Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Msc na MMED sio Course sawa hata Kidogo..
Ili kusoma MMED lazima Uwe Daktari MD/MBBS..
Ila kusoma MSc sio lazima Uwe daktari anasoma yoyote aliye kwenhe afya au Science
Asante sana kwa ufafanuzi. Namna hii, tutafika nchi ya ahadi tukiwa na afya zetu zote kabisa.

Kwenye CV za Prof zilizoletwa JF, zinaonyesha amesoma MSc (Tropical Health) ambayo anasoma mtu yeyote na kwamba hajasoma MMED (Internal Medicine) inayompa sifa ya kuwa Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo baada ya kufanya Fellowship ya Cardiology.

Wewe umesema Prof amesoma MMED (Internal Medicine) kwa kuspecialize kwenye Tropical Medicine na kisha kufanya Fellowship ya Cardiology. Sasa:-

1. Ina maana Prof, amesoma MSc kama ilivyoelezwa kwenye CV na MMED kama ulivyoeleza?

2. Kama jibu ni ndiyo, kwa nini MCT (ikiwa ndiyo Chombo cha Kitaaluma) waitambue MSc peke yake na waache kuitambua MMED aliyofanya Prof na kisha kuitambua Fellowship ya Cardiology, ambapo, mwisho wa siku, utambuzi wa MMED ndiyo unaompa Prof Ubobezi wa Magonjwa ya Moyo?

Natanguliza shukrani kwa muda utakaoutumia kujibu maswali haya Mkuu.
 
Unajua Maana Ya Fellowship??
🤣🤣
Unajua Kuna Wakati kuna Maswala tuyaache tu..
Mmed Za janab zote unazijua??

Angewezaje kusoma Msc Bila Kusoma Mmed?
Sio Vyote Vinaandikwa MCT..
Kasoma MMED internal medicine hapo hapo University of Queensland in Australia Mwaka 1996 ndo alimaliza..
Fellowship alifanya na Cardiology..

Fellowship Kafanya kutoka Fellow American College of Cardiology (FACC) mwaka 1996/97 Mpaka 98

Internal Medicine and Molecular Science, Graduated in School of Medicine Osaka University Hospital Osaka, Japan 2000 (Post Doctorate)

Bergen University Norway Cardiology Department
and Medical University of South Carolina-USA Clinical attachment ya mwaka 2005
Mkuu yeye ni specialist wa magonjwa gani hasa?
 
Mimi siwezi kutetea upumbavu; lakini kwanza hebu twende taratibu?
1. Kwa nini umemhusisha na ubingwa wa magonjwa ya moyo? Kajitangaza hivyo yeye mwenyewe au vipi. Eleza hili kwanza limetoka wapi, halafu tutaendelea na mengine.
Katika nafasi hiyo ya WHO hawatafuti mtu mwenye sifa za ubingwa maalum wa matibabu.

2. Je, huyu ni daktari ( anayo shahada yoyote ya udactari); hata bila kuwa na huo "ubingwa wa moyo"?

3. Sita tetea chochote cha kuvunga vunga katika maswala ya elimu popote; kwa hiyo kama anadai kisicho kuwa halali, hiyo ni sababu ya moja kwa moja kumwondoa na kumdharau.

Hata hivyo, inaonyesha ujuha mkubwa sana kudhani kuwa Tanzania itakuwa na haki ya kupewa tena hiyo nafasi, kwa sababu ya yaliyo tokea. Huu ndio ujinga wenyewe. Tunapeleka uswahili wetu hadi kwenye maeneo yasiyo hitaji uswahili. Tunajiaibisha sana.

Lakini nilisikia akijisifu mwenyewe, kuwa alimfanyizia mtihani huyo marehemu aliye poteza uhai, na nadhani hata mke wake vile vile. Hilo pekee linaonyesha ulimbukeni.

hakuna anaye pinga mTanzania kujitosa tena kutafuta nafasi hiyo, lakini isitegemewe kuwa kutakuwepo na upendeleo maalum.
Kwenye list ya MUHAS Jina lake halipo! Sasa lini alimsimamia Vipi Marehemu na mkewe mitihani? Hili nalo linachanganya!!

