Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

Sa
Ndio ni kweli, mtu anayetumia ARV kwa usahihi kwa muda mrefu, hivi vipimo vya rapid test ambavyo ndivyo vinavyouzwa pharmacy na vinapatikana maabara vinaweza vikashindwa ku detect na hatimaye kutoa majibu ya FALSE NEGATIVE.
Kumbuka ARV husababisha wingi wa ujazo wa virusi katika damu kuwa chini sana hatimaye kutokuonekana
UNDETECTABLE.

Pia ikumbukwe kwamba hata mtu aliyepata maambukizi akiwa kwenye window period/ kipindi cha mpito vipimo vya haraka/ rapid test havionyeshi ndio maana unashauriwa kurudia baada ya miezi mitatu hadi Sita.

Hitimisho, maabara za benki za damu au hospitali kubwa wanazo ongezea watu damu wana vipimo ambavyo ni advance zaidi ambavyo vinaweza ku detect maambukizi ya virusi kwa usahihi zaidi tofauti na hivi vya rapid test vinavyotumika tulivyovizoea.
Sasa Kwa staili hiyo huoni kwamba mtu anaweza kupata mchumba wakaenda hospital kupima na kutokana na huyu anayetumia dawa Kwa usahihi kipimo kushindwa kusema atakuwa amejiingiza kwenye hatari ya kuambukizwa Kwa kuwa atamla Kwa kuwa wamepewa majibu ya unditectable.
 
Umezungumza kama mwenyekiti wa chama cha wasio subiri siku ya kifo.(CHAWASUKI)
ni bora kumwambia mtu ukweli hakuna alie na ukimwi alafu akawa na furaha kamwe haijawahi tokea hasa pale unapojua dawa ni kwa msaada wakisema wamesitisha msaada basi asilimia ndogo sana wanaweza kumudu gharama..... mtacheka hapo mtaani watu watakavyotoka soap dish vifuani
 
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.

Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana.

Sasa kuna mtu mmoja ameniambia kwamba watumiaji wazuri wa ARV inafikia stage ambayo kipimo hakioneshi ni MUATHIRIKA sasa nimejiuliza maswali sanà kwamba kama ndivyo maana yake watu wataambukizwa Kwa kuamini kipimo.

Kama hali hiyo ni ya kweli bhasi tutakuwa na wagonjwa wengi siku zijazo Kwa maana mtu ukimpima Leo unapomla kavu unakuwa huna wasiwasi hivyo michubuko hutojali na utatumia ujuzi wako kumuonesha kuwa unayajua mapenzi kumbe mwenzio dawa zimemkubali.

Naomba kama kuna mtu anao ufahamu kubusu hili atujuze maana naisi tutaisha Kwa kuamini kipimo, hapa nazingumzia siku umempima ndio siku umemla sio mahusiano ya muda hapana, Kwa lagha nyingine ni eat and run.

Asanteni.
Dawa za miaka hii zina fubaza hawa Virus wa HIV kiasi kwamba Yes wanakuwa awaonekani kwenye bahadhi ya Vipimo vya HIV na pia kuwezesha kuzuia Maambukizi kwa wengine zikiwemo Mimba( kwa sasa mama ambaye ni HIV+ anaza mtoto/Watoto ambao ni HIV-) ! Lengo la Wana sayansi ni kuwa mwenye nao afe nao peke yake! So Dunia inategemea kuwa huenda by 2050. Wenye HIV watakuwa wamekufa kwa vifo vya kawaida na aina ingine ya vifo hivyo by 2060 HIV itakuwa History katika dunia hii. Na pia zipo Dawa za kuzuia maambukizi ya HIV - yaani ukila hizo dawa uwezi ambukizwa HIV. Hii ilianza na wagonjwa wa TB, Mwenye TB akishaanza kula dawa inafika muda awezi ambukiza wengine.
Zaidi waweza pita humu👇🏽

👇🏽
Dawa moja wapo inayo deal na virus wa HIV effective mpaka wanakuwa kidogo kiasi cha kutoonekana na kuwepo kwenye Damu ya Mgonjwa wa HIV(hii upelekea mgonjwa kutokuwa na uwezo wa kuusambaza kwa wengine) ni hii hapa 👉🏼 What is BIKTARVY® & How Does it Work
 
Sio kweli mkuu, kile kipimo cha ngoma kinapima antibodies (ni kemikali mwili inayotoa ili kujilinda na virusi). Ukishapata virusi hio antibody itakuwepo kwenye mwili wako siku zote hadi unakufa.

