Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mkuu jibu hoja! Hivi Dr Janabi unamtambua kama nani?Ila watanzania kwa wivu hamjambo na kujifanya mnajua...kumbe mna degre moja tuu ya MD.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jibu hoja! Hivi Dr Janabi unamtambua kama nani?Ila watanzania kwa wivu hamjambo na kujifanya mnajua...kumbe mna degre moja tuu ya MD.....
Kwani tatizo lenu ni nini? Hamuioni cv yake?mimi namtumbua kama mkurugenzi wa hospital ya moyo...Mkuu jibu hoja! Hivi Dr Janabi unamtambua kama nani?
Yahan kelele kibao na washakua wengi sasa hiv njaa nyingi mawivuIla watanzania kwa wivu hamjambo na kujifanya mnajua...kumbe mna degre moja tuu ya MD.....
Sasa nani kamchafua wakati MCT wenyewe ndiyo wamesema kuwa Dr Janabi si Daktari bingwa wa moyo?…sasa kosa la mtoa mada kuleta habari zilizoandikwa kwenye tovuti ya MCT? Basi wewe tuambie ukweli kinyume na huo wa MCT chombo kinachomsimamia Dr Janabi!Unamchafua Prof aliyehitimu hapo Muhimbili mwaka 1989 ili upate nini?.
Wabongo wengi wanamchukia huyu prof kwa sababu za kijinga tu, hatupendi kuambiwa ukweli hivyo tunaunga mkono mada za kumponda tukijaribu kupoza maumivu yetu.
CV yake inasemaje? Na mada hapa inahusu nini? Dr Janabi alikuwa anatoa ushauri kwa watu kuhusu mambo ya moyo na Lishe kama nani? MCT wanasema Prof Janabi si Daktari bingwa wa mambo ya moyo wa lishe hivyo alikuwa anafanya commedy…,,🤪🤪🤪🤪🤪🤪 chombo kinacho msimamia kinasema kuwa hana hata uwezo wa kusogelea au kugusa moyo wa mtu bila usimamizi wa madaktari bingwa….Kwani tatizo lenu ni nini? Hamuioni cv yake?mimi namtumbua kama mkurugenzi wa hospital ya moyo...
Achana na hiz mamboMkuu jibu hoja! Hivi Dr Janabi unamtambua kama nani?
Huna lolote mikwara tuHana sifa!
Acha mbwembwe kijana relaxUnauliza makofi polisi
Haya uliyoandika hapa yapo kwenye profile ya Janabi MCT.MCT wameandika haya yote kweli?CV yake inasemaje? Na mada hapa inahusu nini? Dr Janabi alikuwa anatoa ushauri kwa watu kuhusu mambo ya moyo na Lishe kama nani? MCT wanasema Prof Janabi si Daktari bingwa wa mambo ya moyo wa lishe hivyo alikuwa anafanya commedy…,,🤪🤪🤪🤪🤪🤪 chombo kinacho msimamia kinasema kuwa hana hata uwezo wa kusogelea au kugusa moyo wa mtu bila usimamizi wa madaktari bingwa….
Ok Sawa 🤣🤣🤣Kwa hichi ulichoandka hapa,w sio dr
Futa hyo prefix huna unachokijua
Znzibar ASP cmjui ila anachoongea n very right
Acha kuvamia profession za watu
Calimax unatatizo na Mimi Binafsi?Ila we jqmaa ungekas tu kimya hmn ktu kabsa
Sometimes Kama hujui Kitu ni Bora Kukaa Kimya Tu..Fellowship ya moyo sio specialization acha kudakia vitu hujui.
Hii ni mada ya kitoto sana.
Medical practice ni very regulated.
Uamki asubuhi moja na kuwa surgeon hasa wa ubongo au moyo (Hakuna shortcut) you have to undergo rigorous training.
Huo ni utaratibu wa shughuli ya upasuaji wowote hadi kupata hiko kibali sio shughuli ya kitoto.