Kama ni kweli alipata DISCO akiwa anatafuta degree yake ya MMED hapo Muhimbili basi ni vyema aweke record zake vizuri ni mwaka gani alifeli na kuondoka nchini.

Associate Professor aliupata lini MUHAS? Huo mwaka anaousema kwenye CV hayupo kwenye list ya graduates!!

Form Six na Form Four alimalizia wapi na mwaka gani?

Kwa kweli hili litazamwe vizuri kama nchi tusijichanganye! Akienda kwenye kinyang’anyiro atachimbwa kuliko kinachofanyika hapa! Ni vyema kila swali lijibiwe with evidence

Queen Esther
 
Unaelewa hata Ulichokiandika 😁🤣🤣🤣

MKUU hivi Ulivoviandika Unavielewa maana Yake🤣🤣🤣🤣

Dah Kweli mi naomba Nikuache 🤣🤣🤣
Matrix19 hebu Njoo nisaidie Kunielewesha Hizi ni Nini
Sasa unabisha nini?
Mimi nimesema neno fellowship lina maana ya training ya muda wowote, inaweza kuwa wiki kadhaa, miezi kadhaa, mwaka au miaka. Halina uhusiano na muda fulani mahususi au taaluma fulani tu. Muda wa fellowship huamuliwa na waandaji wa hiyo fellowship, malengo na taaluma husika.
Sasa umetaka nikuonyeshe Fellowship za muda wa miezi au mwaka. Mimi nimekwambia zipo nyingi sana, tena katika fani ya afya. Nimekupa mifano michache ya hizo fellowship za muda wa miezi 3, miezi 9, mwaka mmoja, na watu wamesoma na wanasoma.

Kipi cha ajabu?
 
Unazijua WHO Guidelines za kuchagua viongozi wa mabara au unaongea tu? Unadhani hata Dr. Ndugulile alipitapita tu?
apo nafasi iko wazi, bodi ya utendaji ya WHO inaweza kuteua kiongozi wa muda.

- Kuanzisha Uchaguzi Mpya: Mchakato wa uchaguzi mpya utaanzishwa haraka. Hii itahusisha:
• Kupokea uteuzi wa wagombea kutoka kwa Nchi Wanachama.
• Kukagua wagombea na Bodi ya Utendaji ya WHO.
• Kura kupigwa na Mkutano wa Afya Duniani (WHA).
- Sheria za Dharura: Masharti maalum yaliyoainishwa katika Katiba ya WHO (Vifungu 31 na 108-114) na taratibu za WHA zitatumika.

Hapo juu ni Utaratibu rasmi kutoka Miongozo ya WHO na katiba yao.

Usituletee mambo ya kisisiemu ya kuteuana na kujuana tu kwenye mambo yanayohitaji utaalamu na experience
Ila ana hoja huku tunatazama kana kwamba hiyo nafasi lazima uwe Daktari bingwa
 
Mkuu samahani, naomba kuuliza.

NI nani alisema janabi Ni daktari bingwa ea magonjwa ya moyo, au nani alisema janabi anatibu watu moyo, au nani alishawai kutibiwa na janabi moyo?

Au ni zile clip zake zinakuchanganya?
Binafsi, nimekuwa nikimtambua kama Daktari Bingwa/Mbobezi wa Moyo. Na wengi wanamtambua hivyo na ndiyo maana, wengi wamehamaki na Hoja iliyoletwa, kwamba, Prof siyo Daktari Bingwa wa Moyo.
 
Asante sana kwa ufafanuzi. Namna hii, tutafika nchi ya ahadi tukiwa na afya zetu zote kabisa.

Kwenye CV za Prof zilizoletwa JF, zinaonyesha amesoma MSc (Tropical Health) ambayo anasoma mtu yeyote na kwamba hajasoma MMED (Internal Medicine) inayompa sifa ya kuwa Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo baada ya kufanya Fellowship ya Cardiology.

