Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ajabu huyo mchina, muhindi au mrusi anayekosa hiyo KUFANYA, KUFANYA, KUFANYA, ... anatibu kwa usahihi magonjwa yaliyo shindikana kutibiwa au kutambuliwa kitabibu na hawa wa MNH waliopata hayo mafunzo ya ziada usemayo.
Au unazungumzia mtanzania alieyeenda kusomea udaktari huko Russia au China? na siyo mrusi au mchina mwenyewe?
Huenda sijakuelewa una maanisha Nini.
 
Ila we jqmaa ungekas tu kimya hmn ktu kabsa
 
Nasikia Ngowi alifariki kwa ajali ya gari. Jamaa alikuwa na maono mazuri sana kwenye taaluma yake lakini Ph.D. ilimgomnga wakati akiwa chuoni kwenye nchi moja ya Scandnavia akaamua kununua PhD yake ya mchongo kutoka PWU. Sijui kwa nini watanzania wengi tunapenda njia za mkato mkato. Kama ni kweli alishafariki, mwenyezi mungu aipumzishe roho yake pema peponi.
 
Duh! Unakumbuka title ya huo uzi niutafute nimsome,hakika ni mshenzi sana.



Jamaa naye siku hizi anajiita Professor (kwenye instagram)
 
Nashukuru sana,mtu alifariki lakini huyu bwana akadai yuko katika hali mbaya kuna kifaa kinahitajika cha gharama ya milioni na kitu akapewa hiyo hela huku akijua ametumia uhuni
 
Nashukuru sana,mtu alifariki lakini huyu bwana akadai yuko katika hali mbaya kuna kifaa kinahitajika cha gharama ya milioni na kitu akapewa hiyo hela huku akijua ametumia uhuni
Asante kwa uchunguzi wenu, watanzania wengi wameumizwa na mifumo yetu ya ovyo! Watu kujiita madaktari kumbe hawana sifa hiyo,
 
Sio kweli. Watu walio objective wanaangalia facts tu. Hayo mambo ya majina labda yako kichwani kwako wewe. Mbona usomi wa Dr Bilali (former VP) au shangazi Fatmah Karume, hautiliwi shaka hata kidogo?
Hata Prof Mussa Assad.
 
Hivi mliotembea kwenye nchi za wengine ,Kuna watu wanaojifanya wajuaji kama watanganyika?
 
Uka
Acha uongo ndugu yangu.
Standard ya elimu ya utabibu kipindi cha USSR mpaka leo hii haijawahi kuwa bora kupita yetu katika kipindi chochote kile. Mhitimu wa Muhimbili amekuwa better dhidi ya hao wa USSR.
Ukapimwe akili wewe, hivi nyinyi watu mnapima ubora wa elimu zenu kwa kuhangaishwa na Lecturers wenu kwenye makorido ya vyuo vyenu? Yani hata aibu huna unasema huo utoto wako? Umefika huko ulikotaja ukaoba kabisa ukafanya hizo comparison kuanzia facilities tu achilia watu wenye akili timamu.
 
Umeandika jambo la msingi sana sana ndugu 4 7mbatizaji .
Kongole sana.
 
Usijifiche kwenye kichaka cha dini; tuthibitishie amesoma Master of Medicine in Internal Medicine.
 
Kwahiyo mct ndio kipimo cha ubingwa? Wewe unajua nini kuhusu elimu? Ili ufanye undergraduate pale MUHAS si kwa vigezo vyenu mliweka uwe umamaliza kidato cha Sita katika tahasusi ya PCB, je kila nchi wanasoma mpaka form 6? Na wanasoma PCB? Sasa unakataa vip kuwa ubingwa wa mtu sio lazima upimwe na MCT kama interest ya mtu sio kutambuliwa?
Halafu kwanza tukusaidie kitu, kuna holders wengi wa taaluma ambao taaluma zao hawakuwa na shida ya kutambuliwa na mamlaka za sehemu husika walipo.
Mimi naweza kuwa Professor nchi husika nikija UDSM wakaishia kuniona mzalimili fulani tu, watanitaka nikawasilishe kazi zangu mbele ya jopo la wataalamu wao na mimi huo muda wa kwenda kuongea na kina Ruge sina na sihitaji kutambuliwa kama Professor na kina Anangisiye ambao hata lugha yenyewe wanaweza wasisikie ninachoongea.
Halafu umejihakikishia umeelewa maana ya Fellowship? Na nani anakupa sifa linganishi za utaalamu fulani? Hebu wasaidie wenzako hapo kwenye fellowship Janabi alitoka na kitu gani?
Sio mimi nimesema, ndio standard zilizopo pale MCT. Huna Mmed wewe sio daktari bingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…