Mkimwambia ukweli yaani spana za kumtosha kuna wale chawa wake lialia hawakubali wanakuja juu ila hoja hawana. Ila huyu mzee amejiaibisha sana, sasa zile swaga zake kwenye media watu watazidharau kabisa. Hata mimi sasa simuamini kwa lolote, hata hapo MNH naona limewekwa janga tu angefukuzwa tu hata huo ukurugenzi MNH maana kadanganya kwenye CV...muongo ndo jina rahisi.Mtu unajijua kabisa kwamba elimu yako ni unga unga mwana kwa nini usitulie?...kila siku kwenye matelevision ooh moyo ..moyo...kama alikuwa anapenda mambo ya moyo si angesoma tu ..labda kama alikuwa hana vigezo....ona sasa unaanza kuaibika uzeeni...Moyo sio mchezo
Sasa wewe ndiye unatengenezea CV yake,yeye mwenyewe hajaandika hivyo MMED in internal Medicine. Husilazimishe, hii ni scienceNimekuelewa Lakini Kwa Bahati Nzuri Janabi alimaliza MD mwaka 1989 na akafanya Internship.Hapa Muhimbili Medical Centre..
Na Baadae Alisoma MMED University of Queensland in Australia (MMED in Internal medicine ) Mwaka 1995 na 96 hivi..
Ndo akaenda Fellowship ya Cardiology
Exactly 💯Mkimwambia ukweli yaani spana za kumtosha kuna wale chawa wake lialia hawakubali wanakuja juu ila hoja hawana. Ila huyu mzee amejiaibisha sana, sasa zile swaga zake kwenye media watu watazidharau kabisa. Hata mimi sasa simuamini kwa lolote, hata hapo MNH naona limewekwa janga tu angafukuzwa tu hata huo ukurugenzi maana kadanganya kwenye CV...muongo ndo jina rahisi.
Sasa ubingwa ulitoka wapi?,je kama ni mchongo ni kwa faida ya nani??,lkn bado si ajabu akateuliwa,ngoja mtaona,labda ye mwenyewe haikatae iyo nafasi.Rais kamponza Janabi....unaona sasa..mambo yote hadharani.....
Watanzania tunaishi na roho mbaya na siku zote, kupenda kuyaongelea vibaya mafanikio ya wengine ni sehemu ya chuki zilizomo ndani ya mioyo yetu.Ifike hatua tukianza kumuita mtu competent hana akili na kitu tuweke na CV zetu hapa ili tulinganishe na huyo tunayemuita kituko. Tuache kudharau watu wetu.
Wajinga kwa Tanzania yetu ndio wenye kuonekana watu wema, madhara ya kupenda masuala ya udaku na habari nyepesi.Ukizingatia kazi Maalum alizowahi kufanya.....ni lazima tuu apewe shavu lake.
Kwa kifupi mimi ninamkubali sana Janabi tokea mwanzo,hta km moja ya kazi zake maalum zinaniuma saana.
Public awareness kuhusu Afya ni Kazi saafi saana ya Janabi kwa Taifa letu.
All the best Dr Janabi.
Tunapokuwa ugenini wengi wetu tunakuwa wapole hatujui ubora na uwezo wa watu wa mataifa yanayotuzunguka.Hivi mliotembea kwenye nchi za wengine ,Kuna watu wanaojifanya wajuaji kama watanganyika?
Dr Janabi kasoma miaka na miaka pia kafanya kazi, hakujifikisha katika hiyo nafasi kwa mbeleko kama tunavyodhania.Kuna tatizo kwenye vetting, ndo maana unaona hii shida ya vihiyo.
Huyo chawa wake mkuu.Sasa wewe ndiye unatengenezea CV yake,yeye mwenyewe hajaandika hivyo MMED in internal Medicine. Husilazimishe, hii ni science
Hapo ndo shida ilipo mkuu.Exactly 💯
Hana Integrity ...inakuwaje unapata nguvu ya kujiita Cardiologist wakati sio kweli?
