Ni kweli kwamba private wa jeshi la Marekani ni bora kuliko Generali wa jeshi la Tanzania?

Hakuna mwanajeshi yupo kwa ajili ya ujenzi tu. Huu ni uongo uliopitiliza.
 
ndo maana kuna madokta...injinia..na kada mbalimbali
 
Mkuu kwa jinsi jamaa nilivyomuelewa na wewe umeeleza tofauti...yeye amemaanisha yaani mtu toka anakuwa private mpaka General hajawahi kukanyaga hata war zone kwahiyo huyo mtu na private wa marekani ambaye amekanyaga war zone na mission kibao ndo wanasema bora huyo private
 
Lakini mkuu sisi tunavunja matofali kila mwaka[emoji16][emoji16] tunalalia misumari,tunavuta gari kwa shingo aseee General imara[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mbali na kuwa wanajeshi pia ni binadamu story kama hizo ni zakawaida
Wewe kama dereva,muhasibu,mwalimu..
Yani wewe tu ndiyo una haki ya kupiga stories za madem ila siyo port?

Wakae tuuu wanawaza vita vita vita
Shaurini serikali ianzishe mizozo ili hawa jamaa wawajibike wasikae tu
mkuu..nilishangaa siku nimeenda pale lugalo naona lutens wamekaa chini ya miti wanapiga soga za madem.nkajiuliza hawa kweli nao ni wanajeshi!
 
Kwanza me niongelee uzalendo wa Nchi! Aijawah tokea Us private akamuonea Raia wake kisa tu yeye ni solder ata robo zaid ya kuwalinda ata kama akiwa likizo! Tukija kwenye ii nchi etu ssa Unakuta private anataman atoke kambini ajee kitaa aje azinguane na raia apo kavua Jezi zake fresh akishapata wa kuzinguana nae kesho ake anarud na jezi kuja et kutoa mfano kwa alichojifunz alivokua Depo! kazi kuonea raia! apo akipangiwa aende congo roho inauma kbxa nae et ni solder [ SIO WOTE]
 
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh, hila kweli
 
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Sawa
 
Kweli mkuu mtoto alie malizia darasa la saba Feza school na huyu alie maliza darasa la saba shule ya nsingi mchanganyikeni ni sawa kweli?....... hao watu hawatalingana sehemu yoyote duniani labda kwa Mungu ni sawa sawa na wanajeshi wa Tz na wa USA wapi na wapi?
 
mkuu..nilishangaa siku nimeenda pale lugalo naona lutens wamekaa chini ya miti wanapiga soga za madem.nkajiuliza hawa kweli nao ni wanajeshi!
Mkuu ulitaka wafanye nini je kilasiku unakuta wanapiga hizo stor au majukumu yao unayajua ?
 
Jeshi la US kwanza wanao uhusiano mzuri na raia wao
Pili wapo loyal
Tatu hawana vitambi vya serengeti lite na makongoro
Nne hawapigi raia hovyo
Tano hawajihusishi na siasa kutetea chama tawala
Sita hawana mikwara mbuzi
Saba wameridhika na kazi yao, sio kazi ya waliofeli shule
Nane muda mwingi wapo field, hakuna miembe ya soga
 
Kwenye vyeo vya kijeshi ni sawa wanapeana heshima. Wenzetu wametuzidi kwenye mambo ya IT.Huku Bongo hakuna private anayerusha Jetfighter anayerusha hizo ndege vita, Bongo kuanzia cheo cha Afisa yani kuanzia nyota mbili(Luteni)
Achana na heshima, ata JPM akikutana na Trump wanapata heshima sawa kama wote wakuu wa nchi....ila Tz haifikii USA hata 1/1000 kwahiyo heshima inapotosha sanaa.....waalimu wanapewa shikaamo mtaa mzima lakini hata nauli yakumrudisha kwake hana anatumia 'animal transport' heshima ni ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…