Wewe umesema Prof amesoma MMED (Internal Medicine) kwa kuspecialize kwenye Tropical Medicine na kisha kufanya Fellowship ya Cardiology. Sasa:-

1. Ina maana Prof, amesoma MSc kama ilivyoelezwa kwenye CV na MMED kama ulivyoeleza?

2. Kama jibu ni ndiyo, kwa nini MCT (ikiwa ndiyo Chombo cha Kitaaluma) waitambue MSc peke yake na waache kuitambua MMED aliyofanya Prof na kisha kuitambua Fellowship ya Cardiology, ambapo, mwisho wa siku, utambuzi wa MMED ndiyo unaompa Prof Ubobezi wa Magonjwa ya Moyo?

Natanguliza shukrani kwa muda utakaoutumia kujibu maswali haya Mkuu.
Tatizo kubwa Huenda Lipo Kwenye MCT kuhusu Kutambua Course yake..

Nitakupa Mfano Mdogo..

Kuna baadhi ya Facult Ukienda Nje ya Nchi zinatolewa Kama MMED (Yaani Level Ya ubingwa), Lakini Ukija Tanzania Tunazitambua kwa Level ya Ubobezi Msc Ya Ubobezi.. Yaani Super..

Shida Inakuja Ukija Nayo Huku hawataitambua Hata Kama wanajua Kuwa ilikuwa halali Kuingilia Facult hiyo..
Kwa mfano Msc In cardiology Hii Tanzania Ni super..

japo ukienda baadhi ya Nchi inatolewa kama Level ya ubingwa tu na sio Super sasa Ukija MCT Hawakutambui tena so ni lazi.a usome kwanza MMed ndo waitambue hiyo Msc yako..

So changamoto Huenda Ikawa Kwa MCT kuhusu Kuweka sawa Miundo yao..

Unajua Muundo Mara ya Mwisho Uliwekwa Mwaka 2009 pale ambapo Ilipotambulishwa Ngazi ya Ubingwa na Ubobezi mpaka Leo Bado Hakuna Muundo mpya Uliowekwa..

Na Wizara ya afya inapiga chenga Kuweka Muundo tangu mwaka 2015 wanasema watatoa Muundo Ila bdo..

So kinachotucost wengi Ni Muundo..

HUenda Miundo Ingekuwa Sawa hata watu wasingekuwa na Maswali Kuhusu Janabi

Asante
 
Kwenye list ya MUHAS Jina lake halipo! Sasa lini alimsimamia Vipi Marehemu na mkewe mitihani? Hili nalo linachanganya!!

Kama ni kweli alipata DISCO akiwa anatafuta degree yake ya MMED hapo Muhimbili basi ni vyema aweke record zake vizuri ni mwaka gani alifeli na kuondoka nchini.

Associate Professor aliupata lini MUHAS? Huo mwaka anaousema kwenye CV hayupo kwenye list ya graduates!!

Form Six na Form Four alimalizia wapi na mwaka gani?

Kwa kweli hili litazamwe vizuri kama nchi tusijichanganye! Akienda kwenye kinyang’anyiro atachimbwa kuliko kinachofanyika hapa! Ni vyema kila swali lijibiwe with evidence

Queen Esther
Kuna mambo mengi ya kijinga jinga sana yamefanyika nchi hii. Hata kwenye mambo ya taaluma zimeingizwa siasa za CCM, za "huyu ni mwenzetu".
Haya ni mambo yasiyo takiwa kuvumiliwa kabisa; hasa kwenye maswala ya elimu.

Sasa kama yeye mwenyewe kakubali kujitokeza mbele, wakati akijuwa kuna makando kando katika maswala ya
elimu yake, asishangae watu wakichimbua uchafu ambao asinge penda watu wauone. Atakuwa ameweka hadhi na heshima yake kwenye uchafu.

Natumaini haya yote yanayo semwa kuhusu elimu yake atayatolea ufafanuzi wa kuridhisha. Vinginevyo itakuwa ni aibu kwake.
 
Wasomi wengi wa kiTanzania ni kama waganga wa kienyeji kwa kuficha utaalamu wao.