Let's assume wale watu aliowatibu na kwa bahati mbaya wakapata madhara ikiwemo kufariki ndugu wakiamua kuchukua hatua itakuwaje?....kwa wenzetu huu ni msala
Ili tujue huyu mleta mada ni muhuni tu wewe fanya jambo moja lete evidence kupingana na evidence za mleta mada..then tupime...hiyo ndio dawaDr Janabi kasoma miaka na miaka pia kafanya kazi, hakujifikisha katika hiyo nafasi kwa mbeleko kama tunavyodhania.
Watanzania tunayo sifa ya kishamba sana ya kudharau juhudi anazofanya mtu katika kutafuta maarifa. Huyo mdau anayomponda Dr Janabi hawezi kuweka CV yake humu watu wakaikagua anachoweza kufanya ni kumchafua mtu anayetegemewa kupendekezwa na Rais katika nafasi nyeti ya kimataifa.
Hatukatai kasoma, ila kadanganya kwenye CV kuwa ni mbobezi wa moyo kitu ambacho ni uongo, hivyo integrity hamna.Dr Janabi kasoma miaka na miaka pia kafanya kazi, hakujifikisha katika hiyo nafasi kwa mbeleko kama tunavyodhania.
Watanzania tunayo sifa ya kishamba sana ya kudharau juhudi anazofanya mtu katika kutafuta maarifa. Huyo mdau anayomponda Dr Janabi hawezi kuweka CV yake humu watu wakaikagua anachoweza kufanya ni kumchafua mtu anayetegemewa kupendekezwa na Rais katika nafasi nyeti ya kimataifa.
Unamchafua Prof aliyehitimu hapo Muhimbili mwaka 1989 ili upate nini?.Ili tujue huyu mleta mada ni muhuni tu wewe fanya jambo moja lete evidence kupingana na evidence za mleta mada..then tupime...hiyo ndio dawa
Hawezi huyo chawa sijui kunguni hawezi leta zaidi ya porojo.Ili tujue huyu mleta mada ni muhuni tu wewe fanya jambo moja lete evidence kupingana na evidence za mleta mada..then tupime...hiyo ndio dawa
Hayo mengina ambayo hajadanganya hayatoshi kumrudishia heshima yake?.Hatukatai kasoma, ila kadanganya kwenye CV kuwa ni mbobezi wa moyo kitu ambacho ni uongo, hivyo integrity hamna.
Mimi Kinachoniuma kama mama yenu alikuwa na mpango wa kumfanyia hilo dili kwanini amuondoe kabisa duniani ndugu lileee kwa kulipa fadhila??!!Kama ni kweli,....kwahiyo tumeamua kama Taifa kupeleka Vihiyo kwenye Taasisi za Kimataifa?!
Hii Biashara ya Kuexport Vihiyo itakua imeanzishwa na hii Awamu ya 6.
Jibu maoni ya wadau!, je Ana sifa ya kuitwa cardiologist?Watanzania tunaishi na roho mbaya na siku zote, kupenda kuyaongelea vibaya mafanikio ya wengine ni sehemu ya chuki zilizomo ndani ya mioyo yetu.
Mimi tena?Unamchafua Prof aliyehitimu hapo Muhimbili mwaka 1989 ili upate nini?.
Wabongo wengi wanamchukia huyu prof kwa sababu za kijinga tu, hatupendi kuambiwa ukweli hivyo tunaunga mkono mada za kumponda tukijaribu kupoza maumivu yetu.
Nenda pale Muhimbili Madaktari watakwambia kuhusu Janabi!! Huyo hakustahili hata kuwa Mkurugenzi Wa Hospitali Taifa ya Muhimbili. Kijiupepo tuAmefanya fellowship U.S huyo tumkosoe kwa vingine kuhusu elimu kanyooka hakuna ukanjanja hapo kama zile PhD za mama za kupewa kama ice cream kwawatoto.
Hao MCT wafanye maboresho ya kanzidata yao.