Shida ya Janabi ni limitations zake kwenye medical field zingine.
Medicine ni discipline pana; na wazi kwa ushauri wake wa diet hana elimu pana ya nutrient.
Lakini kusema mtu anaweza kuwa surgeon bila ya training dah hiyo hapana.
Shida ni quality of training japo mimi kuna siku niliwahi kumsikia akiongelea magonjwa ya moyo (there is no way, nitakubali Janabi apasue kifua changu).
Same nikisoma mada za JF jukwaa la afya kuhusu type two diabetics, uelewa wa wachangiaji wa madaktari wetu kuhusu pathophysiology ya ugonjwa unanipa mashaka sana na tiba wanazotoa.
Halafu mshauri wa maswala ya afya lazima awe na uelewa wa health management.
Kwa nafasi ya Janabi hadi kuwa mkuu wa kutuo kama Muhimbili kama ajapitia succession planning ya wenzake kama hakina Dorothy Gwajima itakuwa ni upuuzi wa hali ya juu kwa mamlaka ya teuzi.
Iła nimesikiliza interview kadhaa za Janabi akiongelea afya, I am not convinced.
Hivi watanzania achana na demeanour ya uanamke sana (ambayo inaweza fanya umchukulie poa), lakini ‘Dorothy Gwajima’ sio wa mzaha-mzaha kabisa kwenye usimamizi wa afya.
Yaani ‘Dorothy Gwajima’ sio wa mzaha kabisa kwenye afya, she is something (don’t be fooled na tabia zake za kike sana ukamchukulia poa). She is actually a proper technocrat.
Kwenye management ya afya ‘Dorothy Gwajima’ sio wa mzaha-mzaha hata kidogo. Ni proper
Rais ni mkuu wa wananchi wote, kama amebumba vyeti, some si tumeingia chaka?Ni manager na mshauri wa rais wa mambo ya afya tu inatosha nimtambue vipi zaidi? Elimu iliyomfikisha hapo haina tija so long as yupo effective na anadeliver sawasawa!
Akijibu uniiteUnajua Maana Ya Fellowship??
🤣🤣
Unajua Kuna Wakati kuna Maswala tuyaache tu..
Mmed Za janab zote unazijua??
Angewezaje kusoma Msc Bila Kusoma Mmed?
Sio Vyote Vinaandikwa MCT..
Kasoma MMED internal medicine hapo hapo University of Queensland in Australia Mwaka 1996 ndo alimaliza..
Fellowship alifanya na Cardiology..
Fellowship Kafanya kutoka Fellow American College of Cardiology (FACC) mwaka 1996/97 Mpaka 98
Internal Medicine and Molecular Science, Graduated in School of Medicine Osaka University Hospital Osaka, Japan 2000 (Post Doctorate)
Bergen University Norway Cardiology Department
and Medical University of South Carolina-USA Clinical attachment ya mwaka 2005
Akijibu uniiteUnajua Maana Ya Fellowship??
🤣🤣
Unajua Kuna Wakati kuna Maswala tuyaache tu..
Mmed Za janab zote unazijua??
Angewezaje kusoma Msc Bila Kusoma Mmed?
Sio Vyote Vinaandikwa MCT..
Kasoma MMED internal medicine hapo hapo University of Queensland in Australia Mwaka 1996 ndo alimaliza..
Fellowship alifanya na Cardiology..
Fellowship Kafanya kutoka Fellow American College of Cardiology (FACC) mwaka 1996/97 Mpaka 98
Internal Medicine and Molecular Science, Graduated in School of Medicine Osaka University Hospital Osaka, Japan 2000 (Post Doctorate)
Bergen University Norway Cardiology Department
and Medical University of South Carolina-USA Clinical attachment ya mwaka 2005
Hii ni mada ya kitoto sana.
Medical practice ni very regulated.
Uamki asubuhi moja na kuwa surgeon hasa wa ubongo au moyo (Hakuna shortcut) you have to undergo rigorous training.
