Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Mtu unajijua kabisa kwamba elimu yako ni unga unga mwana kwa nini usitulie?...kila siku kwenye matelevision ooh moyo ..moyo...kama alikuwa anapenda mambo ya moyo si angesoma tu ..labda kama alikuwa hana vigezo....ona sasa unaanza kuaibika uzeeni...Moyo sio mchezo
Mkimwambia ukweli yaani spana za kumtosha kuna wale chawa wake lialia hawakubali wanakuja juu ila hoja hawana. Ila huyu mzee amejiaibisha sana, sasa zile swaga zake kwenye media watu watazidharau kabisa. Hata mimi sasa simuamini kwa lolote, hata hapo MNH naona limewekwa janga tu angefukuzwa tu hata huo ukurugenzi MNH maana kadanganya kwenye CV...muongo ndo jina rahisi.
 
Nimekuelewa Lakini Kwa Bahati Nzuri Janabi alimaliza MD mwaka 1989 na akafanya Internship.Hapa Muhimbili Medical Centre..

Na Baadae Alisoma MMED University of Queensland in Australia (MMED in Internal medicine ) Mwaka 1995 na 96 hivi..

Ndo akaenda Fellowship ya Cardiology
Sasa wewe ndiye unatengenezea CV yake,yeye mwenyewe hajaandika hivyo MMED in internal Medicine. Husilazimishe, hii ni science
 
Mkimwambia ukweli yaani spana za kumtosha kuna wale chawa wake lialia hawakubali wanakuja juu ila hoja hawana. Ila huyu mzee amejiaibisha sana, sasa zile swaga zake kwenye media watu watazidharau kabisa. Hata mimi sasa simuamini kwa lolote, hata hapo MNH naona limewekwa janga tu angafukuzwa tu hata huo ukurugenzi maana kadanganya kwenye CV...muongo ndo jina rahisi.
Exactly 💯
Hana Integrity ...inakuwaje unapata nguvu ya kujiita Cardiologist wakati sio kweli?
Let's assume wale watu aliowatibu na kwa bahati mbaya wakapata madhara ikiwemo kufariki ndugu wakiamua kuchukua hatua itakuwaje?....kwa wenzetu huu ni msala
 
Ifike hatua tukianza kumuita mtu competent hana akili na kitu tuweke na CV zetu hapa ili tulinganishe na huyo tunayemuita kituko. Tuache kudharau watu wetu.
Watanzania tunaishi na roho mbaya na siku zote, kupenda kuyaongelea vibaya mafanikio ya wengine ni sehemu ya chuki zilizomo ndani ya mioyo yetu.
 
Ukizingatia kazi Maalum alizowahi kufanya.....ni lazima tuu apewe shavu lake.

Kwa kifupi mimi ninamkubali sana Janabi tokea mwanzo,hta km moja ya kazi zake maalum zinaniuma saana.
Public awareness kuhusu Afya ni Kazi saafi saana ya Janabi kwa Taifa letu.

All the best Dr Janabi.
Wajinga kwa Tanzania yetu ndio wenye kuonekana watu wema, madhara ya kupenda masuala ya udaku na habari nyepesi.
 
Hivi mliotembea kwenye nchi za wengine ,Kuna watu wanaojifanya wajuaji kama watanganyika?
Tunapokuwa ugenini wengi wetu tunakuwa wapole hatujui ubora na uwezo wa watu wa mataifa yanayotuzunguka.

Tunaporudi nyumbani tunaanza kujitutumua tunakuwa tukijua kwamba jamaa zetu hawawezi kuujua ukweli wa elimu zetu upo vipi.
 
Kuna tatizo kwenye vetting, ndo maana unaona hii shida ya vihiyo.
Dr Janabi kasoma miaka na miaka pia kafanya kazi, hakujifikisha katika hiyo nafasi kwa mbeleko kama tunavyodhania.

