Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Unamchafua Prof aliyehitimu hapo Muhimbili mwaka 1989 ili upate nini?.

Wabongo wengi wanamchukia huyu prof kwa sababu za kijinga tu, hatupendi kuambiwa ukweli hivyo tunaunga mkono mada za kumponda tukijaribu kupoza maumivu yetu.
Sasa nani kamchafua wakati MCT wenyewe ndiyo wamesema kuwa Dr Janabi si Daktari bingwa wa moyo?…sasa kosa la mtoa mada kuleta habari zilizoandikwa kwenye tovuti ya MCT? Basi wewe tuambie ukweli kinyume na huo wa MCT chombo kinachomsimamia Dr Janabi!
 
Kwani tatizo lenu ni nini? Hamuioni cv yake?mimi namtumbua kama mkurugenzi wa hospital ya moyo...
CV yake inasemaje? Na mada hapa inahusu nini? Dr Janabi alikuwa anatoa ushauri kwa watu kuhusu mambo ya moyo na Lishe kama nani? MCT wanasema Prof Janabi si Daktari bingwa wa mambo ya moyo wa lishe hivyo alikuwa anafanya commedy…,,🤪🤪🤪🤪🤪🤪 chombo kinacho msimamia kinasema kuwa hana hata uwezo wa kusogelea au kugusa moyo wa mtu bila usimamizi wa madaktari bingwa….
 
Haya uliyoandika hapa yapo kwenye profile ya Janabi MCT.MCT wameandika haya yote kweli?
 
Kwa hichi ulichoandka hapa,w sio dr
Futa hyo prefix huna unachokijua
Znzibar ASP cmjui ila anachoongea n very right
Acha kuvamia profession za watu
Ok Sawa 🤣🤣🤣
Polee Sana Kwa kutaka Kuondoa Preffix Niliyoitolea Jasho Pengine kabla Hata Hujazaliwa..

Ok naondoa Hiyo preffix Kwako wewe Itakupa Faida Gani?
Maana Mimi nitaendelea Kutibu na Kuona Wagonjwa Vipi wew nikiondoa Preffix Utafanya Nini??

Maana Kinachotibu Sio Hiyo preffix Kwenye Jina Ni elimu iliyopo Kichwani na Weredi..

Shukrani sana ningeweza Kuiondoa Preffix Ila Sikujipa Mimi Ni elimu ndo Imenipa Hiyo preffix
 
Ila we jqmaa ungekas tu kimya hmn ktu kabsa
Calimax unatatizo na Mimi Binafsi?
Kama Unalo niambie..
Ila Ukiweza Chambua Mjadala uliopo Mezani na usifanye Character assasin..

Naheshimu Kila Mtu mtu kwenye Kuchangia Ila Huwa nachukia Character assassin ukiona Kuna mahali Sipo sawa Iweke sawa unapooona pamepelea na mimi nitasema kwaninu nimesema Hivyo..

Nipo Kwenye Medicine kama Super Kwa Muda wa Miaka 10 Nipo Kwenye Medicine kma Daktari kwa Muda wa Miaka 27 Kwahyo Nakusikiliza Hoja Yako..
Kama Una Hoja Weka Mezani Tujadili ila Kama Hujui Unaweza ukapita Bila Kuongea chochote Pia inaruhusiwa..

Nakukaribisha kwa Mjadala
 
Fellowship ya moyo sio specialization acha kudakia vitu hujui.
Sometimes Kama hujui Kitu ni Bora Kukaa Kimya Tu..
Fellowship ya Moyo..
A cardiac Fellowship ina Lasts kwa Miaka 3 Na wanakuwa kwenye Clinical na Research Trials Nyingi..
Clinical nyingi wanafanya huwa zinahusisha Cardiovascular..
na Ndo maana Ni lazima anayeenda fellowship ya Moyo Awe amemaliza MMED..

Na Kama akimaliza Ata attain FACC title.. physician (MMED internal Medicine ) who has completed a cardiac fellowship may earn the title "Fellow, American College of Cardiology" (FACC) na Hiyo Huwa Ni Super..
sijui Unaelewa..

Mimi nimeenda Fellow Ya Neonatology na Ni super na Ninakuambia Hichi Nikiwa Ninajua ninachoKiongea siropoki..

Just Niulize swali lolote nitakujib
 

Ni manager na mshauri wa rais wa mambo ya afya tu inatosha nimtambue vipi zaidi? Elimu iliyomfikisha hapo haina tija so long as yupo effective na anadeliver sawasawa!
Rais ni mkuu wa wananchi wote, kama amebumba vyeti, some si tumeingia chaka?
 
Aki
Akijibu uniite
 
Aki
Akijibu uniite
 

Hahaha regulated Tanzania? Upo kwenye medical practice? Kama haupo ndani utafikiri hayo! Regulations zipo Ulaya na kulikoendelea achana na wabongo ndugu! Ukiona clinical courts unaona wapo smart kwelikweli ila ingia uone dah! Huruma tu kwa wagonjwa!

Nakubaliana na wewe mada za afya za kileo zipo shallow sana ukisoma mitandaoni na hii inachangiwa sana na ujinga wa kibongo na effects kubwa sana za kiimani! Msomi wa kitanzania anasoma science afanyie mitihani kupata vyeti lakini anaamini kwnye miujiza na uchawi! So daktari anakutibu huku anaamini utapona kwa maombi sio kwa maarifa aliyosomea au science ya ugonjwa wenyewe so ni mchanganyiko mtupu.
 
MKuu nimejaribu kufuatilia hata hiyo fellow ship ya moyo janabi kama amefoj, FCC wanasema fellowship ya moyo ni kwa waliosoma cadiology baada ya internal medicine kwa watu wazima au watoto.
Pia wenzake wenye fellowshi kama hizo mfano levina msuya fellowship yake pale mct wameiweka manake inatambulika ila ya janabi haitambuliki.
Nawasi wasi hiyo fellowaship hana.
 
Aloo huu uzi wadau mmesaga sumu sio poa😃🙌🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…