Katika Tanzania ni maprofesa wachache kama Prof. Issa Shivji siasa / sheria, Prof. Janabi utabibu / elimu kwa umma (Public health), Prof. Prosper Ngowi wa Mzumbe University somo lake la kujiajiri ndiyo wasomi wachache wanaorudi kwa jamii kuwainua ufahamu waTanzania kwa elimu ya buree mtandaoni

Prof. Ngowi, Presenting Paper on Education for Liberation of the Poor in Africa at Nyerere Intellectual Festival UDSM, on 12.04.2018. Key issue; EDUCATION should Liberate the Poor Economically, should be relevant and demand-Driven

View: https://m.youtube.com/watch?v=gUu5YZEaPjk

Marehemu Dr ngowi.
 
Sasa unabisha nini?
Mimi nimesema neno fellowship lina maana ya training ya muda wowote, inaweza kuwa wiki kadhaa, miezi kadhaa, mwaka au miaka. Halina uhusiano na muda fulani mahususi au taaluma fulani tu. Muda wa fellowship huamuliwa na waandaji wa hiyo fellowship, malengo na taaluma husika.
Sasa umetaka nikuonyeshe Fellowship za muda wa miezi au mwaka. Mimi nimekwambia zipo nyingi sana, tena katika fani ya afya. Nimekupa mifano michache ya hizo fellowship za muda wa miezi 3, miezi 9, mwaka mmoja, na watu wamesoma na wanasoma.

Kipi cha ajabu?
Hakuna Medical Fellowship..
Au Fellowship ya Ubobezi yoyote iinayotolewa kwa Miezi!

Kwa mfano kungekuwa na Hiyo fellowship ya Miezi miwili 😁😁
Mimi Niende fellowship Halafu Wewe ndo mgonjwa unataka Upasuaji wa Moyo..

Na mimi nimeenda Fellowship ya magonjwa ya Moyo ya Miezi miwili utakubali Nikupasue Moyo 🤣🤣🤣

Medical fellowship Zina Muda wake na Zinakuwa chini ya Sheria zake Universal kabisa..

MImi sikuwa nazungumzia Fellowship zozote tu maana Hatukuwa kwenye mada ya Fellowship.zozote maana Hata walokole wala Fellowship ila haiwezi kuwa ya Kitaaluma..

Nachozungimzia ni Post Graduate Medical Fellowship
 
Tatizo kubwa Huenda Lipo Kwenye MCT kuhusu Kutambua Course yake..

Nitakupa Mfano Mdogo..

Kuna baadhi ya Facult Ukienda Nje ya Nchi zinatolewa Kama MMED (Yaani Level Ya ubingwa), Lakini Ukija Tanzania Tunazitambua kwa Level ya Ubobezi Msc Ya Ubobezi.. Yaani Super..

Shida Inakuja Ukija Nayo Huku hawataitambua Hata Kama wanajua Kuwa ilikuwa halali Kuingilia Facult hiyo..
Kwa mfano Msc In cardiology Hii Tanzania Ni super..

japo ukienda baadhi ya Nchi inatolewa kama Level ya ubingwa tu na sio Super sasa Ukija MCT Hawakutambui tena so ni lazi.a usome kwanza MMed ndo waitambue hiyo Msc yako..

So changamoto Huenda Ikawa Kwa MCT kuhusu Kuweka sawa Miundo yao..

Unajua Muundo Mara ya Mwisho Uliwekwa Mwaka 2009 pale ambapo Ilipotambulishwa Ngazi ya Ubingwa na Ubobezi mpaka Leo Bado Hakuna Muundo mpya Uliowekwa..

Na Wizara ya afya inapiga chenga Kuweka Muundo tangu mwaka 2015 wanasema watatoa Muundo Ila bdo..

So kinachotucost wengi Ni Muundo..

HUenda Miundo Ingekuwa Sawa hata watu wasingekuwa na Maswali Kuhusu Janabi

Asante
Madogo wengi ni Madaktari Bingwa pale Muhimbili sijajua Kigwangalla na Mollel wako level gani! 😄
 
Professor Mohamed Yakub Janabi ni mfano wa kuigwa, ni nadra wasomi wa kiTanzania ku share knowledge yao na watanzania wa kawaida.

