Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Ajabu huyo mchina, muhindi au mrusi anayekosa hiyo KUFANYA, KUFANYA, KUFANYA, ... anatibu kwa usahihi magonjwa yaliyo shindikana kutibiwa au kutambuliwa kitabibu na hawa wa MNH waliopata hayo mafunzo ya ziada usemayo.Hakuna mtu anasema Urusi, China au India wako nyuma katika sayansi ya Afta na tiba. Wametuzidi mbali sana. Lakini linapokuja suala la kumfundisha kijana kutoka Tanzania ili kuja kuwa Daktari bora hapo tumewatangulia mnoo. Mfumo wao umeegemea kumfanya mwanafunzi kusikiliza, kusoma na KUTAZAMA (Listen,Read and observe) wakati kwa Tanzania mfumo umejikita zaidi kwenye kusikiliza, kusoma, kutazama, KUFANYA, KUFANYA, KUFANYA.....
Au unazungumzia mtanzania alieyeenda kusomea udaktari huko Russia au China? na siyo mrusi au mchina mwenyewe?
Huenda sijakuelewa una maanisha Nini.