Huduma Pendwa
Member
- Apr 21, 2023
- 53
- 172
Nami naungana naye ya kwamba, kwa mujibu wa taarifa na CV zilizoletwa humu, Prof siyo Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo wala kitu chochote kwa sababu anakosa sifa za kuwa Mbobezi. Labda kama kuna taarifa (CV) nyingine mbali na hizi zilizoletwa hapa.Kama Janabi sio mbobezi wa hayo masuala mleta mada atueleze Janabi ni mbobezi kwenye nini.
Kwa mujibu wa taarifa ya MCT na CV zilizoletwa humu, Degree ya Pili siyo ya Udaktari/Dawa ( Masters of Medicine - MMED). Ndiyo msingi wa Hoja.Ni rahisi
Degree ya kwanza alisomea Nini
Degree ya pili alisomea Nini
Degree ya tatu alisomea Nini
Kama jaji warioba tu kuna mwana kaibuka alipoibuka ameahiba zake makande anasema Jaji warioba hana hadhi ya ujaji, kisa hajateuliwa na rais.Rais kamponza Janabi....unaona sasa..mambo yote hadharani.....
Mwalimu wa biology hapa Tanzania mwenye degree anaweza kusoma masters of science in urology kwa mujibu wa comment uliyoandika?Msc na MMED sio Course sawa hata Kidogo..
Ili kusoma MMED lazima Uwe Daktari MD/MBBS..
Ila kusoma MSc sio lazima Uwe daktari anasoma yoyote aliye kwenhe afya au Science
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mohamed Yakub Janabi kumbe mule mule kwa akina Dr Shika.
View attachment 3173857
Wewe jamaa upo vzr sana nakufatilia kwa makiniSio nakupiga kamba, nenda popote katika hii nchi kaulize madaktari watakwambia hichi kitu.
Mhitimu (fresh from university) wa udaktari wa binadamu (Md) aliyehitimu USSR ya zamani, Russia ya sasa, Ukraine, China au India hana uwezo kamili wa kutibu mgonjwa kumkaribia mhitimu wa hapa Tanzania hususani kutoka Muhimbili. Na siri ni moja tu, daktari mwanafunzi, tena mgeni kutoka afrika, halafu mwenye ngozi nyeusi hawezi kupewa nafasi kamili ya kujifunza kwa kutibu (clinical practice) kwenye mwili wa mzungu (mrusi), mchina au mhindi.
Umeongea point DrTatizo kubwa Huenda Lipo Kwenye MCT kuhusu Kutambua Course yake..
Nitakupa Mfano Mdogo..
Kuna baadhi ya Facult Ukienda Nje ya Nchi zinatolewa Kama MMED (Yaani Level Ya ubingwa), Lakini Ukija Tanzania Tunazitambua kwa Level ya Ubobezi Msc Ya Ubobezi.. Yaani Super..
Shida Inakuja Ukija Nayo Huku hawataitambua Hata Kama wanajua Kuwa ilikuwa halali Kuingilia Facult hiyo..
Kwa mfano Msc In cardiology Hii Tanzania Ni super..
japo ukienda baadhi ya Nchi inatolewa kama point D ya ubingwa tu na sio Super sasa Ukija MCT Hawakutambui tena so ni lazi.a usome kwanza MMed ndo waitambue hiyo Msc yako..
So changamoto Huenda Ikawa Kwa MCT kuhusu Kuweka sawa Miundo yao..
Unajua Muundo Mara ya Mwisho Uliwekwa Mwaka 2009 pale ambapo Ilipotambulishwa Ngazi ya Ubingwa na Ubobezi mpaka Leo Bado Hakuna Muundo mpya Uliowekwa..
Na Wizara ya afya inapiga chenga Kuweka Muundo tangu mwaka 2015 wanasema watatoa Muundo Ila bdo..
So kinachotucost wengi Ni Muundo..
HUenda Miundo Ingekuwa Sawa hata watu wasingekuwa na Maswali Kuhusu Janabi
Asante
Hapa alikua Bado hajaanza zile diet zake😆
Prof. Mohamed Yakub Janabi
Fellowship siyo PhDAlifanya Fellowship ya Moyo mkuu Usizushe kitu usichokijua..
Soma Hii Link
Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa
Janaba...ni janaba tu! Hata ufanyeje!... Litatoa harufu! Litanuka tu! Ndio jina lake! Mwache aongee anachojiskia!... Na yeye ana waumini wake wanaomtiiwww.jamiiforums.com
Na mbaya swali la mleta mada halija pata jibu au majibu yaliyo nyooka.Fellowship siyo PhD
Wafanye maboresho kumsaidia Janabi aonekane ana qualify wakati siyo?Amefanya fellowship U.S huyo tumkosoe kwa vingine kuhusu elimu kanyooka hakuna ukanjanja hapo kama zile PhD za mama za kupewa kama ice cream kwawatoto.
Hao MCT wafanye maboresho ya kanzidata yao.
Wapi nimesema haqualify?Wafanye maboresho kumsaidia Janabi aonekane ana qualify wakati siyo?
Hao Ni Ma MD tu 🤣🤣Madogo wengi ni Madaktari Bingwa pale Muhimbili sijajua Kigwangalla na Mollel wako level gani! 😄
Na yasipopatikana MAJIBU kuhusu elimu feki ya Janabi, tutakwenda hadi website ya WHO kumsagia kunguni Janabi.Na mbaya swali la mleta mada halija pata jibu au majibu yaliyo nyooka.
Certificate kama hukwenda ku upgrade inabaki hivyo miaka 1,000.Watu walisoma certificate ya teaching wakachulua nchi saivi masters holder ni Bodaboda...hwshimu muda shehee
Uko sahihi Kabisa..Ina maana kuna baadhi ya vyuo ukisoma kwa TZ ni bure labda ufanye kazi huko huko kwao.