View attachment 3173787

Wasomi wahadhiri wa vyuo vikuu hawapo katika mitandao ya kijamii kuweza kutumia elimu waliyopata kwa kodi za raia wa Tanzania, kwa kurudisha kwa jamii kwa mtindo wa kuwapa ufahamu wananchi wa kawaida kuhusu masuala yawe ya afya, ujasirimali, kilimo cha kisasa, ufugaji, ufundi mchundo n.k

Wasomi wa mataifa yaliyoendelea wapo sana katika mitandao ya kijamii kwa kutoka nje ya ma Hall ya lecture na kutoa elimu kwa jamii pana iliyopo nje ya kuta za vyuo vya elimu ya juu.

Usomi maana yake ni kuleta mabadiliko na mguso kwa jamii pana na Prof. Janabi katika hilo ameutendea jambo kubwa usomi wake kwa jamii pana.

Kwa staili hii nadhani atakuwa miongoni mwa watia nia wakuangaliwa sana na kukubalika kufanya kazi WHO Kanda ya Afrika.
Naam hiki ndicho kinafanya namkubali Prof. Janabi.

Matatizo makubwa mawili ya watanzania wengi ni kutokuupenda ukweli mchungu na ulafi/kupenda kula na kunywa kupitiliza, pasipo mpangilio wowote.

Sasa Prof anagusa maeneo yote hayo mawili. Anatuchambulia waswahili vyakula na vinywaji, na kutubamiza kwa ukweli mchungu wa madhara ya vitu hivyo na kututaka tuvitumie kwa kiasi kidogo sana wakati tunataka kiasi kikubwa, na vingine tutumie kwa kiasi kikubwa wakati hatuvitaki! Hivyo binafsi sishangai kwanini prof anapendwa na watu wachache tunaoupenda ukweli.

Angekuwa katika jamii ya watu timamu wanaojitambua angekuwa hazina ya taifa, ila kwakuwa kuzaliwa katika 'shithole' anajikuta akichukiwa na watu ambao hata hawamfahamu!
 
Hizi taarifa amekupa Dr. Kisenge wa hapo JKCI kwa sababu ya tamaa zake.. ili uje umchafue janabi Jamiiforum kwa sababu hajapendekezwa yeye
Mkuu, acha kisirani. Ni vizuri ukajikita katika kuonyesha Ubobezi wa Prof kwenye Magonjwa ya Moyo kuliko kumshambulia mtoa mada.

Hata hivyo, binafsi nampongeza sana Marehemu Dkt. Ndugulile kwa kuwa Game Changer kiasi kwamba sasa, kila Daktari ameona fursa ya WHO. Najiuliza, walikuwa wapi kabla?!!!
 
Tatizo kubwa Huenda Lipo Kwenye MCT kuhusu Kutambua Course yake..

Nitakupa Mfano Mdogo..

Kuna baadhi ya Facult Ukienda Nje ya Nchi zinatolewa Kama MMED (Yaani Level Ya ubingwa), Lakini Ukija Tanzania Tunazitambua kwa Level ya Ubobezi Msc Ya Ubobezi.. Yaani Super..

Shida Inakuja Ukija Nayo Huku hawataitambua Hata Kama wanajua Kuwa ilikuwa halali Kuingilia Facult hiyo..
Kwa mfano Msc In cardiology Hii Tanzania Ni super..

japo ukienda baadhi ya Nchi inatolewa kama Level ya ubingwa tu na sio Super sasa Ukija MCT Hawakutambui tena so ni lazi.a usome kwanza MMed ndo waitambue hiyo Msc yako..

So changamoto Huenda Ikawa Kwa MCT kuhusu Kuweka sawa Miundo yao..

Unajua Muundo Mara ya Mwisho Uliwekwa Mwaka 2009 pale ambapo Ilipotambulishwa Ngazi ya Ubingwa na Ubobezi mpaka Leo Bado Hakuna Muundo mpya Uliowekwa..

Na Wizara ya afya inapiga chenga Kuweka Muundo tangu mwaka 2015 wanasema watatoa Muundo Ila bdo..

So kinachotucost wengi Ni Muundo..

HUenda Miundo Ingekuwa Sawa hata watu wasingekuwa na Maswali Kuhusu Janabi

Asante
Ina maana kuna baadhi ya vyuo ukisoma kwa TZ ni bure labda ufanye kazi huko huko kwao.
 
Back
Top Bottom