Vita ni sehemu tu ya majukumu ya kijeshi, si kwamba vita ndiyo kila kitu jeshini. Ni kupitia majukumu hayo wanajeshi hutambuliwa kwa ukakamavu wao. Kusimamia ujenzi wa ukuta wa Mirerani ndani ya muda na gharama ili siyo jambo dogo ni mission kubwa sana ile.
Kingine uelewe kuwa si kila mwanajeshi ukadhani kuwa awapo vitani huwa anajukumu la kurusha visasi, si wote warushao risasi, wengine kazi yao ni kutsfuta na kuokoa majeruhi wao tu, wengine kazo yao ni kuwezesha mawasiliano, wengine kazi yao ni kusambaza supplies tu, kuna wengine wapo kwa ajili ya ujenzi tu.