Mtu akitumia ARV vizuri kinachopungua ni Viral load ( yaani wale virusi ndio wanapungua) sasa kuna muda wanapungua hadi wanafikia kiwango cha kuwa undetected kwa kipimo cha PCR ( sio hicho unachotumia wewe) lakini ukipima kwa kipimo tunachotumia hiki cha rapid test utakuta inasoma positive kama kawaida, kwa sababu hata kama viral road ni ndogo sana kiasi cha kuwa undetected kwa kipimo cha PCR, mwili bado unaendelea kutoa antibody( ile kinga ya kupambana na hivyo virusi vichache vilivyobaki) hivyo kipimo cha rapid test (tunachotumia mara kwa mara kujipima) kitakuwa positive tu.

Kwahio mkuu ukipima mtu ukamkuta negative maana yake ni kwamba hana ngoma au ameambukizwa juzi kati tu na bado mwili haujatengeneza hizo antibody.

Ushauri wangu kama mtu humuamini mmekutana kwa mara ya kwanza ukampima ukakuta yuko negative, tumia Condom then baada ya mwezi mpime tena akiendelea kuwa negative ndio ule kavu .
Hicho cha PCR kikoje?
 
pole sana ila nikwambie tu hata kama kipimo hakitaonyesha basi mdudu bado unae mwilini mzee hata ufanyeje ww jifariji usubiri siku yako ya kufa..... ova

hukutumwa ushobokee k chafu usizozijua

Bado bwana mdogo sana, ukikua utaelewa kuwa k zinazoua wanaume ni zile safi sana na tamu sana kiasi unaamua kufia kidondani!!
 
Babe, you know I scramble for your digits. I can proudly dial to reach and cherish you, leaving your evenings remarkable.
Pls, allow it to commence today.
Eagerly waiting to hearing from your side.
Sean.
shida inaaanzia hapo lugha bhana si unajua lakini mimi na kinge tuna ugomvi😂😂😂
 
Hapa hoja yangu ni kwamba kama kipimo hakioneshi maana yake ipo siku huyu mtu anaweza kukuchangia damu.
Hakionyesha kwa sababu anatumia dawa vizuri, na kama anatumia dawa, maana anajijua hali yake, iweje ajitokeze kumchangia mtu dawa.
KWa mwenye VVU anaweza kuteteresha afya yake kwa kumchangia mtu damu, nawaza tu sina utalaamu wa eneo hilo.
 
Kwahiyo Dr katika utaalam wako watu wanaomeza dawa Kwa usahihi ukimpima kipimo kinaonyesha mistari mitatu.au miwili.
Eagle one, I repeat Eagle one Turn around 30°E come pick up, One man down, I repeat one man down...over!!
 
Hakionyesha kwa sababu anatumia dawa vizuri, na kama anatumia dawa, maana anajijua hali yake, iweje ajitokeze kumchangia mtu dawa.
KWa mwenye VVU anaweza kuteteresha afya yake kwa kumchangia mtu damu, nawaza tu sina utalaamu wa eneo hilo.
Hatari.
 
Wadudu wapo chuga hao siyo wadudu ni virus
 
Kama kipimo hakioni viral load basi pia ni ngumu ww kuathirika, probability inashuka. Lkn pia unajua vipimo hvohvo ndo vinatumika mahospitalini?

Nimeiba nondo kutoka kwa mtaalam mwenyewe DR Mambo Jambo njoo umwage madini doctor
Kuna Vitu Watu wanachanganya Kati ya VIRAL LOAD (HVL) Na Sero Status, i mean SeroPositive to be Specific..

Ngoja Nitumie Lugha Nyepesi sana naamini Nitaeleweka

Tukianza na Serostatus Test..(Antibody test)..
Serostatus Hupimwa na Kipimo cha Antibodies ambavyo kwa Tanzania Tunatumia SD Bioline na Unigold (Kama Comfirmatory)..