Huo ni utaratibu wa shughuli ya upasuaji wowote hadi kupata hiko kibali na sio shughuli ya kitoto.
Shida ya Janabi ni limitations zake kwenye medical field zingine.
Medicine ni discipline pana; na wazi kwa ushauri wake wa diet hana elimu pana ya nutrient.
Lakini kusema mtu anaweza kuwa surgeon bila ya training dah hiyo hapana.
Shida labda inaweza kuwa quality of training. Kuna siku niliwahi kumsikia akiongelea magonjwa ya moyo after that nikajisemea (there is no way, nitakubali Janabi apasue kifua changu).
Similarly nikisoma mada za JF jukwaa la afya kuhusu type two diabetics, uelewa wa wachangiaji wa madaktari wetu kuhusu pathophysiology ya ugonjwa unanipa mashaka sana na tiba wanazotoa.
Kuhusu teuzi ya raisi
Mshauri wa maswala ya afya lazima awe na uelewa wa health management
Kwa nafasi ya Janabi hadi kuwa mkuu wa kutio kama Muhimbili. Hata kama ajapitia succession planning ya wenzake kama hakina Dorothy Gwajima (kwenda kusoma shahada za public health). Itakuwa ni upuuzi wa hali ya juu kwa mamlaka ya teuzi kama ajapewa hata management training skills zingine through succession planning.
Iła nimesikiliza interview kadhaa za Janabi akiongelea afya, I am not convinced.
Ila watanzania tuachane na demeanour ya uanamke sana (ambayo inaweza fanya umchukulie poa), ‘Dorothy Gwajima’ lakini sio wa mzaha-mzaha kabisa kwenye usimamizi wa afya.
The woman is actually a proper technocrat. Kwenye management ya afya yaani sio wa mzaha-mzaha hata kidogo. Ni proper technocrat.
Achana na machawa wanao-support ilimradi na wao waonekane wamo, hee mama unaupiga mwingi mradi wamesemema, ohoo we mama nakupenda kwa sababu za ujinga tu.
But in fact Dorothy Gwajima ni proper health management technocrat achana na demeanor zake za kike sana.
You just don’t know
Wapumzishe mkuuCertificate ya USSR miaka ya 80 ni sawa na PHD 10 za jalalani kwenu, Dogo heshimu hustle za watu [emoji1787][emoji1787]
Maisha kweli muda mwingine kuna bahati😃Asante.
Ila Kiutani utani Mwamba anasonga.
Usije Kushangaa Dr Kasheku Huyu hapa WB.
Humuoni Tulia Akson .
MKuu nimejaribu kufuatilia hata hiyo fellow ship ya moyo janabi kama amefoj, FCC wanasema fellowship ya moyo ni kwa waliosoma cadiology baada ya internal medicine kwa watu wazima au watoto.CV yake inasemaje? Na mada hapa inahusu nini? Dr Janabi alikuwa anatoa ushauri kwa watu kuhusu mambo ya moyo na Lishe kama nani? MCT wanasema Prof Janabi si Daktari bingwa wa mambo ya moyo wa lishe hivyo alikuwa anafanya commedy…,,🤪🤪🤪🤪🤪🤪 chombo kinacho msimamia kinasema kuwa hana hata uwezo wa kusogelea au kugusa moyo wa mtu bila usimamizi wa madaktari bingwa….
Aloo huu uzi wadau mmesaga sumu sio poa😃🙌🏽MKuu nimejaribu kufuatilia hata hiyo fellow ship ya moyo janabi kama amefoj, FCC wanasema fellowship ya moyo ni kwa waliosoma cadiology baada ya internal medicine kwa watu wazima au watoto.
Pia wenzake wenye fellowship kama hizo mfano levina msuya fellowship yake pale mct wameiweka manake inatambulika ila ya janabi haitambuliki.
Nawasi wasi hiyo fellowaship hana.