Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Mkimwambia ukweli yaani spana za kumtosha kuna wale chawa wake lialia hawakubali wanakuja juu ila hoja hawana. Ila huyu mzee amejiaibisha sana, sasa zile swaga zake kwenye media watu watazidharau kabisa. Hata mimi sasa simuamini kwa lolote, hata hapo MNH naona limewekwa janga tu angefukuzwa tu hata huo ukurugenzi MNH maana kadanganya kwenye CV...muongo ndo jina rahisi.Mtu unajijua kabisa kwamba elimu yako ni unga unga mwana kwa nini usitulie?...kila siku kwenye matelevision ooh moyo ..moyo...kama alikuwa anapenda mambo ya moyo si angesoma tu ..labda kama alikuwa hana vigezo....ona sasa unaanza kuaibika uzeeni...Moyo sio mchezo