Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

Paragraph ya Kwanza Umedanganya Ila paragraph ya Pili Uko sahihi
 
Kwa neonate utatumia kipimo gani kama sio PCR?
 
Acha mbwembwe, watu wasio na furaha wapo wodini wanapigania maisha, wengine wana kansa, wengine uti wa mgongo umepinda, wengine utumbo mkubwa una shida, kila mtu ni marehemu mtarajiwa njia tu za kuufikia umauti ndo zinatofautiana.
kumbe unalinua hilo basi muombe Mungu asikuweke kwenye kundi la wanaoishi kwa matumaini.... bora anaepigania uhai icu kuliko mtu anaebeba wadudu full kumtafuna kila siku
 
Naomba ufafanuzi hapo, kwenye uwezo wa kuingilia huwa mdogo, unamaanisha kushiriki mapenzi yaani kujamiana.
.Je ikiwa inamaana hiyo, kwa uwezo huohuo aliobaki na akishiliki na mwenza bila kujikinga si bado anaweza kumuambukiza?
 
kumbe unalinua hilo basi muombe Mungu asikuweke kwenye kundi la wanaoishi kwa matumaini.... bora anaepigania uhai icu kuliko mtu anaebeba wadudu full kumtafuna kila siku
Unapajua ICU? Grow up.
 
Mkuu kipimo hata unywe arv miaka 100 kitaonyesha ila viral load ndio inakuwa ndogo
 
sipajui napaskia... ila ni bora kupambania uhai huko kuliko kuishi kwa dawa na matumaini ya kutokufa ukiwa na 2kg
ICU hujawahi fika ila unaona pana afadhali kuliko ambaye anameza dawa za kufubaza virusi vya HIV. Embu endelea kumuomba MUNGU afya njema acha mbwembwe.
 
Acha mbwembwe, watu wasio na furaha wapo wodini wanapigania maisha, wengine wana kansa, wengine uti wa mgongo umepinda, wengine utumbo mkubwa una shida, kila mtu ni marehemu mtarajiwa njia tu za kuufikia umauti ndo zinatofautiana.
Aisee
 
Reactions: Tsh
Hahahah haya nipasie basi numerali hizo huko PM. Najua unajua kupass kuliko dobi.๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
imebidi nicheke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚PM ila ya fally ipupa Maria PM au
 
Mkuu, am standing to be corrected! Sijadhamiria kudanganya ila unaruhusiwa kunirekebisha au kurekebisha nilipokosea.
No one know everything in medicine.
Yeah nimependa sana Jibh lako Mkuu, Ubarikiwe sana..

False Negative hutokea Pale ambapo Kipimo Kinashindwa Kudetect HIV antibodies au antigens katika Sample ya Damu ya inayopimwa..

Sasa kuna Sababu ya Kutokea False Negative
possibly due to low levels of these markers early in infection or issues with the test itself, such as improper storage or handling.

False positives inadetects HIV antibodies or antigens when they're not present, sasa hutokana na cross-reactivity with other substances in the blood or errors in the test procedure. Kwa mfano kuacha kipimo kwa Muda zaidi na Muda uliopangwa..etc
 
Amen mkuu, umefafanua vizuri na kitaalamu zaidi ingawa kwa layman ni ngumu kuelewa. Yote kwa yote tusichoke kuelimishana. Shukurani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