Watanzania tunayo sifa ya kishamba sana ya kudharau juhudi anazofanya mtu katika kutafuta maarifa. Huyo mdau anayomponda Dr Janabi hawezi kuweka CV yake humu watu wakaikagua anachoweza kufanya ni kumchafua mtu anayetegemewa kupendekezwa na Rais katika nafasi nyeti ya kimataifa.
 
Exactly 💯
Hana Integrity ...inakuwaje unapata nguvu ya kujiita Cardiologist wakati sio kweli?
Let's assume wale watu aliowatibu na kwa bahati mbaya wakapata madhara ikiwemo kufariki ndugu wakiamua kuchukua hatua itakuwaje?....kwa wenzetu huu ni msala
Hapo ndo shida ilipo mkuu.
 
Dr Janabi kasoma miaka na miaka pia kafanya kazi, hakujifikisha katika hiyo nafasi kwa mbeleko kama tunavyodhania.

Watanzania tunayo sifa ya kishamba sana ya kudharau juhudi anazofanya mtu katika kutafuta maarifa. Huyo mdau anayomponda Dr Janabi hawezi kuweka CV yake humu watu wakaikagua anachoweza kufanya ni kumchafua mtu anayetegemewa kupendekezwa na Rais katika nafasi nyeti ya kimataifa.
Ili tujue huyu mleta mada ni muhuni tu wewe fanya jambo moja lete evidence kupingana na evidence za mleta mada..then tupime...hiyo ndio dawa
 
Hatukatai kasoma, ila kadanganya kwenye CV kuwa ni mbobezi wa moyo kitu ambacho ni uongo, hivyo integrity hamna.
 
Ili tujue huyu mleta mada ni muhuni tu wewe fanya jambo moja lete evidence kupingana na evidence za mleta mada..then tupime...hiyo ndio dawa
Unamchafua Prof aliyehitimu hapo Muhimbili mwaka 1989 ili upate nini?.

Wabongo wengi wanamchukia huyu prof kwa sababu za kijinga tu, hatupendi kuambiwa ukweli hivyo tunaunga mkono mada za kumponda tukijaribu kupoza maumivu yetu.
 
Hatukatai kasoma, ila kadanganya kwenye CV kuwa ni mbobezi wa moyo kitu ambacho ni uongo, hivyo integrity hamna.
Hayo mengina ambayo hajadanganya hayatoshi kumrudishia heshima yake?.

Unajua ni maprofesa wangapi na madaktari waliofanya kazi kubwa wakiwa hawana sifa halisi za nafasi hizo?.

Hizo roho mbaya zetu hazitufikishi popote.
 
Kama ni kweli,....kwahiyo tumeamua kama Taifa kupeleka Vihiyo kwenye Taasisi za Kimataifa?!

Hii Biashara ya Kuexport Vihiyo itakua imeanzishwa na hii Awamu ya 6.
Mimi Kinachoniuma kama mama yenu alikuwa na mpango wa kumfanyia hilo dili kwanini amuondoe kabisa duniani ndugu lileee kwa kulipa fadhila??!!
 
Unamchafua Prof aliyehitimu hapo Muhimbili mwaka 1989 ili upate nini?.

Wabongo wengi wanamchukia huyu prof kwa sababu za kijinga tu, hatupendi kuambiwa ukweli hivyo tunaunga mkono mada za kumponda tukijaribu kupoza maumivu yetu.
Mimi tena?
Nasubiri evidence..ukipata lete jamvini
 
Amefanya fellowship U.S huyo tumkosoe kwa vingine kuhusu elimu kanyooka hakuna ukanjanja hapo kama zile PhD za mama za kupewa kama ice cream kwawatoto.

Hao MCT wafanye maboresho ya kanzidata yao.
Nenda pale Muhimbili Madaktari watakwambia kuhusu Janabi!! Huyo hakustahili hata kuwa Mkurugenzi Wa Hospitali Taifa ya Muhimbili. Kijiupepo tu

Sasa kule Who wanakwenda kumuengua kwenye hatua za awali kabisa.

Tabu ya Watanganyika ni tabia ya kuwaamini WACHEKESHAJI.
 
Back
Top Bottom