Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Ni kweli kwamba ndoa ya wahuni waliokutana baa NDOA ZAO hazidumu ukilinganisha na watakatifu waliokutana kanisani?
Broo; hebu ututake radhi haraka. Unatuitaje ss tunaokwenda baa eti ni wahuni??? Ndoa ni ndoa tu -ni popote pale.Ni kweli kwamba ndoa ya wahuni waliokutana baa NDOA ZAO hazidumu ukilinganisha na watakatifu waliokutana kanisani?
Yeah, Na ndivyo inavokuwaga. Asb. Kanisani ; Jioni unakuwa maeneo.Hao waliokutana Bar asubuhi walikuwa Kanisani.
Uongo hahaha, je waliokutana chuo? Ila SUA walikuwa wanaoana sanaa kabla ya ndoaNi kweli kwamba ndoa ya wahuni waliokutana baa NDOA ZAO hazidumu ukilinganisha na watakatifu waliokutana kanisani?