Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ila humu ndani heti masijala
 
Mkuu hoja hujibiwa kwa hoja sio misemo! Anayoyasema mtoa mada yameandikwa na tovuti ya chombo kinacho watathmini na kuwapima madaktari wetu na watoa huduma za kiafya ….wao ndio wanasema Prof Janabi si daktari bingwa wa magonjwa ya moyo….tulikuwa tunajidanganya!

Jibu hoja sasa
 
Kwa hiyo hapa MCT ndio wamemwagia upupu aiseee….kusema kweli mimi nilikuwa najua ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo
 
Kwani anatibu huyu? Yani liuzi reeefu kutafuta namna ya kumshusha mtu tu! Anataka degree ya clinical ya nini sasa wakati ni manager? Na hata kama hana so what? Kaua ntu? Wabongo roho za korosho tu, sina haja ya kujibu huu upuuzi! Madaktari wa kibongo wana kiburi sana cha kuamini wana akili kupindukia sijui kwa kuwa wamekaa chuo miaka mingi zaidi? Wizara ya afya na taasisi zake ni ngumu sana kufanya transformation kwa sababu za huu ujinga wa kuamini hamna mtu anaweza kuwaongoza, wakati hata kujiongoza tu hawawezi zadi na majungu na uchawi, ukianzia kwa madmo panda juu ni ujinga tu mara MMed, Mph, Superspeciality so what?

MOI alikuwepo mswiss miaka fulani wakajiorganize na kumfukuza kama mbwa, just kwa kuwa ni manager na hana clinical education! Pathetic
 
Weka ushahidi hapa kuwa hana i.e:-barua ya chama cha madaktari ikimkana Janabi
Uwe unasoma vizuri na kuelewa! Kwa nchi yetu kuna vyombo maalum vya kutambua na kutathmini taaluma za watu na kwa afya kimojawapo ni MCT na hao ndio wanataarifa za madtari wetu wote na kulingana na wenyewe MCT kupitia tovuti yao hakuna mahali Dr Janabi anatambulika kama Daktari bingwa wa moyo …kwa hiyo MCT hawamtambui kama tunavyomjua sisi na MCT ndio wasema kweli hakuna siasa pale na alichofanya mtoa mada ni kutuhabarisha tuu
 
Wewe ulikuwa unamtambuaje Prof Janabi?
 
Wewe ulikuwa unamtambuaje Prof Janabi?

Ni manager na mshauri wa rais wa mambo ya afya tu inatosha nimtambue vipi zaidi? Elimu iliyomfikisha hapo haina tija so long as yupo effective na anadeliver sawasawa!
 
Whata punch
 

Attachments

  • FB_IMG_1733128812738.jpg
    17.4 KB · Views: 3
Mleta mada kama katumia sehemu CV ya "urongo" sehemu Naye atalimwa, lakini ukiona hajafanyiwa hivyo basi sio "mrongo"
 
Ila watanzania kwa wivu hamjambo na kujifanya mnajua...kumbe mna degre moja tuu ya MD.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…