Na hupima Antibodies mwili unaozitengeneza kutokana na Virus Wanaoingia mwilini, Kwa hiyo Once is Positive it never Going to be Negative..
Na hivyo ndo tunapimwa sana mahospitalini na kupewa majibu kuwa umeambukizwa baada ya kufanyiwa Comfirmation na Unigold...

Sasa Twende kwenye HVL

HVL kama Inavyoitwa yenyewe Ni HIV Viral Load..
Ni Upimaji wa wingi wa Virusi as Per One Mill Drop of Blood..

Upimaji wa HVL hufanyika kwa Muathirika wa HIV/AIDS kwa ajili ya kuangalia muenendo/Progress yake aidha wa Kimatibabu au kwa Huduma nyingine za Kimatibabu..

Na mara nyingi Hupimwa baada ya kutumia ARV kwa Muda Fulani ili kujua Kama Dawa zinafanya kazi vizuri...

Utofauti wake

Ukipimwa na HIV test (Antibodies Test) ukawa comfirmed wewe Ni muathrika basi Maisha yako yote utabaki hivyo (Unless ikigundulika dawa za kutibu)..

Ila Ukiwa na TND (Target not Detected) kwenye HVL inamaanisha Virusi vimepungua Mwilini na Una kiasi kidogo sana cha Virusi ila hiyo haimaanishi kwamba hauna Virusi..
Kwa maana hhiyo ukipima kwenye Test za Antibodies zitasoma Positive..


So kama kuna Swali nakaribisha
 
Sio kweli, Once umekua Sero Positive utabakia hivohivo Maisha yako yote.

Namaanisha hivi, vipimo vya HIV vipo vya aina kubwa mbili,

Moja.. Vinavyoangalia Muitikio wa Kinga ya mwili ( Antibodies test ).

Mbili ...Vinavyoangalia Kirusi husika .


Hivi vipimo vyetu Mara nyingi tunatumia aina ya kwanza ( Antibodies Test )....

Iko hivi mtu akipata maambukizi ya HIV,Kinga ya mwili huamza kuzalisha askari maalumu wa kupambana na HIV.... askari Hawa huitwa ANTIBODIES..

Sasa Hawa Askari wakizalishwa Kwa ajili ya HIV, Huwa hawapotei Tena ,watabakia hapo siku zote za Maisha ya mtu Hata kama anatumia ARV Kwa muda wote na Kwa usahihi..yeye ukimpima Kwa kipimo Cha kwanza, ataonekana tu ni mwenye maambukizi. .


Ila mtu wa aina hii, kwakua anatumia ARV vizuri, huweza Kupunguza kiwango cha kuzaliana Cha VVU kiasi Cha kufikia hatua inayoitwa "UNDETECTABLE" .. yaan VVU kutokua detected Kwa kutumia Kipimo namba mbili...katika hatua hii Mgonjwa huyu tunamuita STABLE PATIENT...yeye ikiwa sababu nyingine chochezi zitabakia kuepukika, basi Uwezo wake wa kuambukiza Huwa ni Mdogo .
 
ni bora kumwambia mtu ukweli hakuna alie na ukimwi alafu akawa na furaha kamwe haijawahi tokea hasa pale unapojua dawa ni kwa msaada wakisema wamesitisha msaada basi asilimia ndogo sana wanaweza kumudu gharama..... mtacheka hapo mtaani watu watakavyotoka soap dish vifuani
Acha mbwembwe, watu wasio na furaha wapo wodini wanapigania maisha, wengine wana kansa, wengine uti wa mgongo umepinda, wengine utumbo mkubwa una shida, kila mtu ni marehemu mtarajiwa njia tu za kuufikia umauti ndo zinatofautiana.
 
pole sana ila nikwambie tu hata kama kipimo hakitaonyesha basi mdudu bado unae mwilini mzee hata ufanyeje ww jifariji usubiri siku yako ya kufa..... ova

hukutumwa ushobokee k chafu usizozijua
Hah mbona unampa maneno makali mgonjwa
 
Back
Top Bottom