama hali hiyo ni ya kweli bhasi tutakuwa na wagonjwa wengi siku zijazo Kwa maana mtu ukimpima Leo unapomla kavu unakuwa huna wasiwasi hivyo michubuko hutojali na utatumia ujuzi wako kumuonesha kuwa unayajua mapenzi kumbe mwenzio dawa zimemkubali.

Naomba kama kuna mtu anao ufahamu kubusu hili atujuze maana naisi tutaisha Kwa kuamini kipimo, hapa nazingumzia siku umempima ndio siku umemla sio mahusiano ya muda hapana, Kwa lagha nyingine ni eat and run.

Asanteni.
Pole mkuu

ipo hivi!

Hiv test inapima vinasaba vya hiv kwenye damu. Hivi vinasaba vikiwemo kwenye damu, haviondoki. Hivyo ikiwa aliyepima na akakutwa na vinasaba, hata atumie ARV, vinasaba vitasoma bila kelele.

Sa itakuwaje kutumia ARV?
Anayetumia ARV anapata matokeo makubwa mawili.
1. Anapunguza ujazo wa VVU (viral load) kwenye damu.
2. Anaimarisha umadhubuti wa kinga-mwili dhidi ya VVU (CD4 cells count) zinaongezeka mwilini.

Hii inamaanisha nini?
Kufubaza ongezeko la VVU mwilini pamoja na kuimarisha CD4 cells kunamuepusha mgonjwa dhidi ya magonjwa nyemelezi. Hii inaimarisha quality of life kwa mtu anayeishi na VVU.

Maana ya masomo haya ni nini?
1. Once HIV Positive, ALWAYS HiV positive. Usidanganyike!
2. Utaratibu wa kupima kabla ya kufurahia faragha ya kuingiliana, ndio ujanja huo. Endelea nao.
 
Wakati mwingine Ma RAPID TEST sio ya ku ya amini 100% trust me
Naunga mkono hoja. Haya mambo ya eg mwanaume kubadilisha wanawake mara kwa mara huku ukitegemea hivi vipimo ni hatari sana. Wengi wanafanya kosa la kukaa na vipimo nyumbani na kumpima kila anayetaka kulala naye.
 
haya I miss you more nipigie basi😎
Babe, you know I scramble for your digits. I can proudly dial to reach and cherish you, leaving your evenings remarkable.
Pls, allow it to commence today.
Eagerly waiting to hearing from your side.
Sean.
 
Kwahiyo Dr katika utaalam wako watu wanaomeza dawa Kwa usahihi ukimpima kipimo kinaonyesha mistari mitatu.au miwili.
Screenshot_20240508-185357.png

Mkuu kwenye hii picha ume elewa Nini? Then ntakupa ufafanuzi
 
Pole mkuu

ipo hivi!

Hiv test inapima vinasaba vya hiv kwenye damu. Hivi vinasaba vikiwemo kwenye damu, haviondoki. Hivyo ikiwa aliyepima na akakutwa na vinasaba, hata atumie ARV, vinasaba vitasoma bila kelele.

Sa itakuwaje kutumia ARV?
Anayetumia ARV anapata matokeo makubwa mawili.
1. Anapunguza ujazo wa VVU (viral load) kwenye damu.
2. Anaimarisha umadhubuti wa kinga-mwili dhidi ya VVU (CD4 cells count) zinaongezeka mwilini.

Hii inamaanisha nini?
Kufubaza ongezeko la VVU mwilini pamoja na kuimarisha CD4 cells kunamuepusha mgonjwa dhidi ya magonjwa nyemelezi. Hii inaimarisha quality of life kwa mtu anayeishi na VVU.

Maana ya masomo haya ni nini?
1. Once HIV Positive, ALWAYS HiV positive. Usidanganyike!
2. Utaratibu wa kupima kabla ya kufurahia faragha ya kuingiliana, ndio ujanja huo. Endelea nao.
Hivi vipimo vya nyumbani kwa watu wanaobadilisha badilisha wenza mara kwa mara navyo siyo salama kwa asilimia zote.
 
Pole mkuu

ipo hivi!

Hiv test inapima vinasaba vya hiv kwenye damu. Hivi vinasaba vikiwemo kwenye damu, haviondoki. Hivyo ikiwa aliyepima na akakutwa na vinasaba, hata atumie ARV, vinasaba vitasoma bila kelele.

Sa itakuwaje kutumia ARV?
Anayetumia ARV anapata matokeo makubwa mawili.
1. Anapunguza ujazo wa VVU (viral load) kwenye damu.
2. Anaimarisha umadhubuti wa kinga-mwili dhidi ya VVU (CD4 cells count) zinaongezeka mwilini.

Hii inamaanisha nini?
Kufubaza ongezeko la VVU mwilini pamoja na kuimarisha CD4 cells kunamuepusha mgonjwa dhidi ya magonjwa nyemelezi. Hii inaimarisha quality of life kwa mtu anayeishi na VVU.

Maana ya masomo haya ni nini?
1. Once HIV Positive, ALWAYS HiV positive. Usidanganyike!
2. Utaratibu wa kupima kabla ya kufurahia faragha ya kuingiliana, ndio ujanja huo. Endelea nao.
Kwaiyo icho kitu kinachoitwa kitaalamu unditect hakiwezi kutokea kabisa Kwa mtumiaji mzuri wa arv.
 
Sio kweli mkuu, kile kipimo cha ngoma kinapima antibodies (ni kemikali mwili inayotoa ili kujilinda na virusi). Ukishapata virusi hio antibody itakuwepo kwenye mwili wako siku zote hadi unakufa.

Mtu akitumia ARV vizuri kinachopungua ni Viral load ( yaani wale virusi ndio wanapungua) sasa kuna muda wanapungua hadi wanafikia kiwango cha kuwa undetected kwa kipimo cha PCR ( sio hicho unachotumia wewe) lakini ukipima kwa kipimo tunachotumia hiki cha rapid test utakuta inasoma positive kama kawaida, kwa sababu hata kama viral road ni ndogo sana kiasi cha kuwa undetected kwa kipimo cha PCR, mwili bado unaendelea kutoa antibody( ile kinga ya kupambana na hivyo virusi vichache vilivyobaki) hivyo kipimo cha rapid test (tunachotumia mara kwa mara kujipima) kitakuwa positive tu.

Kwahio mkuu ukipima mtu ukamkuta negative maana yake ni kwamba hana ngoma au ameambukizwa juzi kati tu na bado mwili haujatengeneza hizo antibody.

Ushauri wangu kama mtu humuamini mmekutana kwa mara ya kwanza ukampima ukakuta yuko negative, tumia Condom then baada ya mwezi mpime tena akiendelea kuwa negative ndio ule kavu .
 
Back
Top Bottom