Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya kufika kileleni na kumwaga mbegu.Hakuna finally inayokosa mshindi.
Huo ni uongo kweupee..
No kumwaga No kileleni
Mkuu kama hujamwaga maana yake hujafika kileleni.Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya kufika kileleni na kumwaga mbegu.
Sio lazima ukifika kileleni umwage mbegu.
Hebu jarb kutafta ufumbuzi kidogo wa hili af uje upinge tena. Fuatilia hata kidogo af uje na conclusion
Sometimes ni aibu kushikilia msimamo usiokua na uhakika nao. Pia kung'ang'ania kitu bila kufanya research ni kipengele kingine.Mkuu kama hujamwaga maana yake hujafika kileleni.
Usirefushe mambo
Huwa una maswali fulani hivi yanafurahisha sana.Huwa hupendi kabisa kuushughulisha ubongo wako tangu uijue JF!Kila ukipata mtanziko tu,unawabwagia wana JF zigo la swali halafu unakaa paleeee kusubiri majibu.Wonderful!😂😂😂😂Kuna kale kauchovu huwa kanakuja baada ya kupiga bao inabidi usizi dakika kadhaa kabla ya kuendelea raundi nyigine, wengine hata kuendelea hawewezi wakishapiga kimoja kifuatacho huwa ni kuuchapa usingizi mzito.
Kuna namna yoyote huo uchovu ni kama ule wa mtu anaetembea kilometa tatu ?
Unafikaje orgasm bila kumwaga mbegu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vijana wa hovyo watakwambia ungepiga mkonobao hata mmoja ili urudi ulale umalizie kbsa.
On a serious note, kuna sehem niliwahi kusoma wakasema kuwa kale kausingizi kanaletwa na kupoteza energy after sex, ndo maana wale wanaofanikiwa kupata orgasms bila kutoa mbegu hua wanabenefit sana frm the sexual enwrgy inayotokana na orgasm na uki-ichanel kwenye mambo mengine unapata faida mara mbili
Mueleweshe tu tofauti ya orgasm na ejaculation.Na kama hakuna tofauti napo muelekeze.Yawezekana ndipo jibu lilipo.Sometimes ni aibu kushikilia msimamo usiokua na uhakika nao. Pia kung'ang'ania kitu bila kufanya research ni kipengele kingine.
Tusiende mbali, tumia hata google kwanza uone inasemaje before hatujaanza kuweka literature hapa kuelezea inakuaje
Ntakusaidia cha ku google ili usikosee pia,
Google this " can a man have an orgasm without ejaculation?"
Mhmhh aisehh huu nao ni kauongo hebu weka hapa hicho kitabu hapaMkuu, inawezekana kbsa. Tafuta uzi wa no fap wa jamaa anaitwa bafetimbi kuna kitabu nliweka huko.
Yaan mwanaune anaeza enda hata bao 5 bila kumwaga, lakn inahitajika training ya muda mrefu
Wanaume siku zote huwa tunafika kileleni tena kirahisi tu au ulimaanisha niniMkuu kuna tofauti kubwa kati ya kufika kileleni na kumwaga mbegu.
Sio lazima ukifika kileleni umwage mbegu.
Hebu jarb kutafta ufumbuzi kidogo wa hili af uje upinge tena. Fuatilia hata kidogo af uje na conclusion
Nime-google na jibu lake ni kuwa dry orgasm ni tatizo kubwa, hivyo daktari anahusika.Sometimes ni aibu kushikilia msimamo usiokua na uhakika nao. Pia kung'ang'ania kitu bila kufanya research ni kipengele kingine.
Tusiende mbali, tumia hata google kwanza uone inasemaje before hatujaanza kuweka literature hapa kuelezea inakuaje
Ntakusaidia cha ku google ili usikosee pia,
Google this " can a man have an orgasm without ejaculation?"
Kuna vitu havihitaji hata research,,Sometimes ni aibu kushikilia msimamo usiokua na uhakika nao. Pia kung'ang'ania kitu bila kufanya research ni kipengele kingine.
Tusiende mbali, tumia hata google kwanza uone inasemaje before hatujaanza kuweka literature hapa kuelezea inakuaje
Ntakusaidia cha ku google ili usikosee pia,
Google this " can a man have an orgasm without ejaculation?"
Uongo uongoMkuu, inawezekana kbsa. Tafuta uzi wa no fap wa jamaa anaitwa bafetimbi kuna kitabu nliweka huko.
Yaan mwanaune anaeza enda hata bao 5 bila kumwaga, lakn inahitajika training ya muda mrefu
Sasa inakuwaje bao kama humwagiMkuu, inawezekana kbsa. Tafuta uzi wa no fap wa jamaa anaitwa bafetimbi kuna kitabu nliweka huko.
Yaan mwanaune anaeza enda hata bao 5 bila kumwaga, lakn inahitajika training ya muda mrefu
Bao na kumwaga ni tofautiSasa inakuwaje bao kama humwagi