love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Na ukitafta machapisho yake mtandaoni hayazidi 20 reseachgate tena hayo mengi sio main author.Sasa nani kamchafua wakati MCT wenyewe ndiyo wamesema kuwa Dr Janabi si Daktari bingwa wa moyo?…sasa kosa la mtoa mada kuleta habari zilizoandikwa kwenye tovuti ya MCT? Basi wewe tuambie ukweli kinyume na huo wa MCT chombo kinachomsimamia Dr Jana
Sio sumu mkuu ila tunaangalia tu kama yaliyomo yamo.Aloo huu uzi wadau mmesaga sumu sio poa😃🙌🏽
Na chuki kubwa walionayo ni.kuambiwa ukweli, ulafi ulevi uvivu, na mambo km hayo. IWajinga kwa Tanzania yetu ndio wenye kuonekana watu wema, madhara ya kupenda masuala ya udaku na habari nyepesi.
Mkuu kwani MCT wanawivu gani na janabi wasimruhusu apractice matibabu ya ubingwa wa moyo wakati ana vigezo!?Na chuki kubwa walionayo ni.kuambiwa ukweli, ulafi ulevi uvivu, na mambo km hayo. I
Hili suala lina siasa za ndani ya CCM kwa maana Janabi ni mtu wa Kikwete na Samia kapitia humo humo kwenye uhusiano huo. Watu wa kambi ya hayati JPM wanaumia sana kumuona daktari wa zamani wa Rais akiendelea kuula hivyo wanafurahia anapochafuka.CV yake inasemaje? Na mada hapa inahusu nini? Dr Janabi alikuwa anatoa ushauri kwa watu kuhusu mambo ya moyo na Lishe kama nani? MCT wanasema Prof Janabi si Daktari bingwa wa mambo ya moyo wa lishe hivyo alikuwa anafanya commedy…,,🤪🤪🤪🤪🤪🤪 chombo kinacho msimamia kinasema kuwa hana hata uwezo wa kusogelea au kugusa moyo wa mtu bila usimamizi wa madaktari bingwa….
Ndio ukweli wenyewe, ukijiachia sana kwenye kupenda ulevi na ukakosa nidhamu ya ulaji wa chakula lazima ufike mahali mwili uzidiwe nguvu na maradhi yaanze kukusumbua.Na chuki kubwa walionayo ni.kuambiwa ukweli, ulafi ulevi uvivu, na mambo km hayo. I
Kwahiyo MCT nao ni team JPM ndio maana hawataki kumtambua kama daktari bingwa wa magonjwa ya moyo.Hili suala lina siasa za ndani ya CCM kwa maana Janabi ni mtu wa Kikwete na Samia kapitia humo humo kwenye uhusiano huo. Watu wa kambi ya hayati JPM wanaumia sana kumuona daktari wa zamani wa Rais akiendelea kuula hivyo wanafurahia anapochafuka.
Kwa mawazo yao kuchafuka kwake angalau ni sawa na kuchafuka kwa Mstaafu Kikwete.
Kwa hiyo MCT wanamuonea wivu Prof Janabi? Kwa mujibu wa MCT hayo anayoyasema janabi hana utaalam nayo na sio bingwa wa hayo anayoyasema!Ndio ukweli wenyewe, ukijiachia sana kwenye kupenda ulevi na ukakosa nidhamu ya ulaji wa chakula lazima ufike mahali mwili uzidiwe nguvu na maradhi yaanze kukusumbua.
Zamani uliweza kunywa bia kumi na ukaamka saa kumi na mbili asubuhi wakati ukiwa kijana wa miaka 35, unapovuka miaka 50 huna tena maini, wala figo zenye nguvu ya kwenda sambamba na hizo bia kumi.
Ndio keshapendekezwa kuwakilisha nchi huko WHO. Nguvu inatumika kuonyesha kuwa Samia kakosea kumhakikishia kugombea.Kwa hiyo MCT wanamuonea wivu Prof Janabi? Kwa mujibu wa MCT hayo anayoyasema janabi hana utaalam nayo na sio bingwa wa hayo anayoyasema!
Muhimbili ni hospitali ya moyo!?Kwani tatizo lenu ni nini? Hamuioni cv yake?mimi namtumbua kama mkurugenzi wa hospital ya moyo...
Angepeleka CV ya ukweli basi!Ndio keshapendekezwa kuwakilisha nchi huko WHO. Nguvu inatumika kuonyesha kuwa Samia kakosea kumhakikishia kugombea.
Miaka yote aliyofanya kazi hao MCT walikuwa kimyaaa, mwaka huu kapendekezwa na Rais ndio wanaifungua midomo yao!, ni siasa nyepesi za kiafrika.
Imeenda hiyo.Uwe unasoma vizuri na kuelewa! Kwa nchi yetu kuna vyombo maalum vya kutambua na kutathmini taaluma za watu na kwa afya kimojawapo ni MCT na hao ndio wanataarifa za madtari wetu wote na kulingana na wenyewe MCT kupitia tovuti yao hakuna mahali Dr Janabi anatambulika kama Daktari bingwa wa moyo …kwa hiyo MCT hawamtambui kama tunavyomjua sisi na MCT ndio wasema kweli hakuna siasa pale na alichofanya mtoa mada ni kutuhabarisha tuu
Siyo MNH tena?Kwani tatizo lenu ni nini? Hamuioni cv yake?mimi namtumbua kama mkurugenzi wa hospital ya moyo...
Na hizi spana wala zisingemhusu.Angepeleka CV ya ukweli basi!
Sio spana ni ujinga tu.Mwaka huu huyu mzee mtamuua kwa spana.
Hapana MCT wao wanaweka taarifa wazi na zilikuwepo sema tulikuwa hatuendi kusoma sasa ndio tumesoma! Hapo hakuna siasa ni swala la science tuu na uwaziNdio keshapendekezwa kuwakilisha nchi huko WHO. Nguvu inatumika kuonyesha kuwa Samia kakosea kumhakikishia kugombea.
Miaka yote aliyofanya kazi hao MCT walikuwa kimyaaa, mwaka huu kapendekezwa na Rais ndio wanaifungua midomo yao!, ni siasa nyepesi za kiafrika.
Ona nae huyu sijui ameelewa kinachoongelewa?!!!Mtu amekuwa daktari na mshauri wa masuala ya moyo kwa rais wa awamu ya nne na rais wa awamu wa 5 ,..
Leo hii kuna nguchiro anataka amchafue Dokta kisa WHO
Hiyo si tiketi ya kuhalalisha vihiyo!, kama una sifa ya degree mbili au tatu au kumi! Ya nini kuruhusu degree ambayo hujaifanya?Mtu amekuwa daktari na mshauri wa masuala ya moyo kwa rais wa awamu ya nne na rais wa awamu wa 5 ,..
Leo hii kuna nguchiro anataka amchafue Dokta kisa WHO